Israel yafanya mambo ya aibu na uwendawazimu.Yatengwa na mataifa karibu yote duniani

Israel yafanya mambo ya aibu na uwendawazimu.Yatengwa na mataifa karibu yote duniani

Marekani na Uiengereza pekee ndio wako mguu njiani mguu majanini kuhusu matendo ya Israel katika vita vyake Gaza.

Mwanamfalme wa Uiengereza. William ataka vita visitishwe. Rais Biden amepunguza sana urafiki na Benjamin Netanyahu japo nchi yake imepiga kura ya veta lakini haina imani na Israel.

Mataifa ya Ufaransa, Italy, Spain, China na Urusi yamejitokeza wazi wazi kutaka vita visitishwe na kuundwa kwa taifa la Palestina haraka.

Mchanganyiko wa uungwaji mkono kwa wapalestina kutoka pande zote za mashariki na magharibi ni kutokana na aina ya vita inavyopigana na Hamas. Ni vita ambavyo haviheshimu chochote kati ya kanuni za kimataifa wala ubinadamu.

Wale wenye ubinadamu katika nyoyo zao japokuwa hawawaungi mkono Hamas lakini wameingiwa na huruma kwa wale wanaoumizwa na Israel kwa kiwango ambacho hakina maelezo.

Miongoni mwa vitu ambavyo si vya kawaida kufanywa na majeshi yote yanapopigana na adui zao ni pamoja na kuua kwa makusudi walemavu, wanawake na watoto wao. Mambo mengine ni kubomoa mapipa ya maji na kuzuia chakula kuwafikia watu. Ukatili mwengine ni kufukua makaburi makongwe sana ya miaka mingi na kuondoka na mifupa ikisema inatafuta mateka.

Mengine ni kubomoa hospitali karibu zote kwa kisingizio hicho hicho kwama kuna Hamas wamejificha. Katika hospitali hizo umeme umekuwa ukikatwa hata unaotumika kwenye vyumba vya wagonjwa mahututi na kupelelekea vifo vya wagonjwa hao.

Kitendo cha kikatili cha karibuni kabisa ni kile cha kwanza kuzuia msafara wa vyakula kuwafikia watu wanaokaribia kufa kwa njaa kaskazini ya Gaza na pia kuwashambulia watu waliokuwa wakisubiri kupokea mgao wa chakula maeneo mengine ya Gaza.

Picha ya watoto waliokuwa wakiokota unga uliomwagika ardhini na kujaza mifukoni mwa suruali zao ndiyo imewaliza watu wengi na kuzidi kujitenga na ukatili wa Israel.

Children collect spilled flour from the ground after Gaza aid chaos


nilitegemea nione hayo mataifa yaliyoitenga??

watz n vichaa
 
hilo haliwatishi, wao kutengwa hawaogopi, wanapigania uhai wao. hivi wewe utatishika nini unapotengwa na mtu asiyekuwa na akili? mataifa yote yaliyojifanya kumpinga Israel hayajawapinga Hamas wala kulaani kile hamas wamefanya, sasa watu kama hao impartial na biased kiasi hicho wakikutenga utastuka?

Si unaendelea na maisha yako watajijua wenyewe huko? hadi mambumbumbu ya kiafrika yamejifanya yanamtenga Israel ambaye hata hajawahi kuwahitaji kana kwamba hawezi kuishi bila wao.
Kuna watu wanafikiri Israel imeanza juzjuz aisee hilo taifa kongwe mnoooo na limepitia mapito mazito kuliko kutengwa watu wamekaa utumwani miaka 400 watu wameingia kaanan kwa kupigana vita nyingi njian watu wamepewa adhabu/mapigo nyingi/mengi/ na Mungu na bado kwa neema ya Mungu wapo na milele na milele wataendeea kuwepo. yule mtume wa shetani na shetan mwenyewe wana makao makuu maka na madina wakaona haitoshi wakataka na Jersusalem mji wa Mungu nao waufanye makao yao makuu hapa duniani!
 
Kama hawaku kemea walichofanya hamas mwaka jana basi hawana uhalali wa kukemea kinacho fanywa na Israel japokua wote wanafanya makosa
 
Propaganda tu za mazayuni hizi
Screenshot_20240214-235011.png
 
hilo haliwatishi, wao kutengwa hawaogopi, wanapigania uhai wao. hivi wewe utatishika nini unapotengwa na mtu asiyekuwa na akili? mataifa yote yaliyojifanya kumpinga Israel hayajawapinga Hamas wala kulaani kile hamas wamefanya, sasa watu kama hao impartial na biased kiasi hicho wakikutenga utastuka?

Si unaendelea na maisha yako watajijua wenyewe huko? hadi mambumbumbu ya kiafrika yamejifanya yanamtenga Israel ambaye hata hajawahi kuwahitaji kana kwamba hawezi kuishi bila wao.
Umemaliza kila kitu,sina cha kuongezea
 
Ndio ushahidi wa kulaaniwa huo.
Haiwezekani kuwa hutishwi wala kushtushwa na maneono ya yeyote yule.
Unajua binaadamu ana thamani inayotambuliwa na Mungu ambapo iwapo binadamu wenzake hawatamthamini basi majibu yanatoka tofauti.
Unadhani ni kipi kilichomfanya Marekani mwenyewe kukosa nguvu na kukimbia Afghanistan.Ni ule unyama iyokuwa inaufanya na kila mtu akawa anawalaani.
Nguvu zao hatimae zilikuwa kubwa kuliko makombora yote waliyomiliki Marekani na ikabidi wakimbie mchana kweupe.
Waambie hamas basi waachie mateka na vita itaisha
 
Magaidi wanapumulia mdomo. Israel anatibu kunguni wa dunia, mwaga sumu ua choma moto.
 
Hao wazungu wa ulaya eti ndii mazayuni Hitler aliona mbali Sana tuliaminishwa Hitler ni mbaya kumbe history hatukuijua hao walitakiwa watafutiwe dunia yao labda mwezini lakini duniani hamna wakukaa nao
wazungu waliopigana na hitler ndo hawa wa leo ? je sera zao ni sw na hawa wa leo ? Mtu mweusi anapenda mambo ya ukiona IN ORDER bas weka TO , au SO bas weka THAT , hii elimu imetuharibu watu wengi , hatupend kufuatilia , ni sw na mzungu kusema waarabu wote ni waarafrika kisa wapo waarabu ndan ya Afrika , PENDEN KUFUATILIA , UZAYUNI SEHEM YA ULAYA NA HAPO MASHARIKI YA KATI , ACHENI KUTAKA DUNIA NZIMA IAMIN MTAKAVYO , MKITAKA HISTORIA ANZIA KWAKO WW UNAPOISHI LEO KIASILIA NI KWENU ?
 
Ndio ushahidi wa kulaaniwa huo.
Haiwezekani kuwa hutishwi wala kushtushwa na maneono ya yeyote yule.
Unajua binaadamu ana thamani inayotambuliwa na Mungu ambapo iwapo binadamu wenzake hawatamthamini basi majibu yanatoka tofauti.
Unadhani ni kipi kilichomfanya Marekani mwenyewe kukosa nguvu na kukimbia Afghanistan.Ni ule unyama iyokuwa inaufanya na kila mtu akawa anawalaani.
Nguvu zao hatimae zilikuwa kubwa kuliko makombora yote waliyomiliki Marekani na ikabidi wakimbie mchana kweupe.
wewe huna akili , unajuwa kabisa makosa waliyafanya Waarab mwaka 1948 badala wajenge nchi kwenye ardhi yao kubwa wakataka vita , aya vita imewafikisha huku walipo leo ndo anataka tena nchi mbili ambazo walizikataaa , je watakuwa tyr kulipa fidia ya athari za vita zote ambazo waarabu walizianzisha huko nyuma ? waarab wanajifanya kama hawajui nini kilitokea huko nyuma na kujifanya kama wao walikuwa na agenda ya two state tangu mwaka 1948 wkt sio kwel ,wauliwe waarabu wote ni jamii ya watu wajinga sana na wabinafsi sana , refer Sudan pia
 
Samahani hivi kabla ya Halocust Wayahudi walikuwa wanawasumbua watu gani?.

Wakati fulani mambo mengine hutengenezwa. Israel mentality wanajilinda isitokee tena kama ya Hiltiler na kuisikiliza vzr Waarabu huwa wanataka wawafute hivi wataishije kama sio kujitetea hata kwa namna isiyo faa?
Kile tunaona Israeli inafanya ndio kizazi cha Kipalestina kitakuwa i.e kujitetea na kujilinda ma Mazayuni kwa gharama yoyote.
Ni waafrika tu ambao walitawaliwa na kuuawa na wazungu hadinkuuzwa kama kuku lkn hawana kinyongo leo mzungu na Mwaarabu ni wa muhimu mbele za mwafrika kuliko mwafrika mwenzake hii ni Karama sio bure.

Kinachoendelea middle east sio cha kuvumilia hata kutazama kuona mtoto mdogo au mama analia na kuteseka.
Ni sawa na kipindi cha halocust wayahudi waliuawa kinyama sana hadi kutengezwa sehemu maalum za kuwaua kwa wingi yote haya ni idealogy za ajabu ajabu tu
kosa ni la waarabu kuona vita ni solution wkt hawana nguvu , waarabu wanataka ivuruga dunia maana wanashambulia Israel kisha wanakuja kutia huruma huku kwetu tuwalilie kwa ujinga wao , walishapewa ofa nyingi za kuunda nchi yao ila wamekataa , lengo la ni kuifuta Israel , je wanapingana na quran ? hawa watu ndio maana kila walipo hukosi vita
 
Back
Top Bottom