Israel yalipua ghala la silaha za Hezbollah lililojengwa kwenye makazi ya watu

Your browser is not able to display this video.

Kama ni kweli basi haya mambo ni mazito saaana.
 
Anawapasha Waarabu ukweli halisi. Mwamba atawamaliza wakijiona hivi-hivi. Ile cream ya uongozi wa juu kabisa wa Hezbollah amebaki H. Nasrallah peke yake. Anaweza kujifia mwenyewe kwa presha kwani amehudhuria mazishi ya wenzake 17 na bado Mwamba amekaza uso ... kazi inaendelea.
 
Propaganda za mashoga.
Kwani mashoga ni watu wabaya Sana kuliko wanaoua wenzao?

Ukiambiwa kati ya muuaji wa mwanao na shoga mmojawapo auawe wewe utachagua shoga ndiyo auawe badala aliyemuua mwanao?
 
Kwani mashoga ni watu wabaya Sana kuliko wanaoua wenzao?

Ukiambiwa kati ya muuaji wa mwanao na shoga mmojawapo auawe wewe utachagua shoga ndiyo auawe badala aliyemuua mwanao?
Ulivyopuguani unaniuliza maswali ya kishoga mimi kaulize
Mabasha zako.
 
watoto wa Ismail chuki ni ile ile ya kuzaliwa kwa Isack na kurithi mali wanayo mpaka kesho jioni!
 
Ulivyopuguani unaniuliza maswali ya kishoga mimi kaulize
Mabasha zako.
πŸ˜„πŸ˜†πŸ˜„πŸ˜†πŸ˜€
Kwa ivo wewe unaunga mkono mabashaπŸ˜€πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜„

Sasa basha si lazima awe na shoga?
 
Waarabu walijenga ghala katikati ya Islael wakitaka kulilipua waogope kuua watu, waarabu ni watu wa kutumia watu kujihami ki vita.

Sasa wamefumuliwa ubongo dadeq.

Lebabon walionywa walikatae kundi hilo la wahuni litawapomza wao wakadharau - haya sasa zaidi ya wa lebanon 700,000 washalowa vichwa hadi sasa
 
Ahudhurie mazishi huo uwezo anao? Japo alitamani kujumuika kuwazika wenzake ila hakuweza kufanya hivyo kutokana na hofu ya kuuliwa na IDF.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…