Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 7,681
- 9,892
Huyo yupo kwenye Shimo pale Tela Aviv 😄Hahahaaa. Hivi kule nako wanajisaidiaga nje porini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo yupo kwenye Shimo pale Tela Aviv 😄Hahahaaa. Hivi kule nako wanajisaidiaga nje porini?
Mungu anakuona lo!
Kwa hiyo silaha hizo zinachagua wanawake na watoto tu!Ghala hilo kubwa lilikuwa limejengwa sehemu yenye makazi ya watu kwajili ya kutunzia silaha za kuishambulia Israel.
Baada ya kushambuliwa, silaha hizo zimeanza kufumuka bila mpangilio, nyumba zinalipuka, watoto na wanawake wanakufa.
View attachment 3074584
View attachment 3074585
View attachment 3074589
View attachment 3074588
View attachment 3074587
Waarabu wanajua kwa ulaya ukisema wanawake na watoto wanakufa husikitika Sana.Kwa hiyo silaha hizo zinachagua wanawake na watoto tu!
Hakika zina macho makali mnoo.
Walifikaje hapo na kuyaingiza/kuyahifadhi hayo mabomu humo ndani ya nyumba ya Hezbollah kisha wakaanza kuyalipua? Sipati picha mkuu.Milipuko ya maboom yao wanasema silaha za Hezbullah 😄
Umeangalia vizuri hiyo milipuko?Milipuko ya maboom yao wanasema silaha za Hezbullah 😄
Anawapasha Waarabu ukweli halisi. Mwamba atawamaliza wakijiona hivi-hivi. Ile cream ya uongozi wa juu kabisa wa Hezbollah amebaki H. Nasrallah peke yake. Anaweza kujifia mwenyewe kwa presha kwani amehudhuria mazishi ya wenzake 17 na bado Mwamba amekaza uso ... kazi inaendelea.View attachment 3106587
Jamaa ana hoja
Kulwa na dotoNaona kama mbinu ya Hama's na Hizbullah kuwatumia watu Kama ngao zinafanana.
Yes. Na hata mtindo wa kulia ni uleule - Myahudi anaua wanawake na watoto.Kulwa na doto
Propaganda za mashoga.Ghala hilo kubwa lilikuwa limejengwa sehemu yenye makazi ya watu kwajili ya kutunzia silaha za kuishambulia Israel.
Baada ya kushambuliwa, silaha hizo zimeanza kufumuka bila mpangilio, nyumba zinalipuka, watoto na wanawake wanakufa.
View attachment 3074584
View attachment 3074585
View attachment 3074589
View attachment 3074588
View attachment 3074587
Kwani mashoga ni watu wabaya Sana kuliko wanaoua wenzao?Propaganda za mashoga.
Ulivyopuguani unaniuliza maswali ya kishoga mimi kaulizeKwani mashoga ni watu wabaya Sana kuliko wanaoua wenzao?
Ukiambiwa kati ya muuaji wa mwanao na shoga mmojawapo auawe wewe utachagua shoga ndiyo auawe badala aliyemuua mwanao?
watoto wa Ismail chuki ni ile ile ya kuzaliwa kwa Isack na kurithi mali wanayo mpaka kesho jioni!Israel ni jeshi linalojitahidi kupunguza maafa ya raia kadri iwezekanavyo japo ni mtihani sababu Hamas na Hezbollah wanaweka silaha na miundombinu yao kwenye makazi ya watu, Mfano leo Israel wameshambulia ghala la silaha pekee lakini wana uwezo wa kushambulia majengo mengine.
Hezbollah na Hamas wanajitahidi kuua waisrael wengi hasa raia wa kawaida kadri iwezekanavyo, ushahidi ni october 7, ilikuwa sehemu yoyote wakiona mtu anapumua kwap ni kibali cha kuua.
😄😆😄😆😀Ulivyopuguani unaniuliza maswali ya kishoga mimi kaulize
Mabasha zako.
Ahudhurie mazishi huo uwezo anao? Japo alitamani kujumuika kuwazika wenzake ila hakuweza kufanya hivyo kutokana na hofu ya kuuliwa na IDF.Anawapasha Waarabu ukweli halisi. Mwamba atawamaliza wakijiona hivi-hivi. Ile cream ya uongozi wa juu kabisa wa Hezbollah amebaki H. Nasrallah peke yake. Anaweza kujifia mwenyewe kwa presha kwani amehudhuria mazishi ya wenzake 17 na bado Mwamba amekaza uso ... kazi inaendelea.