Israel yafanya shambulio baya nchini Lebanon na kuua zaidi ya 50, huku zaidi ya 300 wakijeruhiwa

Vifo vimefikia 274 mpaka sasa kwa haya mashambulizi ya Leo tu hali inatisha mno.
 
Aisee israel imeanzisha moto mkubwa upande wa lebanon ni maghala ya silaha ya hezbollah yanachomwa yanatoa milipuko ya kutisha kiukweli leo israel imewaamulia hezbollah na lebanon inageuzwa gaza now
 
Kama kawaida yao hawa waabudu wa shetan allah wanaficha silaha zao kwenye nyumba za raia ona hapa hiyo milipuko inayoendelea baada ya kulipuriwa

View: https://x.com/VividProwess/status/1838221487947338040
View: https://x.com/OliLondonTV/status/1838203758943043654
 
Ukichokoza watu uwe na ubavu. Hawa hezbollah soon tu nao watafutwa. Pale middle east kuna kazi maalumu ya kidunia afu US yupo pale pale anasibiria mtu aingilie mazima 😁😁😁😁 itakua amenunua ugomvi kwa lazima
Hizbullah siyo Hamas,Us ndiye aliyemuhonga Iran kuondolewa vikwazo Ili asirushe vyuma israel, hizbullah wametangaza 'war of reckoning'..ngoja tuone
 

View: https://youtu.be/aIVNdlllwkk?si=JGW6GvgAmsRd26vO
Hizi channels za kiarabu UAE na zingine za Saud Arabia ni ma spy hawa channel hi mtangazaji anamuliza mwenzake wapi
Exactly zinatokea hizi missiles za Hezbullah 😄 Mwenzake anasema ni vigumu kugundua zinatokea wapi Sky News na Al Arabiya sio Al Arab TV.

Al Arabiya ni 💯 ya Israel broadcasting from UAE tu na Sky pia from UAE
 
Hawa Hezbullah mafala sana, wao Israel wanau Raia, nyie mnapiga askari pigeni Raia wao pia uwaone kama atagusa tena Lebanon. Hata uislam unakuambia anaye kushambulia mshambulie vile vile.
Kilio kimeanza ukiwa buza. Mi nafikiri kueni wapole, kwan na nyie si mmepiga vikombora juz kat mkaua mifugo na kubomoa majengo??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…