Mzito Kabwela
JF-Expert Member
- Nov 28, 2009
- 18,887
- 7,673
Nchi ya ahadi tena?!Tena ni nchi ya ahadi........
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nchi ya ahadi tena?!Tena ni nchi ya ahadi........
.......
Mwisho tukawauliza mfano wa Elly Cohen wa Tanzania ni akina nani? Bila kumung`unya maneno wala kupepesa macho wayahudi wakatujibu ni Abraham Kinana na Aden Rage.
Ebaeban
Israel.
bethelehemu iko WESTBANK kwenye mamlaka ya palestine.hao wayahudi hapo palestina wakifanya nini?je wayahudi wanasikia kiswahili?
Acha longolongo,
Soma maandiko matakatifu utalijua hilo......Nchi ya ahadi tena?!
kama kweli mkulu kakatiza ziara yake basi akishuka airport tu atekeleza hilo 'tamko' na hapo tutaayamini hayo maneno yake ya 'kusikitishwa na mlipuko'. Imekaa kidaku lakini kiukweli inafikirisha.tukauliza tena kwani tamko gani halijatekelezwa? Wakasema ni mengi ila la hivi kiribuni ni la uvunjaji wa jengo ambalo linaonekana ni hatari sambamba na lile lililopolomoka manasema utekelezaji wa tamko hilo ni mashaka sana, tukawauliza kwani serikali yenu ilitekeleza tamko gani kama hilo? Pia jibu likawa rahisi sana bila kumung`unya maneno wala kupepesa macho walisema ni uvunjaji wa jengo la Popular Front for Liberation of Parestina (PFLP) mwaka 1966 mjini Beirut Caros jambazi alikoswakoswa kidogo sana kuuwawa katika tukio hilo, jeshi la Israel liliporomosha jengo hilo la gorofa sita kwa dakika tano tu. Wakasema wenyewe wakipewa tender ya koporomosha jengo hilo lenye utata hapo Dar watachukua dakika kumi tu.
.................kama hawakuwa na matatizo ya kusikia, wanasikia lugha yeyote kama ambavyo naamini wewe unaweza kusikia kindengereko, kimasai, kichaga, kiha nk; hata hivyo mleta mada hajasema walikua wanaongea kiswahili, ila yeye ndo kaleta uzi kwa kiswahili mkuubethelehemu iko WESTBANK kwenye mamlaka ya palestine.hao wayahudi hapo palestina wakifanya nini?je wayahudi wanasikia kiswahili?
Acha longolongo,
Kwa sasa sio nchi ya ahadi, kwa sasa nchi yetu ya Ahadi ni mbinguni kwa Baba, Yesu Mungu mwenye nguvuSoma maandiko matakatifu utalijua hilo......
jamaa hajui hata kutunga uongo asee.Inaelekea hao wayahudi walikua wakiongea kiswahili au pengine hata kinyamwezi; yaani wanamfahamu mpaka rage?
Inaelekea Tanzania ni maarufu sana kuliko hata marekani huko israel; yaani TV za mighahawa ya Bethlehem zinaonyesha TBC1 (na si CNN, AJ au SKY)
Au nimeelewa vibaya....ni Bethlehem ya Israel au ile ya chamazi unayozungumzia? Uwege specific nawewe aaagh!!:twitch:
Kwa sasa sio nchi ya ahadi, kwa sasa nchi yetu ya Ahadi ni mbinguni kwa Baba, Yesu Mungu mwenye nguvu
Bwana aendelee kukupa Baraka zakeHapa umenena!
Ubarikiwe
Zaidi ya kukugongea like ntakutumia na buku 5 kwenye tigopesa...........
mbona iko wazi kabisa.......sawa kabisa kumbuka hao ni wasomali.....kama ely cohen alivyokuwa muisrael anapiga kazi syria..siku yoyote wanaweza kutugeuka.....ndo maana hata wasomali wanajazana bongo we unafikiri wakina nani wako nyuma yao....kumbuka bado wakina bashe.....rostam ambaye yupo nyuma ya kashfa kibaoapo mwishoni umechemka ely cohen kufananishwa na rage ni kumdhalilisha ely