Ni clip walizopenyezewa Aljazeera wakaacha kuzitangaza kwenye taarifa za habari zao kwa ukamilifu wake.Maana yake vifaru na magari ya kijeshi yamelipuliwa kama mchezo yani hakitoki kitu Gaza
View: https://youtu.be/OR-cjftbkZQ?si=8Hq_ggvNozEc1tbB
kama hakuna kitu cha maana, inakuwaje baadhi ya wafanyakazi wa hospitali hadi sasaivi wameshikiliwa kwa mahojiano zaidi? pia, wawe walikuta kitu au la, cha muhimu ni hamas aondolewe kwa namna yeyote. though kwa upande fulani inanikera kuona hao hao wayahudi ni mashoga sana miongoni mwao lakini hamas ni lazima afurushwe.Baada ya kusita kidogo kwa ule moto wa mabomu mazito kwa wiki moja. Tangu jana usiku mabomu mazito ya kuporomosha majengo yamejirudia. Na si kaskazini peke yake bali mpaka kusini watu walikotakiwa waende kwa usalama wao.
Inajulikana hapo juzi Jeshi la Israel liliingia ndani ya Hospitali kuu ya Alshifa. Pamoja na kutangaza hapo awali kuwa Alshifa ndipo ilijpo command nodule ya Hamas. Maneno hayo yalirudiwa na Rais wa taifa kubwa duniani la Marekani, Joe Biden.
Madaktari ambao wengine wala si waislamu au wapalestina walisisitiza hakuna vitu hivyo. Hatimae Jeshi la IDF lililiingia ndani na hakuna kitu cha maana walichokiona. Kwa aibu wamehojiana na wagonjwa kuhusu habari za Hamas bila kujali majeraha waliyowasababishia.
Kurudia kwa mashambulio hayo na vipeperushi vya kuhofisha watu kuna maana nyingi. Kwanza ni kupata aibu kubwa ya kushindwa kuwapata Hamas na mateka kutoka mahospitali manne makubwa walizozivamia na kuzikalia.
Kwa upande mwengine kunaweza kuwa na maana ya kutaka kumaliza haraka uvamizi wake wa Gaza na kutangaza ushindi kabla mambo hayajazidi kuharibika kwa upande wao.
Washirika na waungaji mkono wa Israel kwa sasa wameonekana kuanza kuligeuka taifa hilo jeuri lisiliosikiliza ushauri wa hata marafiki zake wala kutekeleza azimio lolote la umoja wa mataifa.
Kilichotakiwa cha mwanzo ni kuonesha kambi ya jeshi ya Hamas na kuokoa mateka.Kama hakuna hivyo vitu basi jengine lolote halina umuhimu kwa ulimwengu.kama hakuna kitu cha maana, inakuwaje baadhi ya wafanyakazi wa hospitali hadi sasaivi wameshikiliwa kwa mahojiano zaidi? pia, wawe walikuta kitu au la, cha muhimu ni hamas aondolewe kwa namna yeyote. though kwa upande fulani inanikera kuona hao hao wayahudi ni mashoga sana miongoni mwao lakini hamas ni lazima afurushwe.
waisrael kadhaa wanajulikana ni mashoga, substantial number kubwa tu. ila hamas nao kujifichaficha kwenye raia na kwenye mahandaki, na kuteka raia badala ya kuteka wanajeshi, sio mbaya tukiwaita mapunga kabisa.Kilichotakiwa cha mwanzo ni kuonesha kambi ya jeshi ya Hamas na kuokoa mateka.Kama hakuna hivyo vitu basi jengine lolote halina umuhimu kwa ulimwengu.
Mambo ya kuendelea kuwahoji madaktari na wagonjwa ni aina ya ushoga wa askari wa Israel.Umbea ni aina ya sifa za mashoga sawa na akina mama.
Kinachofanywa na Hamas kutetea ardhi zao kwa nini unaona ni vibaya.waisrael kadhaa wanajulikana ni mashoga, substantial number kubwa tu. ila hamas nao kujifichaficha kwenye raia na kwenye mahandaki, na kuteka raia badala ya kuteka wanajeshi, sio mbaya tukiwaita mapunga kabisa.
Mwili wa mateka mmoja wa October 7 umekutwa nje ya hiyo hospitali, hao madaktari wanajua kinachoendelea, IDF wangewakabidhi JWTZ wawapapase hao madaktari wangesema yotekama hakuna kitu cha maana, inakuwaje baadhi ya wafanyakazi wa hospitali hadi sasaivi wameshikiliwa kwa mahojiano zaidi? pia, wawe walikuta kitu au la, cha muhimu ni hamas aondolewe kwa namna yeyote. though kwa upande fulani inanikera kuona hao hao wayahudi ni mashoga sana miongoni mwao lakini hamas ni lazima afurushwe.
Hamas ndio jeuri wasiosikiliza ushauriBaada ya kusita kidogo kwa ule moto wa mabomu mazito kwa wiki moja. Tangu jana usiku mabomu mazito ya kuporomosha majengo yamejirudia. Na si kaskazini peke yake bali mpaka kusini watu walikotakiwa waende kwa usalama wao.
Inajulikana hapo juzi Jeshi la Israel liliingia ndani ya Hospitali kuu ya Alshifa. Pamoja na kutangaza hapo awali kuwa Alshifa ndipo ilijpo command nodule ya Hamas. Maneno hayo yalirudiwa na Rais wa taifa kubwa duniani la Marekani, Joe Biden.
Madaktari ambao wengine wala si waislamu au wapalestina walisisitiza hakuna vitu hivyo. Hatimae Jeshi la IDF lililiingia ndani na hakuna kitu cha maana walichokiona. Kwa aibu wamehojiana na wagonjwa kuhusu habari za Hamas bila kujali majeraha waliyowasababishia.
Kurudia kwa mashambulio hayo na vipeperushi vya kuhofisha watu kuna maana nyingi. Kwanza ni kupata aibu kubwa ya kushindwa kuwapata Hamas na mateka kutoka mahospitali manne makubwa walizozivamia na kuzikalia.
Kwa upande mwengine kunaweza kuwa na maana ya kutaka kumaliza haraka uvamizi wake wa Gaza na kutangaza ushindi kabla mambo hayajazidi kuharibika kwa upande wao.
Washirika na waungaji mkono wa Israel kwa sasa wameonekana kuanza kuligeuka taifa hilo jeuri lisiliosikiliza ushauri wa hata marafiki zake wala kutekeleza azimio lolote la umoja wa mataifa.
wazayuni wana hasira, wanapapasa kuliko hata jwtz. wanatoa kipigo hadi hamas waliokamatwa wameonyesha siri zote na wenzao walipo na majengo wanayotumia na majengo yanayomilikiwa na viongozi wao.Mwili wa mateka mmoja wa October 7 umekutwa nje ya hiyo hospitali, hao madaktari wanajua kinachoendelea, IDF wangewakabidhi JWTZ wawapapase hao madaktari wangesema yote
ile haijawahi kuwa ardhi ya palestina wale hamas, lini ile ardhi ilikuwa ya wapalestina, sema.Kinachofanywa na Hamas kutetea ardhi zao kwa nini unaona ni vibaya.
Israel ina maelfu ya wapalestina iliowateka majumbani mwao wala si Hamas.
Walichokoza wenyewe sasa tabu tupate sisi ya nini..?Baada ya kusita kidogo kwa ule moto wa mabomu mazito kwa wiki moja. Tangu jana usiku mabomu mazito ya kuporomosha majengo yamejirudia. Na si kaskazini peke yake bali mpaka kusini watu walikotakiwa waende kwa usalama wao.
Inajulikana hapo juzi Jeshi la Israel liliingia ndani ya Hospitali kuu ya Alshifa. Pamoja na kutangaza hapo awali kuwa Alshifa ndipo ilijpo command nodule ya Hamas. Maneno hayo yalirudiwa na Rais wa taifa kubwa duniani la Marekani, Joe Biden.
Madaktari ambao wengine wala si waislamu au wapalestina walisisitiza hakuna vitu hivyo. Hatimae Jeshi la IDF lililiingia ndani na hakuna kitu cha maana walichokiona. Kwa aibu wamehojiana na wagonjwa kuhusu habari za Hamas bila kujali majeraha waliyowasababishia.
Kurudia kwa mashambulio hayo na vipeperushi vya kuhofisha watu kuna maana nyingi. Kwanza ni kupata aibu kubwa ya kushindwa kuwapata Hamas na mateka kutoka mahospitali manne makubwa walizozivamia na kuzikalia.
Kwa upande mwengine kunaweza kuwa na maana ya kutaka kumaliza haraka uvamizi wake wa Gaza na kutangaza ushindi kabla mambo hayajazidi kuharibika kwa upande wao.
Washirika na waungaji mkono wa Israel kwa sasa wameonekana kuanza kuligeuka taifa hilo jeuri lisiliosikiliza ushauri wa hata marafiki zake wala kutekeleza azimio lolote la umoja wa mataifa.
Roketi unabeba tu Kama jembe,unarusha,unaziweka mahali,unatuliaInarushwaje mzee , idf iko ndani ya Gaza,wakirusha ina maana wanajitambulisha kwa idf tuko hapaaaa njooni mtuue, hawwezi, kufanya hivyo.
Unaota ndoto mkuu amkaMaana yake vifaru na magari ya kijeshi yamelipuliwa kama mchezo yani hakitoki kitu Gaza
View: https://youtu.be/OR-cjftbkZQ?si=8Hq_ggvNozEc1tbB
Ardhi ya nani,kwa ushahidi you!?..onesha mipaka kupitia huo ushahidiile haijawahi kuwa ardhi ya palestina wale hamas, lini ile ardhi ilikuwa ya wapalestina, sema.
Muisrael mweusi wa Njombe kakasirika anatoa tamko😂Hao vinyesi wasakwe mpaka wapatikane huwezi anzisha vurugu afu utie huruma, ni mabomu kwa kwenda mbele yaaan mpaka mseme
Muda mrefu,anapigana na nani ikiwa kamandi/hospital zote zipo mikononi mwa IDF na Hamas wamezidiwa!?Safisha safisha bado inaendelea. Netanyahu ameshasema kwamba hii vita itachukua muda mrefu sana