Israel yafanya shambulio baya nchini Lebanon na kuua zaidi ya 50, huku zaidi ya 300 wakijeruhiwa

Mzee Neta piga kisogoni bado wanahema
 
Mbona Ushahidi upo? Kule Gaza picha na video zilionesha mitambo ya kutengeneza silaha na vifaa vya mawasiliano ilivyogundulika chini kwenye mahandaki ambayo milango ya kuingilia au kutokea ilikuwa chini ya majumba ya ghorofa ya kiraia au kijamii. Hilo nalo unalikataa? Kwanini hao Raia kung'ang'ania (wengine walilazimishwa)kukaa hapo kana kwamba ni kuku anaatamia mayai.?
 
Hezbollah msiniangushe kama vijana wa CHADEMA walivyomuangusha Mbowe, tafadhali.
 
Hakuna World war Israel anasimama peke yake tu na kuwatwanga wote... Muslim ni chuki tu zinawasumbua lakini Israel hataki ugomvi na mtu.. Yashangaza sana and akiwapiga anawaonya mapema kwa upole...
 
UN haina uwezo wa kuiambia Istael lolote sababu UN iliweka vikisi vya kulinda amani kwenye npaka wa Israel na Lebanon lakini Hezbollah wamekuwa wakifanya watakavyo na UN haikuwahi kusikika ikiwakemea
Makombora hayanaga cha visiki (beacons).
 
Lebanese Army ,ndio jeshi hao wahuni ni magaidi
 
Wakristo wa lebanon kumbe nao huimba Taqibiiir- Allah' akbar na kuvaa vipedo?
Tatizo Lugha


Unahisi Mwarabu Mkristo hasemi Allahu Akbar? Hata Tanzania Makanisa kibao wanasema Allahu Akbar sema tu kwa Lugha nyengine.

Na hata kabla ya Mtume wetu Yesu alivaa hivyo mnvyoita Vipedo pia Musa na mtume wengine

Hilo ni vazi la mitume,
Na mpaka leo ni kWaida kuwa kuta wamevaa Kabisani the so called vipedo


Ila sababu ya ushamba wenu kutojua dini yenu na kukaririshwa Mila za Ulaya kama ndio Ukristo munashangaa mkiona mtu kavaa kanzu fupi ambalo ni Vazi la Kibiblia.
 
Wale makamanda zaidi ya Hamsini waliouliwa si Hizbullah?Hebu kuwa na heshima kwa GT walio humu basi
Unaweza ukaweka majina ya hao watu 100 waliouliwa humu ewe Great Thinker? Na Position zao huko Hezbollah? Maana unaonekana una taarifa Nyeti hata Serikali ya lebanon haijui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…