Israel yaendelea kupiga kwa hasira Gaza. Maana yake nini

umesema kweli. ni kama wanaadhibiwa kwa kuondoa wayahudi Gaza ili wapalestina wakae. mwaka 2005 kuna majumba mengi tu ya wayahudi yalibomolewa na wao wakahamishiwa westbank na GAza yote ikakabidhiwa kwa palestina. nakumbuka yalishawahi kuwepo pia majengo kule westbank Arriel sharon akavunja na kuhamisha wayahudi, kilichotokea hakumaliza hata mwaka alipigwa stroke akakaa ICU zaidi ya mwaka hadi alipokufa.
 

 
Pole sana, hiyo ni vita siyo operation, vita ni mbaya, mazingira ambayo Israel ametengenezewa ndo yanamfanya aipige Gaza mapigo makuu, Hamas wameshambulia na kuteka, maadui wa Israel wakawapongeza na kusema ni wavamizi wanastahili kufa, Israel alivyojiteea mkasema huu ndo mwisho wa Israel wanajeshi dhaifu, kipigo kilipozidi, mkapiga kelele eti anaua watoto na WA awake, mumetafuta huruma kwenye jamii ya kimataifa, Israel amekaribisha mtu yoyote anayataka vita aende akawasaidie hamasi.
 
Bado hamjasema. Kobazi kwa kobazi, pedo kwa pedo.
 
hata magaidi ya kibiti yalijifanya kama waumin wa kawaida wa dini , hivyo serikali ililaumiwa kuwaua , ila vifo vya hao waumin vikapelekea kutoweka kwa magaidi ya kibiti , je kama magaidi hayakuuliwa kwann hayakurudi tena , the same kwa Gaza , popote penye mashambuliz ujue pana jambo halipo sawa
 
Eti waliingia Alshifa hawkukuta kitu!! Ulikuwepo wewe Kobaz?
 
Mwili wa mateka mmoja wa October 7 umekutwa nje ya hiyo hospitali, hao madaktari wanajua kinachoendelea, IDF wangewakabidhi JWTZ wawapapase hao madaktari wangesema yote
Kwa kweli kwa JWTZ wangekuwa wameshasema
 
K
wazayuni wana hasira, wanapapasa kuliko hata jwtz. wanatoa kipigo hadi hamas waliokamatwa wameonyesha siri zote na wenzao walipo na majengo wanayotumia na majengo yanayomilikiwa na viongozi wao.
Kipogo cha JWTZ nusu saa umeshasema yote
 
Vita haina jema
 
Kwa kweli serikali ilifanya jambo jema kuwapoteza magaidi ya kibiti. Dini sio mlango au uhalali wa ugaidi
 
Eti hasira...hawajawakuta Hamas na mateka Al shifa!?
Wamekuta baadhi ya maiti za mateka hapo Al Shida hospital, maiti za wayahudi zinatangazwa na IDF hadi sasa ni wawili, maiti za nchi nyingine mnaletewa kimyakimya mfano ni hiyo maiti ya mtanzania, wote hapo hospitali, huo ushahidi mwingime mnaoutaka sijui Ni upi

Hao Hamas wamevua magwanda, wameshika kamera kuonyesha maiti za watoto, wamejipa kengo Cha propaganda na mazishi
 
Porojo hizo,wakute maiti za mateka Al shifa na wasitangaze!?
 
Duh inafikirisha Sana hii, 🤔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…