Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 12,835
- 23,584
Katika hali ya kishangaza sana na kuuchekesha Ulimwengu taifa la mchongo Israeli leo limetoa taarifa kuwa wanamgambo wa Hezbollah kutoka nchi ya Lebanon 🇱🇧 wamepokea mitambo ya ulinzi wa anga kutoka Iran ( hii ni kweli ). Na kuelezea masikitiko yao kuwa dunia ipige kelele kitendo hicho hakikubaliki.
Wakati wanatoa taarifa hii Israeli anaendelea kupokea shehena ya mabomu na vilipuzi kutoka marekani kwajili ya kupambana na hao hao Hezbollah na Hamas wa kule palestina.
Je hawa viongozi wa Israeli hizi ni dalili za kuanza kuchanganyikiwa au vita imewazidi uwezo.?tuendelee kutazama mchezo wa vita unavyoenda.