Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Walishasema hata wakitengwa na ulimwengu wote watajilinda wenyewe na wajibu wao siyo wa Taifa lolote lile. Hao wapo duniani kote ,Marekani na Uiengereza pekee ndio wako mguu njiani mguu majanini kuhusu matendo ya Israel katika vita vyake Gaza.
Mwanamfalme wa Uiengereza .William ataka vita visitishwe. Rais Biden amepunguza sana urafiki na Benjamin Netanyahu japo nchi yake imepiga kura ya veta lakini haina imani na Israel.
Mataifa ya Ufaransa,Italy,Spain,China na Urusi yamejitokeza wazi wazi kutaka vita visitishwe na kuundwa kwa taifa la Palestina haraka
Mchanganyiko wa uungwaji mkono kwa wapalestina kutoka pande zote za mashariki na magharibi ni kutokana na aina ya vita inavyopigana na Hamas.Ni vita ambavyo haviheshimu chochote kati ya kanuni za kimataifa wala ubinadamu.
Wale wenye ubinadamu katika nyoyo zao japokuwa hawawaungi mkono Hamas lakini wameingiwa na huruma kwa wale wanaoumizwa na Israel kwa kiwango ambacho hakina maelezo.
Miongoni mwa vitu ambavyo si vya kawaida kufanywa na majeshi yote yanapopigana na adui zao ni pamoja na kuua kwa makusudi walemavu, wanawake na watoto wao.Mambo mengine ni kubomoa mapipa ya maji na kuzuia chakula kuwafikia watu. Ukatili mwengine ni kufukua makaburi makongwe sana ya miaka mingi na kuondoka na mifupa ikisema inatafuta mateka.
Mengine ni kubomoa hospitali karibu zote kwa kisingizio hicho hicho kwama kuna Hamas wamejificha. Katika hospitali hizo umeme umekuwa ukikatwa hata unaotumika kwenye vyumba vya wagonjwa mahututi na kupelelekea vifo vya wagonjwa hao.
Kitendo cha kikatili cha karibuni kabisa ni kile cha kwanza kuzuia msafara wa vyakula kuwafikia watu wanaokaribia kufa kwa njaa kaskazini ya Gaza na pia kuwashambulia watu waliokuwa wakisubiri kupokea mgao wa chakula maeneo mengine ya Gaza.
Picha ya watoto waliokuwa wakiokota unga uliomwagika ardhini na kujaza mifukoni mwa suruali zao ndiyo imewaliza watu wengi na kuzidi kujitenga na ukatili wa Israel.
Children collect spilled flour from the ground after Gaza aid chaos
Unaongea nonsense watu walivamiwa ...wakauawa mamia ya watu wamebackfire nyie mnalalamika Kama HAMAS walijua Israel ni makatili kwa Nini waliwachokoza? Acha wapambane kiumeNdio ushahidi wa kulaaniwa huo.
Haiwezekani kuwa hutishwi wala kushtushwa na maneono ya yeyote yule.
Unajua binaadamu ana thamani inayotambuliwa na Mungu ambapo iwapo binadamu wenzake hawatamthamini basi majibu yanatoka tofauti.
Unadhani ni kipi kilichomfanya Marekani mwenyewe kukosa nguvu na kukimbia Afghanistan.Ni ule unyama iyokuwa inaufanya na kila mtu akawa anawalaani.
Nguvu zao hatimae zilikuwa kubwa kuliko makombora yote waliyomiliki Marekani na ikabidi wakimbie mchana kweupe.
Ina maana hao waarabu hawajapita dar es salaam hawajapita tanga hawajapita visiwani zanzibar na mafia na kama walipita vp nako ni jangwa au?hakuna watu wamelaaniwa kama waarabu ndugu yangu, we waone tu walivyo. hadi maeneo waliyopita hapa bongo pamegeuka jengwa na umasikini wa kutupwa kwasababu roho mchafu alipita. angalia dodoma, angalia mpwapwa, kondoa, hadi ujiji. sasa hiyo ndio inaitwa laana. hadi udongo unalaaniwa.
Hakika ni mfalme juha huyoMfalme Juha kutokea duniani ni wewe ,hilo jina ulilojipa halistahili mara elfu
Sent from my ZTE T1002 using JamiiForums mobile app
Kwani wanaouwawa nibmagaidi au wanawake na watoto?Wale magaidi wenyewe walipoivamia Israel na kuua watu wenyewe walikuwa wakizingatia kanuni gani za kimataifa na za kibinadamu.
Hao magaidi sio watu ngoja na wenyewe wauwawe tu kwani si hao hao ndio waliwauwa watanzania kinyama namna ile halafu kuna mijitu humu yenye roho za kinyama kama wao eti wanawashabikia kwa nini sasa wasiende kuwasaidia kama wanawapenda kihivyo. Bure kabisa.
IDF walishashindwa vita siku nyingi sana, sasa Vita gani tena isimamishwe?Marekani na Uiengereza pekee ndio wako mguu njiani mguu majanini kuhusu matendo ya Israel katika vita vyake Gaza.
Mwanamfalme wa Uiengereza .William ataka vita visitishwe. Rais Biden amepunguza sana urafiki na Benjamin Netanyahu japo nchi yake imepiga kura ya veta lakini haina imani na Israel.
Mataifa ya Ufaransa,Italy,Spain,China na Urusi yamejitokeza wazi wazi kutaka vita visitishwe na kuundwa kwa taifa la Palestina haraka
Mchanganyiko wa uungwaji mkono kwa wapalestina kutoka pande zote za mashariki na magharibi ni kutokana na aina ya vita inavyopigana na Hamas.Ni vita ambavyo haviheshimu chochote kati ya kanuni za kimataifa wala ubinadamu.
Wale wenye ubinadamu katika nyoyo zao japokuwa hawawaungi mkono Hamas lakini wameingiwa na huruma kwa wale wanaoumizwa na Israel kwa kiwango ambacho hakina maelezo.
Miongoni mwa vitu ambavyo si vya kawaida kufanywa na majeshi yote yanapopigana na adui zao ni pamoja na kuua kwa makusudi walemavu, wanawake na watoto wao.Mambo mengine ni kubomoa mapipa ya maji na kuzuia chakula kuwafikia watu. Ukatili mwengine ni kufukua makaburi makongwe sana ya miaka mingi na kuondoka na mifupa ikisema inatafuta mateka.
Mengine ni kubomoa hospitali karibu zote kwa kisingizio hicho hicho kwama kuna Hamas wamejificha. Katika hospitali hizo umeme umekuwa ukikatwa hata unaotumika kwenye vyumba vya wagonjwa mahututi na kupelelekea vifo vya wagonjwa hao.
Kitendo cha kikatili cha karibuni kabisa ni kile cha kwanza kuzuia msafara wa vyakula kuwafikia watu wanaokaribia kufa kwa njaa kaskazini ya Gaza na pia kuwashambulia watu waliokuwa wakisubiri kupokea mgao wa chakula maeneo mengine ya Gaza.
Picha ya watoto waliokuwa wakiokota unga uliomwagika ardhini na kujaza mifukoni mwa suruali zao ndiyo imewaliza watu wengi na kuzidi kujitenga na ukatili wa Israel.
Children collect spilled flour from the ground after Gaza aid chaos
Tumefikia huku? Hali yetu ni mbaya. Sasa tunatafuta huruma 🤣Marekani na Uiengereza pekee ndio wako mguu njiani mguu majanini kuhusu matendo ya Israel katika vita vyake Gaza.

Mbona mnatuchanganya sheikh? Tushike lipi?IDF walishashindwa vita siku nyingi sana, sasa Vita gani tena isimamishwe?
Hahaha inashangaza sana maana hawa ma reporter wa Hamas humu ndani kuanzia Alwaz bibi Faiza na mwanae malaria Kila siku wanawapamba Hamas walivyo very competence kwenye battlefield Cha ajabu wanalilia ceasefire inashangaza sanaTumefikia huku? Hali yetu ni mbaya. Sasa tunatafuta huruma 🤣
Mimi na hawa wenzangu tulikubaliana kuwapiga vita humu JF hao Israel mpaka wafe. Naona kama wenzangu wamebadili gear hewani? Sielewi tena jamaa anaanzaje kuonesha kama huruma huruma. Tulisema Israel ameingia kwenye mtego atauliwa hadi bata. Sasa jamaa kama wananiachia peke yangu?Hahaha inashangaza sana maana hawa ma reporter wa Hamas humu ndani kuanzia Alwaz bibi Faiza na mwanae malaria Kila siku wanawapamba Hamas walivyo very competence kwenye battlefield Cha ajabu wanalilia ceasefire inashangaza sana
Out of topics Chizi unajua Kuna mwamba kakufungulia thread 🧵 uko?😂
Mfalme Juha kutokea duniani ni wewe ,hilo jina ulilojipa halistahili mara elfu
Sent from my ZTE T1002 using JamiiForums mobile app
Kwani wanaouwawa nibmagaidi au wanawake na watoto?
Au hao wanawake na watoto ndio magaidi?
Ule hauwezi kuitwa ugaidi.
Ugaidi halisi ni huu unaofanywa na Israel na wafadhili wake.