Israel yajibu shambulio Lebanon

Israel yajibu shambulio Lebanon

mwakani naolewa

Senior Member
Joined
Jul 25, 2024
Posts
148
Reaction score
426
Jeshi la ulinzi la israel limefanya shambulio la angani lililolenga Kamanda wa Hezbollah mjini beirut kufuatia shambulio lililosababisha vifo vya watoto wengi katika eneo la Golan heights eneo linalokaliwa na israel ambapo Hesbollah wamekanusha kufanya shambulio hilo.

kupitia ukurasa wao wa X jeshi la ulinzi la Israel IDF wameandika kua IDF imefanya shambulio linalolenga kamanda wa Hezbollah kwa kufanya shambulio lililo sababisha vifo vya watu 12 ikiwa ni watoto na vijana katika Majidal Shamsi.

Aisha, baraza la ulinzi la Izrael lilimpa waziri mkuu Benjamin Natanyahu mamlaka ya kuamua ni lini na vipi Israel itajibu mashambulizi na Tayari wa ulizi amesema kua israel itajibu kwa Mapigo makubwa . Lakini pia Iran imetoa onyo kwa Israel kua ikithubutu kushambulia lebanon madhara yatakua ni makubwa, Na tayari mashambulio yameanza.View attachment 3057321View attachment 3057323View attachment 3057322
 
Kilio kitaanza sasa hivi. Watu wanaanzisha chokochoko alafu wanaenda kujificha kwenye watoto na akina mama.

Inasikitisha sana.
 
Jeshi la ulinzi la israel limefanya shambulio la angani lililolenga Kamanda wa Hezbollah mjini beirut kufuatia shambulio lililosababisha vifo vya watoto wengi katika eneo la Golan heights eneo linalokaliwa na israel ambapo Hesbollah wamekanusha kufanya shambulio hilo...
Huyu iran ndio anawadanganya wenzake ona sasa
 
Tunapoelekea tutaanza kuambiwa tukirushiwa mawe tusikwepe kwa sababu tutaonekana waoga.
 
It’s their vacation homes and their free rides of U.S and U.K taxpayer homes. It’s the place they believe they have the right to get a free ride that cost a Genocide. May they all be deported and face the nastiest wrath of karma for keeping the genocidal entity alive.
 
Wamekuja na jahazi wasipofanya ima kurudi walipotoka kwanjia ya ndege uko mbele ndege zitakuwa aziendi Israel litapitishwa azimio jipya na UN ili sasa la kuwaondoa kwa mjahazi na meli mana wanachafua maeneo matakatifu kwa iman zote kubwa cristian Islamic yahudi Og wote watafuraiya kuondoka wazahuyu mashoga ya ulaya.
 
Back
Top Bottom