Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
- Thread starter
- #21
Maana yake vifaru na magari ya kijeshi yamelipuliwa kama mchezo yani hakitoki kitu Gaza
View: https://youtu.be/OR-cjftbkZQ?si=8Hq_ggvNozEc1tbB
Ni clip walizopenyezewa Aljazeera wakaacha kuzitangaza kwenye taarifa za habari zao kwa ukamilifu wake.
Itajulikana baadae historia ikiandikwa.