Israel yagongomelea msumari wa mwisho kwenye Jeneza la Magaidi wa Hamas!!!

Israel yagongomelea msumari wa mwisho kwenye Jeneza la Magaidi wa Hamas!!!

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
9,662
Reaction score
8,023
Baada ya Majeshi shupavu ya Israel kushusha kipondo kikali kwa magaidi wa Hamas hatimaye usiku wa kuamkia leo wamekubali kwa hiari yao kuwaachia mateka waliowateka Oct 07,2023.

Kukubali kwao kunatokana na mbinyo uliofatana na kipigo cha mbwa-koko wali ho kuwa wanapata toka walipofanya uvamizi wao Oct 07,2023 huko Israel na kusababisha kuuwawa kwa viongozi wao wengi na hatimaye leo wamesalimu Amri na kusaini mkataba na kukubali kuwaachia mateka walio hai 20 na Maiti 28 walizokuwa wanazishikilia toka Oct 2023!,

Kwa kujifariji magaidi hao wanaonekana kwenye mitaa ya Gaza wakishangilia na kupiga kelele za Khaybar, Khaybar, ya Yehud!!!
 

Attachments

  • telegram_video.mp4
    3.6 MB
  • telegram_video.mp4
    7.3 MB
Wajumbe wa Hamas na Israel wakiwa katika chumba kimoja. Hili ni tukio la kwanza na linaonyesha kuwa kusainiwa kwa "deal" kunakaribia. Sasa ijulikane wazi kwamba baada ya mateka kuachiliwa ikiwa Hamas hawata salimisha silaha na kuondoka Gaza, IDF itamaliza kazi kwa kuwafuta kabisa magaidi hao huko Gaza!!
 

Attachments

  • telegram_video.mp4
    9.5 MB
Back
Top Bottom