Israel yaiomba Hamas iwaoneshe kwanza orodha ya mateka waliobaki nao hai kabla hawajatia saini

Israel yaiomba Hamas iwaoneshe kwanza orodha ya mateka waliobaki nao hai kabla hawajatia saini

Hamas iliyokuwa ikisubiriwa itoe majibu juu ya mkataba wa kusitisha vita hatimae wamekubali kwenda Misri kumalizia majadiliano ya mkataba huo.

Huku Hamas na wapatanishi wengine wakiwa wameshawasili Cairo,ghafla Israel imeomba wachungulie orodha ya Hamas ya mateka iliyobaki nao na ambao wakao hai.

Vyombo vya habari vya Israel vimelalamika kuwa Hamas nao wamekataa kuonesha orodha hiyo kabla ya muda wa kikao hicho cha upatanishi.

Ombi hilo la Israel lina maana nyingi na kubwa zaidi ni kuwa nchi hiyo imekata tamaa juu ya kufikia malengo yake ya kivita iliyojiwekea kwa njia walizochagua.

Maana nyengine ni kuzidi kunywea kwa ubabe wa Israel baada ya takriban miezi mitano ya vita.

Israel-Gaza war: Israel demands names of hostages still alive for deal on new ceasefire

Huo ni mtego kwa hamas , ifike trh 10 hawajaachia mateka , Rafa itegeuka dimbwi la damu. Najua mtalia japo sasa hivi mnaibeza israel.
 
Kwani mpaka leo bado hawajawapata tu hao mateka? Hapo gaza mbona hapajabaki kitu zaidi ya vifusi hao mateka wapo wapi? Hamas siyo binadamu wa kawaida usikute wanatembea nao mtaani Gaza
 
Labda sijaelewa. Kwamba Israel wamekutana na moto wa Hamas au?
Israel ilijitapa sana ikasema itawagombowa mateka wote Hamas wakitaka ama wasitake sasa kwa hii ni dhahir kwamba wamelamba msumari wa moto wanaomba poo vyovyote iwezekanavyo wakubaliane na Hamas jamaa zao wawe huru, maamae walisema Hamas ni kikundi kidogo sasa mbona wanadai mkataba wa makubaliano
 
Hii sio changamoto kwa palestina walozoea mateso ya Israel kwa miaka ya umri wao
 
Dogo haupo Kwenye uhalisia upo Kwenye ndoto , Hamas imeshafutwa kabisa sasahivi Gaza itakuwa chini ya utawala mpya .
Hamas imeshafutwa mbona mateka wenu hamjawapata maana km imefutwa inamaana mna control gaza yote mnashindwa vp kupata mateka wenu ww lishwa propaganda tu na bbc
 
Hamas imeshafutwa mbona mateka wenu hamjawapata maana km imefutwa inamaana mna control gaza yote mnashindwa vp kupata mateka wenu ww lishwa propaganda tu na bbc
Actually kama mtu anaweza kuamua upate au usipate chakula, madawa, maji na nishati, huyo ana control juu yako
 
Hamas iliyokuwa ikisubiriwa itoe majibu juu ya mkataba wa kusitisha vita hatimae wamekubali kwenda Misri kumalizia majadiliano ya mkataba huo.

Huku Hamas na wapatanishi wengine wakiwa wameshawasili Cairo,ghafla Israel imeomba wachungulie orodha ya Hamas ya mateka iliyobaki nao na ambao wakao hai.

Vyombo vya habari vya Israel vimelalamika kuwa Hamas nao wamekataa kuonesha orodha hiyo kabla ya muda wa kikao hicho cha upatanishi.

Ombi hilo la Israel lina maana nyingi na kubwa zaidi ni kuwa nchi hiyo imekata tamaa juu ya kufikia malengo yake ya kivita iliyojiwekea kwa njia walizochagua.

Maana nyengine ni kuzidi kunywea kwa ubabe wa Israel baada ya takriban miezi mitano ya vita.

Israel-Gaza war: Israel demands names of hostages still alive for deal on new ceasefire

Mkuu imewaomba imewaagiza? au lugha ndo matatizo,neno demand sio kuomba.
pamoja na hayo HAMAS anapigwa kistaarabu kwa sababu ya hao mateka,
Atangaze kwamba hawapo wameishakufa utaona vumbi badala ya vifusi vinavyoonekana kwa sasa.
 
hamas atandikwi kuwa na adabu...km ni hivyo isingefika miezi mitano
Ni kweli hatandikwi,ila kwa akili ya kawaida asiyetandikwa uwa haliii,
kila siku wanalia lia kwamba wanauawa wanawake na watoto utadhani hamas askari wao wote ni wanawake na watoto.
 
Mkuu imewaomba imewaagiza? au lugha ndo matatizo,neno demand sio kuomba.
pamoja na hayo HAMAS anapigwa kistaarabu kwa sababu ya hao mateka,
Atangaze kwamba hawapo wameishakufa utaona vumbi badala ya vifusi vinavyoonekana kwa sasa.
Kiingereza chako sijui ni cha wapi
order ndio kuagiza
Demand ina maana sawa na beg
 
Nyie akili hamna,israel kutaka apewe orodha ya mateka hai ni kutaka kujiridhisha kama asimamishe mapigano au aendelee,hivyo kama hamas wamegoma kutoa orodha wa mateka hai(most probably hawapo) basi wamekubali waendelee kutandikwa,na watatandikwa kweli kweli.
Upo sahihi
 
Wewe ni wawapi?

Wenzako katika imani wamekufa mpaka eneo la kuzika limeisha.

Na walisema vita hii itachukua muda mrefu.

Subiri uone maajabu ya mungu wa Israel
Mungu wa israel yupi ??? huyu aliyewambwa msalabani na mayahudi ??
 
Ni kweli hatandikwi,ila kwa akili ya kawaida asiyetandikwa uwa haliii,
kila siku wanalia lia kwamba wanauawa wanawake na watoto utadhani hamas askari wao wote ni wanawake na watoto.
anayelia GAZA ni wanawake na watoto ila anayelia zaidi ni nyetanyahu,coz kila siku znavyozidi kwenda anazidi kupoteza kila kitu kwenye maisha yake
 
Eti Al aqsa floods, yaani hivi vijamaa vikishashiba tende na parachichi akili zinaruka kabisa
 
Kiingereza chako sijui ni cha wapi
order ndio kuagiza
Demand ina maana sawa na beg
basi tuseme,mwenye akili akipiga mtu,anawahi polisi kutoa taarifa kwamba amepigwa.
Tukitulia tutajua nani anaumia mashariki ya kati.
 
anayelia GAZA ni wanawake na watoto ila anayelia zaidi ni nyetanyahu,coz kila siku znavyozidi kwenda anazidi kupoteza kila kitu kwenye maisha yake
Nadhani hao watoto wakikua watakuwa na heshima na adabu kwa israeli. Kila wakikumbuka yaliyowakumba
watakuwa wanaingia ndani,endapo wazo kufanya fujo watalipata wakiwa kibarazani.
 
Hamas ishawaua mateka wote.
Nyie mnaoshabikia vita ni kuwa hamna akili timamu.
Wasio na hatia wanauliwa nyinyi mnafurahia.
Mnanufaika na nini?
 
Izrael wameshtuka wanaweza kuuziwa mbuzi kwenye gunia
Ni kubanwa kwenye uwanja wa vita mpaka unaomba ulichokuwa na uwezo nacho kukipata kwa mikono yako hapo mwanzo
 
Back
Top Bottom