and 100 others
JF-Expert Member
- Feb 3, 2023
- 3,707
- 12,367
Sijasema Hezbollah itashinda, nimesema Israel haitoweza idhibiti Hezbollah.Israel imetumia wiki kuua command nzima ya Hezbollah. Unasemaje Hezbollah itashinda.
Hamas unaona wanafurukuta kwa lolote? Si walikuwa wanapewa kichwa, sasa Hezbollah imevamiwa Hamas hata kurusha roketi moja hawajarusha. Wakati mpango wa Iran ni kuwatumia hawa kwa pamoja.
Hezbollah atapigwa hutoona Iran wala Syria ambako walimsaidia Assad wakijihusisha. Kipigo cha peke yao.
Dahh!! Huyu jamaa na snawar wanapitia vipindi vigumu sana, sidhani kama wanapata hata tepe la usingiziHii picha hujaleta update now Nashrallah hana mtu yoyote anayemuata zaidi ya Makuruta yaani wamemuache peke yake hili asimuamini mtu
Kuua makamanda na kupigana full out war ni vitu viwili tofauti.Israel imetumia wiki kuua command nzima ya Hezbollah. Unasemaje Hezbollah itashinda.
Hamas unaona wanafurukuta kwa lolote? Si walikuwa wanapewa kichwa, sasa Hezbollah imevamiwa Hamas hata kurusha roketi moja hawajarusha. Wakati mpango wa Iran ni kuwatumia hawa kwa pamoja.
Hezbollah atapigwa hutoona Iran wala Syria ambako walimsaidia Assad wakijihusisha. Kipigo cha peke yao.
Wazir mkuu wa Lebanon ndio wa kwanza kuomba msaada wa UN kuizuia Israel isiendelee kushambulia Lebanon akafutiwa na viongozi karibu wote wa nchi za kiarabu akiwemo Iran.Utasikia muda si mrefu baraza la usalama umoja wa mataifa wanakaa kusimamisha hii vita ya Hezbollah na Israel.
Wanaogopa vita kamili, Israel itachakazwa hilo halina hata wasi wasi.
Mkuu embu acha kudanganya.Wazir mkuu wa Lebanon ndio wa kwanza kuomba msaada wa UN kuizuia Israel isiendelee kushambulia Lebanon akafutiwa na viongozi karibu wote wa nchi za kiarabu akiwemo Iran.
Wao huitafuta migogoro bila kuomba idhini ya Arab league so wamalize wenyeweKwann Arab League wametulia bila kutoa tamko lolote huku Wananchi wa Beirut wakiuawa bila huruma?
Hata Lebanon wenyewe wamewasusa akina Hezbollah, hiko kikombe wakinywe peke yaoKwann Arab League wametulia bila kutoa tamko lolote huku Wananchi wa Beirut wakiuawa bila huruma?
KabisaIla kobazi mnajua kujifariji kipindi cha majonzi
Where are your stories reported. Kindly provide us the sourceHezbollah are attacking with ferocity. It's honestly difficult to keep up!
24 attacks announced now and in the latest attacks announcing hitting a Merkava tank and carrying out several ambushes.
This is unprecedented. The IDF has never faced attacks in volume , quality and such quantity in the past wars in Lebanon.
Helicopters are seen transporting dead and wounded continuously!
Allah is the greatest!
Al Muqawamah Al Islamiyah 🇿🇦