Israel yaanza kushusha mvua ya mabomu Rafah

Hapo Rafah ndipo ilipo brigade ya mwisho ya Hamas brigade xingine 7 zote zimesambaratishwa .Zilikuwa nane
brigedi zote za Hamas ni shida kujua zilipo.Nyengine zimeshajizaa kaskazini na kati ya Gaza.
 
Nitaupitia huu Uzi baadae,,am bit busy!
 
Reactions: 511
Nitaupitia huu Uzi baadae
 
Reactions: 511

Israel si Taifa la Kikristo, ifahamike kuwa Wakristo wanasapoti Israel kwa Haki kuwa hapo ni homeland ya Jews.
 
Reactions: 511
Israel seems yuko zaidi ya serious na hili jambo..
Hata ungekuwa wewe mtu kavamia nyumbani kwako kauwa kwa risasi watu wako,kachinja,kabaka na kuchoma moto nyumba utakapoenda kulipa kisasi huwezi kuacha adui yako hata mmoja akiwa hai.
 
Nitaupitia huu Uzi baadae
Mkuu kwanza natanguliza shukrani za dhati kwa ufafanuzi mzuri sana.
Pili...Mimi nmeufuatlia huo mgogoro kwa muda mrefu sana,na nlitumia vyanzo mbalimbali bila kuegemea upande wowote.
Hivyo nafahamu vizuri kuhusu Abraham/Ibrahim na uzao wake.
Tatu...watu wengi wanashindwa kutoa chanzo halisi cha mgogoro huo kutokana na hulka za kidini lakini pia nahisi hata elimu yao ya darasani wameshindwa kuitumia ipasavyo.
Nne....nakupongeza kwa kufahamu chanzo sahihi cha mgogoro huu ni watoto wa Abraham.....
Shida ilianzia hapo!!!
 
Ndugu nmekuelewa,ila nenda katafute au kumbuka uzazi wa Abraham.......hapo utajua akina nani wamesababisha hili janga.
Base on fact, kihistoria nje na vitabu vya Dini.
Wayahudi na Waarabu hapo wote si kwao kwa Asili.
Ndugu wa karibu wa muyahudi ni Mwarabu na sio wazungu ama Wairan kwasababu Wayahudi na Waarabu wote ni Semitic, Asili yao ni uko Iraq.
So, wote wamehamia hapo, ujio wa wayahudi huo ukanda unajulikana zaidi hasa kwenye vitabu vya Dini na Kihistoria .
Wayahudi walikuja hapo wakakuta wenyeji(wafilist) waka-terrorise ilo eneo kwa nguvu, wakachukua.
Waarabu nao wakajitanua toka Iraq na kuzunguka ilo eneo Lebanon, Syria hadi Misri.
Wayahudi as minority ndani ya huo Ukanda wameendelea kupigania kaeneo kao kale kale walikokaiba kwa Nguvu toka kwa Wafilisti wakati ndugu zao Waarabu leo wananchi zaidi ya 20 Duniani.
Toka kuwa ndani ya Nchi moja ya Asili Iraq hadi kuwa na nchi zaidi ya 20 Duniani kote wakati ndugu zao hadi leo wanaka-nchi kenye ukubwa wa unaozidiwa na Dodoma.
Sasa, swali katika Maelezo kwanini Waarabu wasitosheke na maeneo yao yaliyoiba?.
Sijawai sikia wayahudi wakiitaka Lebanon, Syria waikalie, wao wanataka kale kale ka Nchi kao walikoiba toka kwa Wafilisti why mimi niwaone Wakolofi wakati anaetaka kuwatoa hapo nae sio kwake kwa Asili?.

Wenyeji wa asili ukiwatras leo utawapata huko Ugiriki na hawana shida kabisa na ilo Eneo kwasasa ila wavamizi ndiyo wanaendelea kuuana hadi leo. Uenda Damu ha wafilist iliyomwagika hapo wakati wananyang'wanywa ilo eneo ndiyo imeendelea kuitafuna middle east hadi leo.

Mimi nitasimama kinyume na wayahudi juu mzozo huu endapo tu wafilisti watainuka leo na kutaka eneo lao ila hawa Waarabu, mimi hapana.

Nb:- Dini ina play part kubwa katika huu Mgogoro,katika Quran Allah kawaahidi waislam ilo eneo the same way YHWH alivyowaahidi waisraeli ilo eneo.
 
Watoto wa Abraham Kivipi?
 
Watoto wa Abraham Kivipi?


Watoto wa Abraham Kivip

Wafilisti asili yao sio Israel ya leo,,wanatokea kisiwa cha Crete kilichopo ugiriki
 
kwa akili yako ndogo hilo jambo ndo unaona darasa!!!Mungu kawaleta watu kama Hamas duniani kuwanyima usingizi MASHOGA na makafiri wote wanaotaka kuugeuza ulimwengu kuwa chini yao...
Pole sana watetezi wenu wanazidi kuisha,umebaki wewe kujivika mabomu
 
kwa akili yako ndogo hilo jambo ndo unaona darasa!!!Mungu kawaleta watu kama Hamas duniani kuwanyima usingizi MASHOGA na makafiri wote wanaotaka kuugeuza ulimwengu kuwa chini yao...
akili yako ni kisoda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…