Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 12,835
- 23,584
Kaharishakunya anye kuku akinya bata......
Nani kakwambia Iran kapeleka ADS huko Syria? Hivi huwa mnaota au, aliye peleka ADS ni Mrusi tena kwenye base zake tu si ku cover Syria yote.Hizo ni porojo tu za masjid ubwabwa Iran hana ADS ya kuweza kuitisha Israel mbona kila siku anapigwa hapo Syria sasa hizo ADS waga ziko wapi.
Hawa jamaa munyazi Mungu sijui aliwafanya nn kwenye bongo zao!! Hata leo iibuke vita kati ya boko haram na Marekani utayaona yako upande wa boko haram kakimtetea nakumsifiaHizo ni porojo tu za masjid ubwabwa Iran hana ADS ya kuweza kuitisha Israel mbona kila siku anapigwa hapo Syria sasa hizo ADS waga ziko wapi.
Wewe uwa punguani sana hujui hata ulichokiandika mabwana zako ndiyo wanajua Iran ni nani.Hizo ni porojo tu za masjid ubwabwa Iran hana ADS ya kuweza kuitisha Israel mbona kila siku anapigwa hapo Syria sasa hizo ADS waga ziko wapi.
Israeli inalalamika mambo magumu Hezbollah anawajambisha huko North wewe unapiga domo JFHizo ni porojo tu za masjid ubwabwa Iran hana ADS ya kuweza kuitisha Israel mbona kila siku anapigwa hapo Syria sasa hizo ADS waga ziko wapi.
Kaharishaa π€£π€£kunya anye kuku akinya bata......
We mwehu nini wewe mbona unamtetea bwanako marekani kwanini ukasirike wenzio wakiwa upande wa pili?Hawa jamaa munyazi Mungu sijui aliwafanya nn kwenye bongo zao!! Hata leo iibuke vita kati ya boko haram na Marekani utayaona yako upande wa boko haram kakimtetea nakumsifia
israel hana nguvu hata robo ya kupigana na iran kila kitu kimeonekana wazi, wana jeshi dhaifu sana vita hii ndogo tu ya kupigana na hamas inaenda mwezi wa nane sasa hakuna cha mateka wala kuwamaliza hamas,Hizo ni porojo tu za masjid ubwabwa Iran hana ADS ya kuweza kuitisha Israel mbona kila siku anapigwa hapo Syria sasa hizo ADS waga ziko wapi.
maajabu ya jeshi la mungu kuwaogopa migamboKaharishaa π€£π€£
Inashangaza sanamaajabu ya jeshi la mungu kuwaogopa migambo
na hayo maelf ya silaha wanayopokea kutoka marekan ila bado wajambishwa na vijitu kadhaa ambavyo hata kupata kwao silaha ni shidaInashangaza sana
Wewe mbona unaongea kijinga sana, kwani Hamas wako wapi. Watu wenyewe waoga kama nini wanaogopa vita kwa kujichanganya na raia sasa wewe unataka Israel wafanye nini waue wapalestina wote.Is
israel hana nguvu hata robo ya kupigana na iran kila kitu kimeonekana wazi, wana jeshi dhaifu sana vita hii ndogo tu ya kupigana na hamas inaenda mwezi wa nane sasa hakuna cha mateka wala kuwamaliza hamas,
Mkuu wa ulinzi israel gallant amemwambia netanyahu na right wing wenzake juzi kwenye mkutano na vyombo vya habari kwamba netanyahu amekosa plan ya kupigana na hamas, na ukumbuke huyu gallant netanyahu alishawahi kumfukuza mwaka jana ,wananchi wa israel wakaandamana netanyahu akamrudisha
Kilichobaki kwa netanyahu kwa sasa ni hataki uchaguzi na so far hajafanikisha chochote kwenye vita hii zaidi ya uharibifu huku israel ikiwa diplomatically hovyo duniani na kupingwa sera zake hadi na waisrael nwenyewe
Umepiga kichwa chini sana hadi akili zimesizi.Wewe uwa punguani sana hujui hata ulichokiandika mabwana zako ndiyo wanajua Iran ni nani.
Lini alipeleka ADS huko Syria?
Vitu vingi ufahamu wewe mlokole unakaza mshipa kuitetea Israel, wameishageukana huko mabwana zako hawaataki mipango ya Netanyahu wanataka vita iishe Hamas watawamaliza askari wao.
Pagazi ni pagazi tu hawezi kupata ukombozi hata iweje.Israeli inalalamika mambo magumu Hezbollah anawajambisha huko North wewe unapiga domo JF
Kwa ujinga wako wewe sikushangai maana hata uambiwe mavi ya wayahudi ni dawa ule utapona naona upo tayari.Pagazi ni pagazi tu hawezi kupata ukombozi hata iweje.
Marekani iungane na Urusi ipambane na Israel bado ishindwe? Labda kwavile walioungana ni mahasimu watakuwa wanapigana wao kwa wao ndo ushindi wa israel.Wewe mbona unaongea kijinga sana, kwani Hamas wako wapi. Watu wenyewe waoga kama nini wanaogopa vita kwa kujichanganya na raia sasa wewe unataka Israel wafanye nini waue wapalestina wote.
Hao magaidi wa Hamas wangejitokeza waziwazi kwamba wanataka kupigana na Israel vita vingeisha ndani ya siku saba na leo hii Hamas ingekuwa historia.
Sasa mataifa yote ya kiislamu yajifanye kutaka kupigana na Israel uone kitakachowapata huoni hata wenyewe wanaufyata.
Israel wakiamua kupigana vita hata Marekani aungane na Russia kumchangia na waachane na mambo ya nyuklia watakula kichapo ambacho hawatakaa wasahau.
Wewe kweli hamnazo yani unaonyesha kabisa hata shule huna aise kuwa mfuasi wa mwamposa kunaliangamiza hili taifa kama vijana wenyewe ndio uwezo wenu wa kufikiria umeishia hapa basi tatizo ni kubwa kuliko tunavyodhaniaWewe mbona unaongea kijinga sana, kwani Hamas wako wapi. Watu wenyewe waoga kama nini wanaogopa vita kwa kujichanganya na raia sasa wewe unataka Israel wafanye nini waue wapalestina wote.
Hao magaidi wa Hamas wangejitokeza waziwazi kwamba wanataka kupigana na Israel vita vingeisha ndani ya siku saba na leo hii Hamas ingekuwa historia.
Sasa mataifa yote ya kiislamu yajifanye kutaka kupigana na Israel uone kitakachowapata huoni hata wenyewe wanaufyata.
Israel wakiamua kupigana vita hata Marekani aungane na Russia kumchangia na waachane na mambo ya nyuklia watakula kichapo ambacho hawatakaa wasahau.