Israel yakubali masharti ya HAMAS kwenye kusitisha mapigano ya vita kwa siku 4. Kwa masharti haya,nani kaelemewa?!!

kipumbwi

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2015
Posts
3,162
Reaction score
9,073
Mgogoro wa Israel na Palestine huku ukiendelea kwa mashambt makali,kesho vita vitasinama kwa siku 4.

Yafuatayo ni masharti ambayo Israel na HAMAS zimekubaliana kwenye mazungumzo ambayo yamekua yakifanyika nchini Qatar kwa takribani wiki 2 Sasa.

Makubaliano hayo yameungwa mkono na USA ambae ni mdhamini mkubwa wa Israel.

Kwa makubaliano hayo,nani ameelemewa uwandani?!

Statement issued by Hamas:

• Truce will start on Friday at 7:00AM
• The truce will last for 4 days,
• Cessation of all military actions by the Al-Qassam, the Palestinian resistance, and the Zionist enemy throughout the truce period.
• Cessation of aircraft activity in southern Gaza Strip.
• No aircraft activity for 6 hours/day (10:00-16:00) in Gaza City & the north
• 3 Palestinian prisoners released for every 1 israeli prisoner.
• Within 4 days, 50 israeli prisoners, women & children under the age of 19, will be released.
• Entry of 200 aid trucks & medical supplies per day to all areas of the Gaza Strip.
• Entry of 4 trucks of fuel and cooking gas per day to all areas of the Gaza Strip.
 
Inategemea na value ya mateka

Kama hao Hamas wameteka watu potential kwa Taifa la Israel maana yake wako sahihi ku trade mateka mmoja kwa watatu ikiwa hao mateka wa kipalestina ni raia wa kawaida au sio big asset kwa Taifa
 
Israel wanatamani kweli wachungulie sehemu ambayo hao mateka watatokea. Maana ni maajabu kuwa kuna watu wako mahali salama kabisa pamoja na mabomu ambayo yameisambaratisha kabisa Gaza.

Inaonekana kuna mji mwingine kabisa chini ya ardhi.

Kauli ile ya Netanyau kwamba wataifuta Hamas na wakomboe mateka wao bila masharti imekuwa butu kabisa.

Hovyo kabisa huyu mwanasiasa uchwara.
 
Vita vya sikuhizi vinapiganwa kwa kubembelezana kweli kweli, mara temporary pause, mara misaada ya kibinadamu katikati ya vita, mara mateka wapelekewe madaktari wakuwatibu. Ingekuwa bado tuko enzi zile tusingeona hata maiti zikisitiriwa, tungeshuhudia mizoga iliyotapakaa kila kona. Huko Sudani ndo pameshindikana nimeona kwenye habari watu wakizikwa wazima wazima kwenye makaburi ya wengi.
 
Hakika Mkuu na huenda wanatumia gharama kubwa sana kila mbinu kutaka kulikua hilo!!

Na hili limekua moja ya pigo kubwa na udhaifu mkubwa ambao Israel ameuonyesha kwani licha ya kuizunguka Gaza nzima na kuingiza jeshi la mguu,bado kashindwa kupata mateka hata mmoja kwa takaribani miezi miwili.
 
Wamebakia kusema ni İran. İran anamwambia apambane na hali yake siyo kulialia na kuwasingizia kwasababu hawafikii malengo yao.

Bado mtaani wanachapwa na mavifaru yao.
 
Kuna local made weapon inazipiga sana merkava za Israel,ni local LPG za HAMAS,jamaa wanatungua tu mavifaru!!

Nafikiri wataitafuta sana teknolojia iliyotumika. Kabomu kadola 400 kanafumua kifaru cha dola 7-9mln
 
Ndo maana wanawasingizia İran kama anavyofanya mmarekani kumlaumu kwa zile drones alizomuuzia mrusi zinavyowatesa kule uturuki.

Kuna member akisema ukweli kuwa wanawategemea marekani kwenye intelligence gatherings.

Iran ni ma genius na mataifa ya magharibi wakiongozwa na Marekani wanalifahamu hilo.

Bush aliwahi kuiweka İran kwenye ile “axis of evil ambayo ilikiwa Iraq, Iran na North Korea.

Hakuweza kuivamia Iran. Na malengo yao ya kuivamia Iraq kwanza yaliwafanya washindwe kuingia Iran maana kule wananchi majority ni Shia ambao ndo wa Iran wenyewe.

Kitu ambacho ni kama amemzidi nacho Msaudi ni the fact kwamba hao Shia ndiyo kizazi cha mtume wao.
 
Waisrael 1400 waliuliwa wapalestina 14000 mpaka sasa wameuliwa . Wastani thaman ya mwisrael mmoja ni waisrael10. Huu wastan wa tatu kwa moja ni mzuri kwa israel
 
Israel bana anakupiga afu anakunywesha maji unywe ili akuchape vizuri
 
Israel wanatamani kweli wachungulie sehemu ambayo hao mateka watatokea. Maana ni maajabu kuwa kuna watu wako mahali salama kabisa pamoja na mabomu ambayo yameisambaratisha kabisa Gaza.

Inaonekana kuna mji mwingine kabisa chini ya ardhi.

Kauli ile ya Netanyau kwamba wataifuta Hamas na wakomboe mateka wao bila masharti imekuwa butu kabisa.

Hovyo kabisa huyu mwanasiasa uchwara.
Nilimuona mwanajeshi mmoja wa IDF analia anasema Wanapigana na mizimu kwa kuwa hawawaoni nikasema kazi ipo [emoji1787]
 
Vita vya sikuhizi vinapiganwa kwa kubembelezana kweli kweli, mara temporary pause, mara misaada ya kibinadamu katikati ya vita, mara mateka wapelekewe madaktari wakuwatibu. Ingekuwa bado tuko enzi zile tusingeona hata maiti zikisitiriwa, tungeshuhudia mizoga iliyotapakaa kila kona. Huko Sudani ndo pameshindikana nimeona kwenye habari watu wakizikwa wazima wazima kwenye makaburi ya wengi.
Vita zina sheria zake ila kwa ushenzini kama Afrika mnanyukana tu bila sheria.
 
Waisrael 1400 waliuliwa wapalestina 14000 mpaka sasa wameuliwa . Wastani thaman ya mwisrael mmoja ni waisrael10. Huu wastan wa tatu kwa moja ni mzuri kwa israel
Tokea enzi na enzi Daudi kajipigia sana hao, Samsoni naye kawaua sana hao, kwa kifupi wataendelea kufa kwa wingi tu.
 
Israel bana anakupiga afu anakunywesha maji unywe ili akuchape vizuri
Kwan ana wasiwas gani gaza ipo chini yake anajipigia anavyotaka na ataendelea kujipigia na hakuna taifa lolote dunia hii la kumletea fyokofyoko. Misri anawajua vizuri hao wana wa Yakobo hao ni habari nyingine.
Scientist wa nyuklia wa Iran kila uchwao wanafyekelewa mbali na mossad tena ndani ya Iran kwenyewe.
Waarab wanamlilia Iran baba yao katika iman aingilie kati asaidie waarabu wenzao wapalestina Iran kawaruka futi mia maana anaujua moto wa wana wa Yakobo.
Waarabu daily kumlilia nasra wa Lebanon naye aingilie kati naye kachomoa hatakini kabisa ugomvi na wayahudi kila siku ana kazi ya kusema natoa tamko ulimwengu nisikilizeni siku ikifika anakuna ndevu tu.
 
Inategemea na value ya mateka

Kama hao Hamas wameteka watu potential kwa Taifa la Israel maana yake wako sahihi ku trade mateka mmoja kwa watatu ikiwa hao mateka wa kipalestina ni raia wa kawaida au sio big asset kwa Taifa
Kuna mateka wengi sana wa kipalestina Israel kuliko wa kiyahudi waliopo Palestina
 
Mgogoro wa Israel na Palestine huku ukiendelea kwa mashambt makali,kesho vita vitasinama kwa siku 4.

Yafuatayo ni masharti ambayo Israel na HAMAS zimekubaliana kwenye mazungumzo ambayo yamekua yakifanyika nchini Qatar kwa takribani wiki 2 Sasa.

Makubaliano hayo yameungwa mkono na USA ambae ni mdhamini mkubwa wa Israel.

Kwa makubaliano hayo,nani ameelemewa uwandani?!

Statement issued by Hamas:

• Truce will start on Friday at 7:00AM
• The truce will last for 4 days,
• Cessation of all military actions by the Al-Qassam, the Palestinian resistance, and the Zionist enemy throughout the truce period.
• Cessation of aircraft activity in southern Gaza Strip.
• No aircraft activity for 6 hours/day (10:00-16:00) in Gaza City & the north
• 3 Palestinian prisoners released for every 1 israeli prisoner.
• Within 4 days, 50 israeli prisoners, women & children under the age of 19, will be released.
• Entry of 200 aid trucks & medical supplies per day to all areas of the Gaza Strip.
• Entry of 4 trucks of fuel and cooking gas per day to all areas of the Gaza Strip.
Kama alivyo mungu wenu w UONGO na ambaye ni SHETANI MWENYEWE, unajidanganya hata wewe mwenyewe.
Angalia hapa kwenye video wenzio huko Gaza wamechoka kudanganywa na HAMAS

View: https://x.com/visegrad24/status/1727613622816260436?s=20
 
Back
Top Bottom