Israel yaanza kushusha mvua ya mabomu Rafah

Hapo Rafah ndipo ilipo brigade ya mwisho ya Hamas brigade xingine 7 zote zimesambaratishwa .Zilikuwa nane
brigedi zote za Hamas ni shida kujua zilipo.Nyengine zimeshajizaa kaskazini na kati ya Gaza.
 
Watu wa Palestina wanapokea misaada mingi kutoka kwa mataifa ya Kiislamu. Hata Indonesia inapeleka misaada mingi. Lakini inawasaidia kidogo tu wananchi. Viongozi wa Palestina wanatumia pesa hizo kujaza akaunti zao za benki huko Uropa na kuishi maisha ya anasa huko Dubai au Qatar. Na fedha nyingine wanatumia kununua silaha ghafi za "kuua Wayahudi". Wapalestina wanakataa kukiri haki ya Israel kuwepo. Na wanataka kuwaua Wayahudi wote au kuwatupa baharini ili wapotee katika uso wa dunia. Wanawafundisha watoto wao kuwaua Wayahudi. Unaweza kuangalia vipindi cha televisheni vya watoto wao. Wakiwa katika Mtaa wa Sesame, watoto wa Kipalestina wanafundishwa kuhesabu idadi ya mambo wanayochukia kuhusu Wayahudi. Chuki inapandikizwa

View attachment 2961310

View attachment 2961311
Kwa hivyo Wapalestina wanataka kuwaua Wayahudi wote katika Israeli ili Wapalestina wapate suluhisho lao la mwisho la serikali moja. Ikiwa huniamini, angalia tu mahojiano yaliyofanywa na Wapalestina na Waislamu wengi, wote wanataka jambo moja: kusitishwa kwa umwagaji damu unaofanywa na taifa la Israeli. Wanakataa kukiri haki ya Wayahudi kwa nchi ya mababu zao.

View attachment 2961314
(Gal Godot ni mwigizaji wa filamu wa Israeli; alihudumu katika Jeshi la Israeli kama sehemu ya Huduma yake ya Kitaifa)

Ni ngumu kujadiliana na watu wanaotaka kukuua. Idadi ya watu wa Gaza iliongezeka kutoka 265,800 hadi 2,100,000 mwaka 2023. Kila familia ina watoto watano hadi kumi. Hawana uzaz wa mpangoi. Nusu yao wanaishi katika umaskini mkubwa. Na viongozi wao wa serikali wanatumia pesa za msaada kujaza akaunti zao za benki huko Uropa na kununua silaha ghafi kushambulia Israeli na kuua Wayahudi zaidi

View attachment 2961315
View attachment 2961316
Pengine ni bahati mbaya tu ya ajabu. Unaweza kusema mambo yote mabaya ya chuki dhidi ya Wayahudi na kujaribu kuwadhuru Israeli na Wayahudi lakini mambo mabaya sana hatimaye yanakutokea wewe na uzao wako. Labda ni bahati mbaya tu eh?

Huko Asia inaitwa karma. Watu wengine wanaielezea kama Ghadhabu ya Mungu. Kwa hivyo usifanye! Bila shaka, wengi wenu hamtaamini hili.

View attachment 2961317

View attachment 2961318
Hasan Bitmez, mbunge wa Uturuki alipatwa na mshtuko wa moyo na kuzimia Bungeni sekunde chache baada ya hotuba iliyotangaza kuwa Israel itakabiliwa na "ghadhabu ya Mwenyezi Mungu". Pengine ni bahati mbaya tu.
Kumbuka ni bahati mbaya tu, usijali kuhusu hilo.

Uwepo wa mgogoro wapaletina na waisraeli unanufaisha baadhi ya nchi na makundi ya watu. Marekani na washirika wake wanatoa misada ya pesa na siraha kwa Israel. Israel inaitumia hiyo misada na siraha kujilinda dhidi ya Palestina.

Irani na washirika wake wanatoa misaada ya pesa na siraha kwa Parestine (Hamas).
Parestine inatumia hiyo misaada na siraha kuishambulia Israel.

Vingozi wa Palestina (Hamas) wanajitajirisha kwa misaada inayotolewa kusaidia raia. Wao wanajirimbikizia na kuishi maisha ya anasa Dubai na Qatar. Unategemea watatamani mgogoro uishe?

Ulisema UN walileta 2 state resolution, ilishindikana, unajua kwa nini? Jibu rahisi ni hili

Wayahudi wanafuatilia ukoo wao kutoka kwa Isaka, mwana wa Sara.
Ibrahimu aliamini kwamba Mungu angembariki kupitia mwana wa Sara na alimbariki Isaka, akipitisha kile alichoamini kuwa ni baraka za Mungu juu yake. Ishmaeli alibarikiwa pia lakini hakuzingatiwa kuwa sehemu ya mpango wa Ibrahimu na wa Mungu (kulingana na Wayahudi).

Waarabu (Waislamu) wanaamini ukoo wao ni kupitia Ishmaeli, mwana wa Hajiri. wana toleo tofauti la hadithi ya Ibrahimu na wanasema Ishmaeli alikuwa mrithi halali wa baraka za Ibrahimu na si Isaka. Walianzisha ubaguzi maalum kwa Wayahudi ambao walikataa kukubali toleo hilo la hadithi ya Ibrahimu

KIINI CHA MGOGORO, NANI NI MRITHI HALALI WA BARAKA ZA IBRAHAMU KATI YA ISAKA NA ISHMAELI. HAPO NDIPO UDINI UNAPOINGIA KWENYE HUO MGOGORO. ARDHI IMETUMIWA TU KAMA CHANZO CHA MGOGORO, LAKINI HIYO ARDHI NI URITHI WA WANA WA IBRAHIMU AMBAO NI ISAKA NA ISHMAELI, TATIZO HAWATAMBUANI, KIKA MMOJA ANAJIONA NDIE MRITHI HALALI.

Hammaz nakujua ni mstarabu atapinga kwa hoja sio kejeri,
brazaj sina imani na wewe 😅 lakini ngoja tuone utasemaje maana uliniambia sio mfia dini.
Nitaupitia huu Uzi baadae,,am bit busy!
 
  • Thanks
Reactions: 511

Nitaupitia huu Uzi baadae
 
  • Thanks
Reactions: 511
Kuna vitu sio vya kuviombea kama migogoro ya kidini..

Utakuja tena kwenye point Ile Ile hata kabla 1947 walikuwa wanagombea nini?
Shida ni moja tuu ndugu Kuna waislamu wanasema ni vita vya kidini na Kuna wakristo wanadai ni vita ya kidini....
Mgogoro huo naujua vizuri na nimeusoma kwenye vitabu vya dini....
Israel lazima iwepo hapo na palestna nayo lazima iwepo.
Kiongozi tukizungumzia vita ya kidini maana yake dini Moja inataka iiangamize dini nyingine completely.
Sioni kama hilo litawezekana sababu ukristo na uislam umeshatapakaa duniani kote na muingiliano watu wa dini hizo ni mkubwa!!
Leo hii muislamu anaweza akamega demu wa kikirsto na mkristo akamega demu wa kiislamu..

Israel si Taifa la Kikristo, ifahamike kuwa Wakristo wanasapoti Israel kwa Haki kuwa hapo ni homeland ya Jews.
 
  • Thanks
Reactions: 511
Israel seems yuko zaidi ya serious na hili jambo..
Hata ungekuwa wewe mtu kavamia nyumbani kwako kauwa kwa risasi watu wako,kachinja,kabaka na kuchoma moto nyumba utakapoenda kulipa kisasi huwezi kuacha adui yako hata mmoja akiwa hai.
 
Nitaupitia huu Uzi baadae
Mkuu kwanza natanguliza shukrani za dhati kwa ufafanuzi mzuri sana.
Pili...Mimi nmeufuatlia huo mgogoro kwa muda mrefu sana,na nlitumia vyanzo mbalimbali bila kuegemea upande wowote.
Hivyo nafahamu vizuri kuhusu Abraham/Ibrahim na uzao wake.
Tatu...watu wengi wanashindwa kutoa chanzo halisi cha mgogoro huo kutokana na hulka za kidini lakini pia nahisi hata elimu yao ya darasani wameshindwa kuitumia ipasavyo.
Nne....nakupongeza kwa kufahamu chanzo sahihi cha mgogoro huu ni watoto wa Abraham.....
Shida ilianzia hapo!!!
 
Ndugu nmekuelewa,ila nenda katafute au kumbuka uzazi wa Abraham.......hapo utajua akina nani wamesababisha hili janga.
Base on fact, kihistoria nje na vitabu vya Dini.
Wayahudi na Waarabu hapo wote si kwao kwa Asili.
Ndugu wa karibu wa muyahudi ni Mwarabu na sio wazungu ama Wairan kwasababu Wayahudi na Waarabu wote ni Semitic, Asili yao ni uko Iraq.
So, wote wamehamia hapo, ujio wa wayahudi huo ukanda unajulikana zaidi hasa kwenye vitabu vya Dini na Kihistoria .
Wayahudi walikuja hapo wakakuta wenyeji(wafilist) waka-terrorise ilo eneo kwa nguvu, wakachukua.
Waarabu nao wakajitanua toka Iraq na kuzunguka ilo eneo Lebanon, Syria hadi Misri.
Wayahudi as minority ndani ya huo Ukanda wameendelea kupigania kaeneo kao kale kale walikokaiba kwa Nguvu toka kwa Wafilisti wakati ndugu zao Waarabu leo wananchi zaidi ya 20 Duniani.
Toka kuwa ndani ya Nchi moja ya Asili Iraq hadi kuwa na nchi zaidi ya 20 Duniani kote wakati ndugu zao hadi leo wanaka-nchi kenye ukubwa wa unaozidiwa na Dodoma.
Sasa, swali katika Maelezo kwanini Waarabu wasitosheke na maeneo yao yaliyoiba?.
Sijawai sikia wayahudi wakiitaka Lebanon, Syria waikalie, wao wanataka kale kale ka Nchi kao walikoiba toka kwa Wafilisti why mimi niwaone Wakolofi wakati anaetaka kuwatoa hapo nae sio kwake kwa Asili?.

Wenyeji wa asili ukiwatras leo utawapata huko Ugiriki na hawana shida kabisa na ilo Eneo kwasasa ila wavamizi ndiyo wanaendelea kuuana hadi leo. Uenda Damu ha wafilist iliyomwagika hapo wakati wananyang'wanywa ilo eneo ndiyo imeendelea kuitafuna middle east hadi leo.

Mimi nitasimama kinyume na wayahudi juu mzozo huu endapo tu wafilisti watainuka leo na kutaka eneo lao ila hawa Waarabu, mimi hapana.

Nb:- Dini ina play part kubwa katika huu Mgogoro,katika Quran Allah kawaahidi waislam ilo eneo the same way YHWH alivyowaahidi waisraeli ilo eneo.
 
Mkuu kwanza natanguliza shukrani za dhati kwa ufafanuzi mzuri sana.
Pili...Mimi nmeufuatlia huo mgogoro kwa muda mrefu sana,na nlitumia vyanzo mbalimbali bila kuegemea upande wowote.
Hivyo nafahamu vizuri kuhusu Abraham/Ibrahim na uzao wake.
Tatu...watu wengi wanashindwa kutoa chanzo halisi cha mgogoro huo kutokana na hulka za kidini lakini pia nahisi hata elimu yao ya darasani wameshindwa kuitumia ipasavyo.
Nne....nakupongeza kwa kufahamu chanzo sahihi cha mgogoro huu ni watoto wa Abraham.....
Shida ilianzia hapo!!!
Watoto wa Abraham Kivipi?
 
Watoto wa Abraham Kivipi?

Base on fact, kihistoria nje na vitabu vya Dini.
Wayahudi na Waarabu hapo wote si kwao kwa Asili.
Ndugu wa karibu wa muyahudi ni Mwarabu na sio wazungu ama Wairan kwasababu Wayahudi na Waarabu wote ni Semitic, Asili yao ni uko Iraq.
So, wote wamehamia hapo, ujio wa wayahudi huo ukanda unajulikana zaidi hasa kwenye vitabu vya Dini na Kihistoria .
Wayahudi walikuja hapo wakakuta wenyeji(wafilist) waka-terrorise ilo eneo kwa nguvu, wakachukua.
Waarabu nao wakajitanua toka Iraq na kuzunguka ilo eneo Lebanon, Syria hadi Misri.
Wayahudi as minority ndani ya huo Ukanda wameendelea kupigania kaeneo kao kale kale walikokaiba kwa Nguvu toka kwa Wafilisti wakati ndugu zao Waarabu leo wananchi zaidi ya 20 Duniani.
Toka kuwa ndani ya Nchi moja ya Asili Iraq hadi kuwa na nchi zaidi ya 20 Duniani kote wakati ndugu zao hadi leo wanaka-nchi kenye ukubwa wa unaozidiwa na Dodoma.
Sasa, swali katika Maelezo kwanini Waarabu wasitosheke na maeneo yao yaliyoiba?.
Sijawai sikia wayahudi wakiitaka Lebanon, Syria waikalie, wao wanataka kale kale ka Nchi kao walikoiba toka kwa Wafilisti why mimi niwaone Wakolofi wakati anaetaka kuwatoa hapo nae sio kwake kwa Asili?.

Wenyeji wa asili ukiwatras leo utawapata huko Ugiriki na hawana shida kabisa na ilo Eneo kwasasa ila wavamizi ndiyo wanaendelea kuuana hadi leo. Uenda Damu ha wafilist iliyomwagika hapo wakati wananyang'wanywa ilo eneo ndiyo imeendelea kuitafuna middle east hadi leo.

Mimi nitasimama kinyume na wayahudi juu mzozo huu endapo tu wafilisti watainuka leo na kutaka eneo lao ila hawa Waarabu, mimi hapana.

Nb:- Dini ina play part kubwa katika huu Mgogoro,katika Quran Allah kawaahidi waislam ilo eneo the same way YHWH alivyowaahidi waisraeli ilo eneo.

Watoto wa Abraham Kivip

Wafilisti asili yao sio Israel ya leo,,wanatokea kisiwa cha Crete kilichopo ugiriki
 
kwa akili yako ndogo hilo jambo ndo unaona darasa!!!Mungu kawaleta watu kama Hamas duniani kuwanyima usingizi MASHOGA na makafiri wote wanaotaka kuugeuza ulimwengu kuwa chini yao...
Pole sana watetezi wenu wanazidi kuisha,umebaki wewe kujivika mabomu
 
kwa akili yako ndogo hilo jambo ndo unaona darasa!!!Mungu kawaleta watu kama Hamas duniani kuwanyima usingizi MASHOGA na makafiri wote wanaotaka kuugeuza ulimwengu kuwa chini yao...
akili yako ni kisoda
 
Back
Top Bottom