Israel yaililia Tanzania

Israel yaililia Tanzania

Takatifu kwako wewe

Wewe upinge hata kwa kulia au kujikatakata au uamue lolote utakalo lakini ukweli huu kuwa Israel ni Taifa Teule la Mungu duniani utabaki vilevile kwani amelichagua mwenyewe kama ubabisha jaribu kwenda kulishambulia.
Mungu ibariki Israel Mungu ibariki Tanzania.
 
Hapo zama za kale kulikua na nchi moja lilojulikana kama caanan,katika nchi hiyo waliishi watu waliojulikana kama wacaanan.wakati huohuo kwenye sehemu moja iitwayo Ur aliishi jamaa mmoja akiitwa Abraham.kumbuka Ur ni mji ulioko irag hadi leo.
Huyu jamaa baadae alihamia caanan na kuishi pale akichanganyika na raia aliowakuta pale yaani wakaanan.
Abraham akawa na watoto ismail na isaka.
Miaka ikaanda isaka akawa nae na family yake na mmoja wa watoto wake alikuwepo jamaa anaitwa YAKOBO.Kumbuka hadi hapo hakuna nchi inayoitwa israel.
Miaka imeenda katika watoto wa isaka kuna mmoja akiitwa yusuph na ndie aliuzwa misri ambako alikuja kuwa mtu mkubwa.kulitokea njaa nchi ya caanan iliyopelekea baadhi ya wanafamilia ya isaka waende kuishi misri.nani wakati huo Yakobo alipigana na mungu mieleka hadi akamshinda na huyo mungu ndo akamwita yakobo jina la israel.
Mungu tunaemsema hapa ni YAHWEH ambae baadae anakuja kujulikana kama mungu wa israel.
Hawa jamaa wakazaliana huko misri ndo kipindi hicho yahweh akawahidi ardhi caanan.
Baada ya hawa jamaa kurudi toka misri wakiongozwa na musa na baadae joshua walifika caanan na kupigana vita na waliowakuta na kuteka ardhi wakidai ni nchi ya ahadi.sasa baada ya utekaji kuisha ilijikuta wameteka maeneyo yaliyopelekea baadae ziwepo falme mbili zilizojulikana kama The kingdom of Israel na the kingdom of judea.
Yaani nchi ya yuda na nchi ya israel..kumbuka falme hizi mbili ziliundwa na yale makabila 12 ya wana wa israel aka yakobo.
Miaka nenda rudi hizi falme mbili zikipigana mara kwa mara.
Wakati mji mkuu wa nchi ya YUDA ukiwa ni samaria..mji mkuu wa nchi ya israel ukawa eneo linalojulikana leo kama jerusalem.
King david anajulikana kuwa ametokea bethelehem iliyokua katika nchi ya yuda.
Yesu anatokana na ukoo wa Daud na alizaliwa bethelehem mji wa yuda.ndo maana wakati mwingine huitwa simba wa yuda.
Kumbuka israel na yuda hawakupata kuwa na uhusiano mzuri sana always fighting.
Ndo waaje warumi kutawala kwahiyo hizo kingdom mbili na zingine eneo hilo ziwe chiniya Roman empire.
Ndo yesu amezaliwa yuda na baadae wakamsulubu..kumbuka waisrael hawajahi kumkubali na ndio waliomsulubu.
Kumbuka eneo hilo likaitwa palestina na Watawala wa Rumi..raia walewale jina tofauti.sawa na wajeruman walivyoiita nchi hii jina la Tanganyika.
Miaka nenda rudi baadhi ya raia hapo wamekwenda kuishi ulaya na huko wamezaliana.kipindi hicho British empire wanatawala palestina.
Kuelekea vita vya pili vya dunia hadi vinapigwa.kumbuka wale wayahudi mda huo wana nguvu za kiuchumi huko ulaya nawalichukiwa sana.wale wayahudi ambao mda huo wamechanyika na kuwa na asili ya kizungu wakafanya deal na british kwani mda huo ujeruman ikielekea kuwashinda vitani.kwamba british wakubali kuwapa palestina hao wayahudi ili wao waishawishi marekani kuingia vitan upande wa uingereza ili wamshinde hitler.
Inaendelea.
 
Kumbuka marekani kipindi hicho walitaka kuingia vitani upande wa ujerumani lakni pia kipindi hicho wayahudi wananguvu za kiuchumi na wapo balani ulaya na marekani na wamekamata sekta nyeti.walitumia ushawishi wao na kufaniwa kuishawishi marekani iingie vitani upande wa uingereza nao british wakaanza kuruhusu wale wazungu wayahudi waanze kurudi palestina.kidogokidogo wanarudi wananua ardhi toka kwa wapalestina.kumbuka hapa limebadilika jina tu watu ni walewale.
Baadae wayahudi wazungu wamekuwa wengi kutoka ujereman ,urusi na ulaya wakaanza kuwapiga vita wapalestina na kuteka ardhi .waingereza wakajitoa hapo .kuelekea na hadi mwaka 1948 wayahudi wazungu wakawa wamejitangazia taifa la israel wakipata full support toka nchi za ulaya na amerika.
Too cut the story short,Taifa la israel ndo likawepo hapo kwa kutumia nguvu za kivita.cha ajabu sasa waisrael eneo lote lilojulikana kama nchi ya yuda,na baadae samaria wayahudi wamewaachia wapalestina katika kile kilichoitwa unilateral disengagement miaka ya 90.katika maeneo yaliyoachwa ni kama bethelehem mji wa daudi.alipozaliwa yesu.
Wayahudi hawakupata kumkubali yesu na mpaka leo iko hivyo.hata wakristo walioka bethlehem ni wapalestina.
Wakristo waliopo israel ni arab israel siyo wayahudi.wayahudi wana dini yao inaitwa jew,dini ya kiyahudi na wanatumia Talmud na Torah na si bibilia.vitabu vyao vinamtaja yesu kama mtoto wa nje ya ndoa..etc.
 
wapo waisrael hapa nchini na wanakijua kiswahili fasaha kabisa, hilo siwezi kataa, ila credibility yako na bandiko lako limekuja potea ulipowataja hao mabwana wawili..hapo ndiko ulikokosea, ungetafuta namna nyingine ya kuiweka bandiko lako, lakini si rahisi namna hii
 
Wewe upinge hata kwa kulia au kujikatakata au uamue lolote utakalo lakini ukweli huu kuwa Israel ni Taifa Teule la Mungu duniani utabaki vilevile kwani amelichagua mwenyewe kama ubabisha jaribu kwenda kulishambulia.
Mungu ibariki Israel Mungu ibariki Tanzania.
mungu wa israel Yahweh au kama siku hizi wanamwita yehova.asili yake hasa sio israel bali nikatika moja ya jamii ya median ambayo musa alikua nao mahusiana kwa upande wa mamake.hawa jamaa wakiabudu huyo yahwew ambae kwakweli ni moja kati ya miungu iliyoabudiwa enzi hizo.yahweh alikua mungu wa vita ,hiyo idea ikawa adopted na hao waisrael kipindi wakitokea misri na wakatengeneza maandiko yanayodai huyo mungu wa israel amewapa ahadi ya kuchukua ardhi kule nchi ya caanan.

Kumbuka waisrael ni mojawapo wa jamii ya caananite,sema wao walihama kwenda misri wakarudi wakiwa na jina jipya la israel alilopewa babao yakobo na mungu wake yehova.
Kwanini walichagua kutumiwa yahweh kama mungu wao ni kwasababu alikua mungu wa vita.na walihitaji kupigana vita na wacaanan ili kuweza kupata ardhi.
Mojawapo wa miungu wa jamii ya caanan kipindi hicho alikuwepo mungu El.
Huyu El was a supreme god,the father of humanikind and all creatures,the husband of Asherah the caananite mothergoddes.
Huyu mungu mkubwa wa wacaanan,wasamaria waisrael hawakumchagua kumtumia awe mungu wao sababu nadhani walipendelea zaidi mungu wa vita jehova.
Lakini cha ajabu majina kama
emanuEL(Mungu pamoja nawe).
SamwEl.
DaniEL.
MikaEL.
israEL.
Yametapakaa lakini cha ajabu huyu mungu El ,ambaye ndo alikua baba wa miungu yote waisrael hawakutaka kum entertain sana badala yake wamemfuata zaidi YAHWEH aka jehova.
Lakni huyo yahwew,katika agano la kale bible ni mungu wa israel ambaye anatajwa kufanya ukatili na mauaji makubwa na ya kutisha kiasi cha kumfanya shetani aonekane kama malaika ukimlinganisha na yahwew.
Katika maandiko inaonekana shetan alimuua ayubu na family yake yote lakini alifanya hayo kwa kupewa ok na mungu wa israel wakati walipobishana na kuamua kucheza kamari juu ya ayub ili waone nani kati yao anashinda ,hivyo kimsingi hapa shetan habebi lawama za mauaji ya ayubu.
Itaendelea.
 
Kwanini yesu hakuwahi kumwabudu yahweh,mungu wa vita,kwanini agano jipya linaloongelea zaidi kuhusu yesu linaongea lugha ya mtu akikupiga shavu la kushoto mgeuzie la kulia tofauti na agano la kale la jino kwa jino.
Nadhani sababu ni kuwa yesu hakupata kumwabudu Yahweh aka jehova.mungu wa yesu ni El.
Hata pale msalabani kabla hajakata roho yesu alimlilia mungu wake.
''Eli ,eli,lamasabachani?''
yaani mungu wangu,mungu MBONA UMENIACHA?.''
Wakati mungu wa israel anawambia waisrael.''i will bless them that bless thee and curse him that curse thee''yaani nitawabariki watakao kubariki na kuwalaani watakaokulaani.
Genesis 12:3.
Yesu anasema,'bless them that curse you and pray for them which despitefully use you''luk 6:28.
Or that blessed are the poor,for they shall inherit the kingdom of heaven.
 
Wakati bado natafuta connection kama ipo kati ya jina Eli au Eloh na jina ALLAH.kama ipo sijui maana sijawahi kujaribu kutafuta hiyo connection lakini cha ajabu wale arab christian bible zao zinamtaja mungu Allah.
I mean biblia ya kiarabu.
 
In Exodus29:45-46,god is said to have said,''And i will dwell among the children of israel and i will be their god,and they shall know that iam the Lord their god,that brought them out of egypt,that i may dwell among them.IAM THE LORD THEIR GOD.
The bible says clearly that the god of old testament(jehova) is the Lord god of hebrew,the god of the children of israel,god of abraham,isaack,jacob.
The old testement is a story about private tribal god whose first concern is for his ,''chosen peoples''.
It is a god created by the priests of that tribal to justify the atrocities that tribe committed,it is a story of a simple tribal god and like other tribals gods in the world at that time,the god always reflected the peoples who created him.
If the tribe was warlike tribe,their god was warlike god.
The bible tell us that the hebrew tribes were an aggressive hostile peoples so their god reflected their heartless ferocity.
 
Wakati jana Mh. Nchimbi akitoa tamko la serikali kuhusu bomu la Arusha wayahudi wengi katika mgahawa wa Omwiny Kibbur hapa mjini Bettelheim walisikika wakisema toa toa kwa maana waliona kama anawaletea uchuro tu, kwa sababu gani tuliuliza, wakasema kwao Marehemu Mwalimu Nyerere wanamwona ni jushaa wa Israil sambamba na akina Bibi Golda Meir,Revy Eshikor, Meyer Hamit n.k.

Miaka ya sabini mwanzoni enzi za utawala wa Milton Obote wa Israel waliwekeza sana Uganda, waliwekeza kijeshi na katika kilimo walijenga pia uwanja wa ndege wa Entebbe, Baada ya Serikali ya Obote kupinduliwa na Idd Amin wayahudi waliendelea kuwepo lakini baada ya Idd Amin kurubuniwa na waarabu wa-Israel walikuja kufukuzwa Uganda kama mbwa na jengo la Ubalozi wao wakapewa Waparestina. Iliwauma sana sana ile ya kufukuzwa kama mbwa licha msaada wa waliowakitoa kwa Uganda. Kisasi hicho alikuja kuwalipia Mwalimu Nyerere katika vita vya kagera mwaka 1978 hatima yake nay eye Idd Amin alikuja kufukuzwa Uganda kama mbwa, kuanzia hapo Israel inaiheshimu sana Tanzania na hususani Mwl. Nyerere maana alidhihirisha wazi kabisa serikali maana yake ni nini.

Serikali yoyote ikitoa tamko hutekelezwa lakini siyo serikali ya Tanzania ya awamu hii wayahudi walikuwa wanatuambia, tukawauliza kwani serikali yenu ya Israel ilitoa tamko gani likatekelezwa na ulimwengu ukashuhudia? Jibu lilikuwa ni rahisi sana walisema uwokowaji wa mateka wa Ki-Israel huko Entebbe Uganda mwaka 1976,serikali iliahidi na ikatekeleza.
Sasa serikali yenu matamko na matamko hamuna utekelezaji serikali gani wayahudi walituhoji, tukauliza tena kwani tamko gani halijatekelezwa? Wakasema ni mengi ila la hivi kiribuni ni la uvunjaji wa jengo ambalo linaonekana ni hatari sambamba na lile lililopolomoka manasema utekelezaji wa tamko hilo ni mashaka sana, tukawauliza kwani serikali yenu ilitekeleza tamko gani kama hilo? Pia jibu likawa rahisi sana bila kumung`unya maneno wala kupepesa macho walisema ni uvunjaji wa jengo la Popular Front for Liberation of Parestina (PFLP) mwaka 1966 mjini Beirut Caros jambazi alikoswakoswa kidogo sana kuuwawa katika tukio hilo, jeshi la Israel liliporomosha jengo hilo la gorofa sita kwa dakika tano tu. Wakasema wenyewe wakipewa tender ya koporomosha jengo hilo lenye utata hapo Dar watachukua dakika kumi tu.
Tukaendelea kuwauliza wayahudi kwani kwetu tatizo ni nini? Wakasema kwenu mmejiachia sana, mmejisahau kila Taifa lina waadili, miiko na utamaduni wake , kwenu sasa hivi mnajiendea kiwetewete tu, tukasema hebu fungukeni mna maana gani?
Wakasema Tanzania ni ya Watanzania kama vile Zimbabwe ni ya WaZimbabwe na wala siyo vinginevyo kuwahusisha wageni masuala yamengine ya Tanzania ni kosa kubwa sana kumhusisha mgeni masuala ya Tanzania ni lazima umjue background yake kwa undani sana na usibahatishe wakasema nyie mna vyombo kama vile usalama wa taifa wao wana MOSSAD ambayo 100% iko correct haibahatishi wala haikosei katika kutoa ushauri, tukawauliza kufanya hivyo si ubaguzi? Walikanusha vikali wakasema siyo, huo ni utamaduni ambao inchi inabidi ijiwekee mfano Marekani walikubali Obama mjaluo awatale siyo kwa kubahatisha waliijua fika background yake, background yake ingekuwa mbovu wasingempa uongozi asilani abadani.

Tukawauliza wayahudi ambao walikuwa wametuzunguka mbona Mwalimu Nyerere ambae wanamkubali sana aliwapa uongozi wahindi kama Amir Jamal, Derek Bryson n.k ? Wakajibu bila kumung`unya maneno wala kupepesa macho kwamba wahindi wale walikuwa wanafanya kazi za serikali na mwisho wa mwezi walikuwa wanaenda dirishani kukinga mshahala wahindi wa sasa wanaokimbilia ubunge na mnawapa hawafanyi kazi za serikali nia ni kuwahujumu tu uchumi na kukwepa kodi na kufanya biashara haramu , tukawauliza watoe mfano wakatoa mfano wa mhindi mmoja alipata ubunge mkoa wa Morogoro akawa hachukui posho wala mshahara vyote alimwachia dereva wake alikuja kufia Uingereza kwa kujidunga madawa mengi ya kulevya.

Wakaendelea kusema kwamba vita vyao vya siku sita walivoshinda mwaka mwaka 1966 walipigana na wataifa 13 ya kiarabu hawakushinda hivihivi tu ni matokeo ya upuuzi kama unaofanywa na Tanzania, walipeleka mtu wao Damascus Syria aliyekuwa anaitwa Elly Cohen master spy akajifanya ni mwarabu wakasema kama mnabisha someni novel ya MOSSAD iliyoandikwa na military correspondent watatu Denis Isernberg, Uri Dani na Elly Randau Yule mtu wasyria walimzoeya wakamwonyesha kila kitu kama mnavyofaya Tanzania kila alichokuwa anakiona alikuwa anatoa ripoti katika jeshi la Israe matokeo yake vita ilivyoanza ilichukua siku sita tu waarabu wote chaliii.

Mwisho tukawauliza mfano wa Elly Cohen wa Tanzania ni akina nani? Bila kumung`unya maneno wala kupepesa macho wayahudi wakatujibu ni Abraham Kinana na Aden Rage.
Ebaeban

Israel.

unamaudhui mazuri ila hii imekuwa cooked na naamini bila research asilimia 60 ya waisrael hawajawahisikia neno TANZANIA eti wanamjua hadi rage hahahahah
 
This is very TRUE ipo siku tutaingiliwa na Al-Shabab wenye uraia wa Tanzania
 
Nimeipenda Riwaya yako aisee.....lini unakitoa hiki kitabu? Utamshinda hata shigongo
 
Inaelekea hao wayahudi walikua wakiongea kiswahili au pengine hata kinyamwezi; yaani wanamfahamu mpaka rage?
Inaelekea Tanzania ni maarufu sana kuliko hata marekani huko israel; yaani TV za mighahawa ya Bethlehem zinaonyesha TBC1 (na si CNN, AJ au SKY)
Au nimeelewa vibaya....ni Bethlehem ya Israel au ile ya chamazi unayozungumzia? Uwege specific nawewe aaagh!!:twitch:

Hahahahaha! Da! Kumbe Chamazi kuna iyo ki2.
 
Wewe upinge hata kwa kulia au kujikatakata au uamue lolote utakalo lakini ukweli huu kuwa Israel ni Taifa Teule la Mungu duniani utabaki vilevile kwani amelichagua mwenyewe kama ubabisha jaribu kwenda kulishambulia.
Mungu ibariki Israel Mungu ibariki Tanzania.
inawezekana bana...nakumbuka siku moja huyo mungu wa israel ,wakati waisrael wanakata mbuga kuelekea nchi ya ahadi.joshua ndo alikua kiongozi wa msafara baada ya mungu wa israel kukata pumzi za msa.

Wakafika sehemu wakawa wanapigana na watu wa hapo.vita ilipigwa hadi masaa yakawa yanakwenda sana joshua akamwomba jehova ALISIMAMISHA JUA ILI USIKU USIINGIE ili aendelee kuteketeza maadui zake.joshua 10:12.
Maandiko yanadai jua lilisimama,LAKINI UKWELI NI KWAMBA JUA HUWA HALIZUNGUKI,DUNIA NDO INAZUNGUKA.
 
"Mwisho tukawauliza mfano wa Elly Cohen wa Tanzania ni akina nani? Bila kumung`unya maneno wala kupepesa macho wayahudi wakatujibu ni Abraham Kinana na Aden Rage"
Angalau hili naweza liamini katika yooooooooooooooooooooooooooote.
Hawa jamaa wawili ni hatari kwa future ya Tanzania
 
long time ago in bethlehem the holy bible say.. mary born child jesus christ ...la la la la la up now here the angel sing new king born today and... la la la la.
anyway i was singing, sijajua umuhimu wa israel hapa lakini mtoa mada ajue walipuaji mabomu bila kusingizia wanaichukia israel sana na wangetamani iangamie ili waseme mungu wao amejibu maombi kitu ambacho hakiwezekani. ila kweli nadhani mungu hana mawazo maovu na ya ukatili ya kibinadamu ya kuua wengine kwa tamaa za duniani kama hizi, japo si kila binadamu analijua hilo na kwa wale wanaolijua sio wote wanalikubali hilo.kwani hata shetani anajua ataangamia lakini hajakata tamaa bado. kwahiyo tusichukie watu tumchukie shetani kwa hili.
 
hii kitu ni masterpiece wenye ubongo wa ki-ccm hawawezi kuelewa, in plain talk mchizi anamaanisha hii nchi watu wanapewa nafasi za uongozi na dhamana kubwa zinazohusu nchi yetu bila kufanyiwa vetting, tunamuachia rais anaokota mburula yeyote kutoka kwenye backyard yake anampa madaraka na dhamana mahsusi, hii ni hatari kwa ustawi na usalama wa nchi.
 
Content z postive, tustake kulazmisha kama ni kwel au la?logic ipo!watz tuijenge nchi yetu bla kutegmea wagen hasa tusowajua
 
Back
Top Bottom