Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 51,303
- 40,190
Nimecheka mzee wa uharo anasema wao wamepoteza bint moja yeye ni muisrel mweusi.Kambi za jeshi ziko imara, nyie mlipoteza ubalozi na majemedari, ila sisi tumepoteza binti mmoja, aise Israel imetiheshimisha hadi raha.
Kwanza Iran wameomba radhi kwa kifo cha huyo binti wamesema wazi siyo nia yao kuuwa raia wao walikuwa wanalenga sehemu za kijeshi na wamefanikiwa.
Wamesema kama Israel atashambulia na kuuwa raia wasiokuwa hatia kama Gaza basi wataingia mzigoni na dunia itasikitika unyama watakaofanya hapo Tel Aviv na miji mingine.