Israel yacharuka, yasema imejiandaa kupiga sehemu yoyote nchi za mashariki ya kati

Shida mkishabarikiwa hua akili kama zina waruka
Mwaka 2006 wakati wanaivamia Lebanon hakukua na sheria za kimataifa
Israhell anajua kama alichokutana nacho 2006 kitakua mara saba ya atakachoenda kukutana nacho mara hii ndio maana anaogopa
Mkipewa baraka pokeeni kwa akili msiwe kama mmekatwa vichwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…