Israel yaendelea kutoa kipigo kwa HAMAS huku dunia ikiibembeleza isijibu Iran

Kambi za jeshi ziko imara, nyie mlipoteza ubalozi na majemedari, ila sisi tumepoteza binti mmoja, aise Israel imetiheshimisha hadi raha.
Nimecheka mzee wa uharo anasema wao wamepoteza bint moja yeye ni muisrel mweusi.

Kwanza Iran wameomba radhi kwa kifo cha huyo binti wamesema wazi siyo nia yao kuuwa raia wao walikuwa wanalenga sehemu za kijeshi na wamefanikiwa.

Wamesema kama Israel atashambulia na kuuwa raia wasiokuwa hatia kama Gaza basi wataingia mzigoni na dunia itasikitika unyama watakaofanya hapo Tel Aviv na miji mingine.
 
Hizi habari zako za kuokoteza unatoa wapi?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…