Nanren
JF-Expert Member
- May 11, 2009
- 3,904
- 4,667
Hii kule Mbeya wanasema mbombo ngafu!Iran wamepatikana, wakijikusanya tu kufanya vikao vya kujadili Wayahudi wanamwaga moto, wakiongea kwa simu wananaswa, wakikaa kimya wanazidi kushambuliwa.
Hayo mazishi yenyewe sijui watafanya lini,mambo yanazidi kuwa magumu