Bubu Msemaovyo
JF-Expert Member
- May 9, 2007
- 4,120
- 3,468
Baada ya nchi kama Iran, Iraq, Lebanon kuungana na kuishambulia Israel naona kila dalili ya vita ya tatu ya dunia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini usiwahusu? Israel haja acha kupiga Lebanon na isingekua Hizbollah pengine hio Nchi sasa hivi ingekua vita kila eneo.Ila hizbollah walitahadharishwa kabla ya kwamba wasiingilie mgogoro usiowahusu...
Kama kawaida Jf Imejaa vilaza na waropokaji.Wamekimbia kambini wameenda kwa raia....tutawamalizia huko huko...vita SI chujio useme linachuja tui na Nazi...we raia uliepewa muda wa kuondoka na ukakaidi..utapigwa tu..na mi nasema watapigwa tu maana hakuna namna sasa
Itokee tu dunia na nchi nyingi hatma zake zjulikane 😄Tanzania ifutike kabisa pamoja na watanzania wenyewe nikiwemo Mimi 🥴 ila wabaki wanangu tu🙄
Umeziona short term reasons zozote? au zote ni long term reasons. Nakumbuka sababu za Second World War ilikuwa ni assassination za mwana wa mfalme Archiduke France Feldinand Kule Salajevo Bosnia.Baada ya nchi kama Iran, Iraq, Lebanon kuungana na kuishambulia Israel naona kila dalili ya vita ya tatu ya dunia.
futa komenti yako inadharirisha!..😂Tanzania ifutike kabisa pamoja na watanzania wenyewe nikiwemo Mimi 🥴 ila wabaki wanangu tu🙄
🤣🤣🤣🤣 Yaan maisha haya bhana 🙌futa komenti yako inadharirisha!..😂
Kabisakabisa 🤣 🤭Itokee tu dunia na nchi nyingi hatma zake zjulikane 😄
Ova
Huyo jamaa nishasnza kuwa na wasiwasi naye nilikuwa namuona kachangamka kuliko ndugu zake ktk Imani kumbe bure kabisa hivi Vyanzo vyake sijui anavitoa masjidi ipi.Afu mashambulizi yaliyoenda israel yapo kwenye hayo makazi..? Hujui israel anafumua ziliporushwa roketi..?
Vita vya makombora miyeyusho mkuu hainaga macho mbaya zaid magaid yanakuaga na ofisi kwenye majengo ya kiraiaWanaouliwa si Hezbollah ni wananchi wa kawaida hapo unasikia 50 wamekufa 300 majeruhi zaidi ya 90% ni raia wa kawaida.
"Tutawamaliza" mtu mweusi akijifanya upande wa Israel.Wamekimbia kambini wameenda kwa raia....tutawamalizia huko huko...vita SI chujio useme linachuja tui na Nazi...we raia uliepewa muda wa kuondoka na ukakaidi..utapigwa tu..na mi nasema watapigwa tu maana hakuna namna sasa
Hezbollah si kikundi cha mtaani, kina kambi na ofisi zinazotambulika, mfano wake ni kama Wagner, kama unahisi wanarusha makombora toka Uraiani una mengi ya kujifunza.Vita vya makombora miyeyusho mkuu hainaga macho mbaya zaid magaid yanakuaga na ofisi kwenye majengo ya kiraia
Duuu kwa jinsi hezbollal walivyokua wanasifiwa na wavaa kobazi nilijua israel hawez rusha hata jiwe...At least 50 people have been killed and more than 300 wounded by Israeli air strikes in Lebanon, the ministry of health said Monday.
Also read >Wakazi wa Kusini mwa Lebanon wamepokea SMS zikiwataka kuhama kwenye nyumba zao
View attachment 3104244
Smoke billows over southern Lebanon following Israeli air attacks [Aziz Taher/Reuters]
Published On 23 Sep 202423 Sep 2024
Israeli air attacks on southern Lebanon have killed at least 50 people and wounded more than 300, according to the Lebanese Ministry of Public Health.
Children, women and medics were among the victims in Monday’s attacks that came after Israel told residents of southern Lebanon to evacuate from homes and other buildings where it claimed Hezbollah had stored weapons, saying the military would conduct “extensive strikes” against the group.
Lebanese media also reported that residents received text messages telling them to move away from any building where Hezbollah stores arms until further notice.
The warnings were the first of their kind in nearly a year of steadily escalating conflict that has forced the displacement of communities on both sides of the border.
On Sunday, Hezbollah launched about 150 rockets, missiles and drones into northern Israel in retaliation for strikes that killed a top commander and dozens of fighters.
The increasing strikes and counterstrikes have raised fears of an all-out war.
With Israel’s war on Gaza approaching the one-year mark, Hezbollah has decided to continue its strikes in solidarity with the Palestinians in the besieged and bombarded territory even as Israel says it is committed to returning calm to its northern border.
Source: Photos: Israeli air raids hit wide swaths of southern Lebanon, kill dozens