Israel yadai kuua Makamanda 40 na kuharibu mifumo ya ulinzi wa anga ya Iran

Israel yadai kuua Makamanda 40 na kuharibu mifumo ya ulinzi wa anga ya Iran

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Israel imedai kuwa “idadi kubwa” ya viongozi wakuu wa kijeshi wa Iran waliuawa katika wimbi la kwanza la mashambulizi ya pamoja ya Marekani na Israel dhidi ya nchi hiyo.

Jeshi la Israel (IDF) limesema limewaua makamanda 40 wa ngazi ya juu, likieleza kuwa ni “shambulio la kihistoria” lililowezekana kutokana na taarifa za kijasusi, huku wengi wao wakidaiwa kuuawa katika mashambulizi ya wakati mmoja kwenye maeneo mawili tofauti, ingawa majina yote hayakuwekwa wazi.

IDF imetaja kuwa miongoni mwa waliouawa yupo Mkuu wa Majeshi wa Iran, Abdul Rahim Mousavi, huku vyombo vya habari vya Iran vikithibitisha kuwa yeye pamoja na viongozi wengine wa juu wa usalama walikuwa miongoni mwa waliopoteza maisha.

Jeshi hilo pia limesema limeharibu mifumo ya ulinzi wa anga ya Iran katika maeneo ya magharibi na kati mwa nchi, wakati Jeshi la Anga la Israel likiendelea kupata udhibiti wa anga juu ya mji wa Tehran.

“Jeshi la Anga la Israel linaendelea kufanya operesheni kwa kiwango kikubwa katika ulinzi na mashambulizi, kwa lengo la kuondoa vitisho vinavyoikabili Israel,” ilisema taarifa ya IDF.

============

Israel has claimed that a “majority” or Iran’s senior military leaders were killed in the opening wave of strikes during the joint US-Israel attacks on Iran.

The Israel Defense Forces (IDF) said it had killed 40 senior commanders, calling it a “historic strike” that was possible because of military intelligence. Most of the commanders were killed in simultaneous strikes on two separate sites, the IDF said, without providing the names of all those killed.

The IDF said the list includes Iranian Chief of Staff Lt. Gen. Abdoorahim Mousavi. Iranian state media said Mousavi and other senior Iranian security leaders were among those killed in the US-Israeli strikes.

The Israeli military also said it had dismantled Iran’s aerial defense systems in western and central Iran as the country’s Air Force establishes air superiority over Tehran.

“The Israeli Air Force continues to operate extensively in both defense and offense, with the goal of removing threats posed to the State of Israel,” the IDF said.
 
Iran wamepatikana, wakijikusanya tu kufanya vikao vya kujadili Wayahudi wanamwaga moto, wakiongea kwa simu wananaswa, wakikaa kimya wanazidi kushambuliwa.

Hayo mazishi yenyewe sijui watafanya lini,mambo yanazidi kuwa magumu
 
Iran wamepatikana, wakijikusanya tu kufanya vikao vya kujadili Wayahudi wanamwaga moto, wakiongea kwa simu wananaswa, wakikaa kimya wanazidi kushambuliwa.

Hayo mazishi yenyewe sijui watafanya lini,mambo yanazidi kuwa magumu
Hayo maombolezo ya Ayatollah siku 40 hayajaja bahat mbaya

wanajua hakuna kuwasiliana wala kukutana kwa Sasa
 
Iran ni cha mtoto kwa Israel, akubali tu taulo irushwe kwa maana watamalizwa.
 
Iran wamepatikana, wakijikusanya tu kufanya vikao vya kujadili Wayahudi wanamwaga moto, wakiongea kwa simu wananaswa, wakikaa kimya wanazidi kushambuliwa.

Hayo mazishi yenyewe sijui watafanya lini,mambo yanazidi kuwa magumu
Israel always speaks the language those Mullahs's understand
 
Halafu yeye anazuwia watu kutoa taarifa za kubondwa kwake
 

Attachments

  • Screenshot_2026-03-01-14-41-05-376.jpg
    Screenshot_2026-03-01-14-41-05-376.jpg
    148.7 KB · Views: 42
  • Screenshot_2026-03-01-00-41-08-786.jpg
    Screenshot_2026-03-01-00-41-08-786.jpg
    102.5 KB · Views: 38
SUNDAY, MARCH 1, 2026

NEW MONTH DECLARATION

Daniel 11:32 – “But the people that do know their God shall be strong, and do exploits.”

DECLARATIONS:
1. Heavenly Father, I thank You for bringing me into this new month, our month of wisdom for exploits.

2. I declare that I know my God, I am strengthened, and I am empowered to do exploits.

3. Divine wisdom rests upon my mind and governs every decision I make.

4. I reject confusion, foolishness, and wasted effort; I walk in insight and understanding.

5. My family is equipped with discernment and divine intelligence for every challenge.

6. This month, I step into bold actions backed by heaven’s wisdom.

7. March will produce visible exploits, breakthroughs, and undeniable testimonies in the name of Jesus Christ.

AMEN.

Pastor Daniel Okpara
 
Kwanini wasimalize kabisa mchezo maana kila mara tunasikia tu wameuwa viongozi wa kijeshi mara wanasayansi mara wameteketeza sijui vinu vya nyuklia, kipi kinakwamisha kumaliza kabisa?
 
Kwanini wasimalize kabisa mchezo maana kila mara tunasikia tu wameuwa viongozi wa kijeshi mara wanasayansi mara wameteketeza sijui vinu vya nyuklia, kipi kinakwamisha kumaliza kabisa?
Nyoka unampiga kichwani kwanza mkuu
Hiyo formula ndogo hivyo inakushindaje
 
Nyoka unampiga kichwani kwanza mkuu
Hiyo formula ndogo hivyo inakushindaje
Ni muda mrefu mkuu huyo nyoka amekuwa anapigwa kichwani ila inakuwa inaleta tafsiri kama hakuna madhara kwake huyo nyoka na huko kupigwa kichwani.
 
Pamoja na kuwa wanaopigana ile vita ya Anga ni Wamarekani ILA tusubiri muda utafika tupate taarifa za upande wa pili huko Israel (Tel Aviv) nako hakukaliki - Kwenye Vita usiamini propaganda za upande mmoja....
Niwakumbushe tu kuwa; Mwaka jana Israel Ilivyobeep Iran ilipata kipigo cha mbwa koko
Hivyo ni wajinga tu wa Tanzania wanafikiri ni Israel inapigana Vita Kumbe ni kile kituo cha marekani kilichopo Israel kinapigana....Waisrael wanatangulizwa tu kama chambo; kama unakumbuka hata Lile eneo la Wapelestina walilopewa kama zawadi ya kuwasaidia wamerekani kwenye Vita mwaka 1945 kabla ya hapo hapakuwa na Nchi inaitwa Israel....
 
Out of topic (Waisrael wa Mussa ni kina nani?)

Kwa miaka mingi tangia miaka ya 1970 kumekuwa na vita kati ya Wapelestina na Waisrael.
Waisrael wakiwa na silaha bora sana na Uzoefu mkubwa wa Vita huku Wapalestina wakiwa na mawe na vibunduki vya kuunga unga LAKINI; mara zote hiyo vita huendelea na mwishowe, Israel hunyosha mikono na kuamua bora iishe...
Kwa mtazamo wangu, Taifa linalo onekana teule ni Palestina, kwa kuwa wapo pale kwa asili, lakini pia wanashinda vita kwa uwezo wa Mungu na sio kwa nguvu ya Pesa/Silaha

LAKINI PIA TUKIRUDI KWENYE HISTORIA

Lile eneo la taifa teule, wapalestina ndio wamekuwa pale kwa asili miaka yote
Huku mamluki walio isaidia Marekani wakati wa Vita kuu ya pili ya Dunia mwaka 1945 ambapo wengi wao walikuwa ni Wajerumani, waliganwanywa makundi mawili na Marekani
wale wazungu; walipewa sehemu ya Nchi ya Palestina na kuitwa Waisrael. Inamaana kabla ya mwaka 1945 hapakuwa na Nchi ya Israel
na wale watu weusi, walioisaidia Marekani wao wakapewa sehemu ya Africa Magharibi ambayo kwa sasa inaitwa Nchi ya Ivory Cost

Swali ni je; Tuna hakika gani kuwa Waisrael wa Mussa sio Wapelestina bali ni Mamluki waliosaidia Marekani kwenye vita ya pili ya Dunia ambao wengi wao walikuwa ni Wajerumani na kuzawadiwa eneo la Palestina ambao hata hawamtambui Yesu wala Biblia.

Biblia imewataja Waisrael ILA tunachotaka kujua hapa, Waisrael wa Mussa (Taifa Teule) ni wapi???
 
Ytr
 

Attachments

  • Screenshot_20260301-170258_Lite.jpg
    Screenshot_20260301-170258_Lite.jpg
    124.1 KB · Views: 33
Back
Top Bottom