kahtaan
JF-Expert Member
- Jul 11, 2009
- 18,760
- 11,343
Makafiri huwa wanauziana baraka.Unataka dunia ibakie na mlobarikiwa pekee?![]()
Wao ukiwa na elf 10 tu unaenda kanisani weekend unampa mchungaji anakupa baraka za elf 10.
Ukitoa laki anakupa baraka za familia yako yote.
Ukitoa laki 5 anakupa na pepo kabisa. Yaani anakupa guaranteed utakaa kiti kimoja na Yesu.
Ukitoa milion hata Yesu itabidi akusubiri uingie wewe kwanza peponi.
🤣🤣
Yaani hawa watu hata yule ngedere afadhali