Israel yaililia Tanzania

.......
Mwisho tukawauliza mfano wa Elly Cohen wa Tanzania ni akina nani? Bila kumung`unya maneno wala kupepesa macho wayahudi wakatujibu ni Abraham Kinana na Aden Rage.
Ebaeban

Israel.

Naona msingi wa kuanzisha uzi wako huko hapa
 
bethelehemu iko WESTBANK kwenye mamlaka ya palestine.hao wayahudi hapo palestina wakifanya nini?je wayahudi wanasikia kiswahili?

Acha longolongo,

I hope you attended a Philosophy class!
 
Walioichagua ccm 2010 inabidi mkatubu dhambi hii kubwa mloitendea Tanzania.
 
duh! Hii kali, inamaana bethlehemu tbc1 inashika, na wayahudi wanajua kiswahili fresh kabisa? Labda ulikuwa Gairo...
 
kama kweli mkulu kakatiza ziara yake basi akishuka airport tu atekeleza hilo 'tamko' na hapo tutaayamini hayo maneno yake ya 'kusikitishwa na mlipuko'. Imekaa kidaku lakini kiukweli inafikirisha.
 
Nina mashaka kama ulikuwa Israel, yaani waisrael wakae waaanze kuangalia Bunge la Tanzania??

Waache kufuatilia habari za marekani kwa baba yao kupitia CNN na Aljazeera waangalie habari za Dodoma? Waache kuangalia mipango yao ya kuongeza makazi yao na kuwanyanyasa wapalestina wafuatilie habari za Tanzania???

Acheni kuweka ndoto zenu hapa!!
 
bethelehemu iko WESTBANK kwenye mamlaka ya palestine.hao wayahudi hapo palestina wakifanya nini?je wayahudi wanasikia kiswahili?

Acha longolongo,
.................kama hawakuwa na matatizo ya kusikia, wanasikia lugha yeyote kama ambavyo naamini wewe unaweza kusikia kindengereko, kimasai, kichaga, kiha nk; hata hivyo mleta mada hajasema walikua wanaongea kiswahili, ila yeye ndo kaleta uzi kwa kiswahili mkuu
 
It didn't end well with Cohen either!
 
huyu mwandish naona ni mzushi israel yenyewe kupitia waziri mkuu wake alishasema tanzania ni nchi ya kufikirika anayekumbuka zaidi atujuze
 
jamaa hajui hata kutunga uongo asee.

Bethelehem=>aramaic for House of Laham,the canaanite GOD OF SUSTENANCE.

The land had many names over the years.israel wasnt officially established untill 1948,there was no israel back then,the area was called JUDEA.
So bethlehem was the city in judea area.after establishment of israel in 1948,bethelem was left to palestine. It is still in palestine territory, this palestine town is located in the centre WESTBANK neighbouring jerusalem,with population of about 25000 peoples.

The hebrew bible identify bethlehem as the city DAVID was from.the new testatement indentify bethelehem as the birthplace of jesus of nazareth.
The town is inhabited by one of the oldest christian communities in the world.

Swali wayahudi wanafanya nini bethelehem wakati ni palestina na kuna ukuta unatenganisha na israel?
 
Wanajua kiswahili? Maana Nchimbi alikuwa anaongea kiswahili
 
Kwa sasa sio nchi ya ahadi, kwa sasa nchi yetu ya Ahadi ni mbinguni kwa Baba, Yesu Mungu mwenye nguvu

Hapa umenena!
Ubarikiwe
Zaidi ya kukugongea like ntakutumia na buku 5 kwenye tigopesa...........
 

 
apo mwishoni umechemka ely cohen kufananishwa na rage ni kumdhalilisha ely
mbona iko wazi kabisa.......sawa kabisa kumbuka hao ni wasomali.....kama ely cohen alivyokuwa muisrael anapiga kazi syria..siku yoyote wanaweza kutugeuka.....ndo maana hata wasomali wanajazana bongo we unafikiri wakina nani wako nyuma yao....kumbuka bado wakina bashe.....rostam ambaye yupo nyuma ya kashfa kibao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…