Israel yafanya mashambulizi makubwa Syria, wanajeshi wa Iran miongoni mwa waliouawa

Israel yafanya mashambulizi makubwa Syria, wanajeshi wa Iran miongoni mwa waliouawa

UPDATE: idadi ya waliofariki ni zaidi ya 40,ikiwemo wanajeshi wa Syria.
Ukisoma vizuri historia ya waisrael(hapa nieleweke maana jews ni part tu ya israelites) huwa filosofia yao ni kujilinda tu ....wamekuwa wahanga wa invaders throughout their history empire kubwa kubwa zimewavamia zikawatawala mpaka zikapoteza identity ila mpaka leo wale jamaa wamehifadhi historia yao na tamaduni zao wapi persian, macedonia, roman na egypt walipotea wote ila still part of israelites are still alive.
 
Back
Top Bottom