stormryder
JF-Expert Member
- Mar 23, 2013
- 3,776
- 5,786
Sawa sawa watapata zaidi wanachokitaka. Hakuna mtu wakumzd israel kwa haon magaidiHizbullah siyo Hamas,Us ndiye aliyemuhonga Iran kuondolewa vikwazo Ili asirushe vyuma israel, hizbullah wametangaza 'war of reckoning'..ngoja tuone
Hapo imetunguliwa au ndio inewmenda kufanya yake
Tule mtori, nyama zipo' chiniSawa sawa watapata zaidi wanachokitaka. Hakuna mtu wakumzd israel kwa haon magaidi
This time wameapa kula sahani moja na magaidiAisee israel imeanzisha moto mkubwa upande wa lebanon ni maghala ya silaha ya hezbollah yanachomwa yanatoa milipuko ya kutisha kiukweli leo israel imewaamulia hezbollah na lebanon inageuzwa gaza now
Hilo silijui, kama yupo anaejua humu atakujibu.Hizbollah wana dini?.
Nafikiri ndiyo kifuatacho itvHawa Hezbullah mafala sana, wao Israel wanau Raia, nyie mnapiga askari pigeni Raia wao pia uwaone kama atagusa tena Lebanon. Hata uislam unakuambia anaye kushambulia mshambulie vile vile.
Hahha mamamae lebanon inakua kama gaza nyingine na hii itakua zaidi. Na vzr US ashasogea mpaka jikon kuwa kiherehere aingilie atakutana na kubwa ya karneTule mtori, nyama zipo' chini
Patakua vifusi kabla ya oktobaMfumo wa kuzuia makombora hauwezi kufanya kazi kwa asilimia 100.
Ndio maana wayahudi wameandaa mahandaki ya kutosha ya kujikinga dhidi ya mashambulizi ya magaidi Hezbollah
Israel ndiyo hulilia USA iwape silahaHahha mamamae lebanon inakua kama gaza nyingine na hii itakua zaidi. Na vzr US ashasogea mpaka jikon kuwa kiherehere aingilie atakutana na kubwa ya karne
Afu mashambulizi yaliyoenda israel yapo kwenye hayo makazi..? Hujui israel anafumua ziliporushwa roketi..?Weeeeh weeeh weeeeh acha upumbavu.
Hizbollah ana kambi rasmi ya jeshi ambako ndipo anapofanyia mashambulizi na kila kitu zipo kilometa hamsini mbali na makazi ya raia.
allah na muhammad ni wahuni sana, wamewaponza waislamu.
Hakuna Shambulio zuri.At least 50 people have been killed and more than 300 wounded by Israeli air strikes in Lebanon, the ministry of health said Monday.
Also read >Wakazi wa Kusini mwa Lebanon wamepokea SMS zikiwataka kuhama kwenye nyumba zao
View attachment 3104244
Smoke billows over southern Lebanon following Israeli air attacks [Aziz Taher/Reuters]
Published On 23 Sep 202423 Sep 2024
Israeli air attacks on southern Lebanon have killed at least 50 people and wounded more than 300, according to the Lebanese Ministry of Public Health.
Children, women and medics were among the victims in Monday’s attacks that came after Israel told residents of southern Lebanon to evacuate from homes and other buildings where it claimed Hezbollah had stored weapons, saying the military would conduct “extensive strikes” against the group.
Lebanese media also reported that residents received text messages telling them to move away from any building where Hezbollah stores arms until further notice.
The warnings were the first of their kind in nearly a year of steadily escalating conflict that has forced the displacement of communities on both sides of the border.
On Sunday, Hezbollah launched about 150 rockets, missiles and drones into northern Israel in retaliation for strikes that killed a top commander and dozens of fighters.
The increasing strikes and counterstrikes have raised fears of an all-out war.
With Israel’s war on Gaza approaching the one-year mark, Hezbollah has decided to continue its strikes in solidarity with the Palestinians in the besieged and bombarded territory even as Israel says it is committed to returning calm to its northern border.
Source: Photos: Israeli air raids hit wide swaths of southern Lebanon, kill dozens
Na magaidi wanailolia iran. Au vp mkipigwa mnaanza US asingekuepo. Ni mshirika wake na wanategemeana kila upande ushinde mechi zakeIsrael ndiyo hulilia USA iwape silaha
UN haina uwezo wa kuiambia Israel lolote sababu UN iliweka vikosi vya kulinda amani kwenye mpaka wa Israel na Lebanon lakini Hezbollah wamekuwa wakifanya watakavyo na UN haikuwahi kusikika ikiwakemeaUkisema alikimbizwa sijui unamaanisha nini ila kupitia sources mbalimbali zinasema IDF alishaingia Lebanon na kufanya chochote alichokuwa anataka kukifanya kama ilivyo Gaza kwasasa na waliamua kuondoka Lebanon kwa shinikizo la umoja wa mataifa.
Sidhani kama Kuna vita ambayo Hizbullah amepata hasara kubwa kamaa hii inayoendelea kwasasa na inavyooneka UN watatia shinikizo IDF wasitishe kushambulia Lebanon alafu mwakani mtakuja tena mmseme IDF walishindwa vibaya kwenye vita vya 2024.
Watoto wazuri hawa, tutawanunulia viatu vya sikukuuIla walebanon sio wakaidi kama Gaza Leo maelfu ya raia wameondoka kupisha mvua ya mabomuView attachment 3104547
Wamekimbia kambini wameenda kwa raia....tutawamalizia huko huko...vita SI chujio useme linachuja tui na Nazi...we raia uliepewa muda wa kuondoka na ukakaidi..utapigwa tu..na mi nasema watapigwa tu maana hakuna namna sasaNi sahihi kuitisha kikao kwasababu raia wanashambuliwa.
Na mbaya zaidi Israel inaacha kushambulia kambi za Hizbollah zinazoonekana inashambulia raia.
Kwani mbona Netanyahu alilalamika UN Houthi walipokuja Syria mwezi huu!??
Je Netanyahu naye tumcheke!?
Hivyo wapigwetu. Twaaa..?Wamekimbia kambini wameenda kwa raia....tutawamalizia huko huko...vita SI chujio useme linachuja tui na Nazi...we raia uliepewa muda wa kuondoka na ukakaidi..utapigwa tu..na mi nasema watapigwa tu maana hakuna namna sasa
Casualties Israel zinatokea sana, ni vile hawatangazi.Hawa Hezbullah mafala sana, wao Israel wanau Raia, nyie mnapiga askari pigeni Raia wao pia uwaone kama atagusa tena Lebanon. Hata uislam unakuambia anaye kushambulia mshambulie vile vile.