Israel yafanya shambulio baya nchini Lebanon na kuua zaidi ya 50, huku zaidi ya 300 wakijeruhiwa

Wayahudi wanawaona akili kubwa nawashangaa wanawezaje kumpima mtu akili kwamatendo kama aya yani nyumba yako ya vioo unarusha jiwe ktk nyumba ya mwenzio ambayo pia ni yavioo. Mana ipo wazi uyu atajibu kwaatua sawa na yako au zaid sasa kweli awajamaa wana akili za kuwasifia au ushabiki tu watanzania wenzangu. Kwani amani inashindikana kweli.
 
hadi sasa wame update figure, zaidi ya walebanon 100 wameuawa tayari
Na m'bado. Myahudi anajitahidi sana kuwatawadha hao jamaa wavaa kobaaz ili waende kwa mabikra walioahidiwa wakiwa na udhu. Lakini cha kushangaza ni mbona bado ni wachache (100+) hadi sasa waliokwisha pewa udhu na kupata kibali cha kuwahi huko kwa mabikra na mito ya pombe? Myahudi anatuangusha kweli. IDF pull up ur socks.
 
Tusubiri majibu ya Hizbollah.
Mdogo wangu Hezbullah mwenyewe anataka wa Lebanon wafe, sababu Israel huwa hana mipaka ya adabu kwenye vita. Tazama mfano pale Gaza anafanya genocide sababu anajua wazi yuko America na Europe watamkingia kifua. Hezbullah ni lazima na yeye apige civilian area ndio Israel ataweka adabu.

Israel haheshimu isipokuwa nguvu tu, yeye akiuwa civilian na nyie uweni civilian. Vita haina adabu eti nikwepe civilian. Israel anakataza media kuchukua madhara anayo pata ya kijeshi, lakini kwenye kiwanda cha Rafael karuhusu wachukue majumba ya mastaff asingizie wanapiga civilian. Afu yeye anajidai watu tokeni kwenye majumba yenu, afu anapiga hapa hapo ili aseme aliwapa warning.

Ukipigana na mwehu na wewe kuwa mwehu kama yeye akipiga civilian na wewe piga civilian ndio dawa yake.
 
Hawa Hezbullah mafala sana, wao Israel wanau Raia, nyie mnapiga askari pigeni Raia wao pia uwaone kama atagusa tena Lebanon. Hata uislam unakuambia anaye kushambulia mshambulie vile vile.
Uisalam up mkuu
 
Mdogo wangu Hezbullah mwenyewe anataka wa Lebanon wafe, sababu Israel huwa hana mipaka ya adabu kwenye vita. Tazama mfano pale Gaza anafanya genocide sababu anajua wazi yuko America na Europe watamkingia kifua. Hezbullah ni lazima na yeye apige civilian area ndio Israel ataweka adabu.

Israel haheshimu isipokuwa nguvu tu, yeye akiuwa civilian na nyie uweni civilian. Vita haina adabu eti nikwepe civilian. Israel anakataza media kuchukua madhara anayo pata ya kijeshi, lakini kwenye kiwanda cha Rafael karuhusu wachukue majumba ya mastaff asingizie wanapiga civilian. Afu yeye anajidai watu tokeni kwenye majumba yenu, afu anapiga hapa hapo ili aseme aliwapa warning.

Ukipigana na mwehu na wewe kuwa mwehu kama yeye akipiga civilian na wewe piga civilian ndio dawa yake.
Hizbullah na Hamas wanatamani sana hayo yote uliyoyasema ila bahati mbaya uwezo wa kufanya hivyo hawana.
 
Mdogo wangu Hezbullah mwenyewe anataka wa Lebanon wafe, sababu Israel huwa hana mipaka ya adabu kwenye vita. Tazama mfano pale Gaza anafanya genocide sababu anajua wazi yuko America na Europe watamkingia kifua. Hezbullah ni lazima na yeye apige civilian area ndio Israel ataweka adabu.

Israel haheshimu isipokuwa nguvu tu, yeye akiuwa civilian na nyie uweni civilian. Vita haina adabu eti nikwepe civilian. Israel anakataza media kuchukua madhara anayo pata ya kijeshi, lakini kwenye kiwanda cha Rafael karuhusu wachukue majumba ya mastaff asingizie wanapiga civilian. Afu yeye anajidai watu tokeni kwenye majumba yenu, afu anapiga hapa hapo ili aseme aliwapa warning.

Ukipigana na mwehu na wewe kuwa mwehu kama yeye akipiga civilian na wewe piga civilian ndio dawa yake.
Basi kaka tusubiri tuone Hizbollah ataamua nini.
Ila sidhani kama atafanya tukio jepesi.
 
Hizbullah walisema israel watachagua vita au amani,vita vinavyofuata sheria au visivyofuata sheria, israel wameamua kufuata vita visivyofuata sheria
Ukichokoza watu uwe na ubavu. Hawa hezbollah soon tu nao watafutwa. Pale middle east kuna kazi maalumu ya kidunia afu US yupo pale pale anasibiria mtu aingilie mazima 😁😁😁😁 itakua amenunua ugomvi kwa lazima
 
Mdogo wangu Hezbullah mwenyewe anataka wa Lebanon wafe, sababu Israel huwa hana mipaka ya adabu kwenye vita. Tazama mfano pale Gaza anafanya genocide sababu anajua wazi yuko America na Europe watamkingia kifua. Hezbullah ni lazima na yeye apige civilian area ndio Israel ataweka adabu.

Israel haheshimu isipokuwa nguvu tu, yeye akiuwa civilian na nyie uweni civilian. Vita haina adabu eti nikwepe civilian. Israel anakataza media kuchukua madhara anayo pata ya kijeshi, lakini kwenye kiwanda cha Rafael karuhusu wachukue majumba ya mastaff asingizie wanapiga civilian. Afu yeye anajidai watu tokeni kwenye majumba yenu, afu anapiga hapa hapo ili aseme aliwapa warning.

Ukipigana na mwehu na wewe kuwa mwehu kama yeye akipiga civilian na wewe piga civilian ndio dawa yake.
Kabla ya shambulizi hili hawaja pewa taarifa kuwa waondoke..?
 
Back
Top Bottom