Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 7,681
- 9,892
Hakuna hata habari hio imekuwa confirms na media hata hawa Al Arabia sio Al Arabiya kuna mmoja ni muongo, yeye anacho sema Israel huwa wanazidisha hio ni channel ya Saud Arabia na UAE broadcast from Dubai yen'yewe ni zaidi kama wewe mtoa mada. Hata hizo channel hakuna walio sema zaidi ya kusema Israel anadai kapiga silaha 😄Mods tafadhalini msiunge
Ghala hilo kubwa lilikuwa limejengwa sehemu yenye makazi ya watu kwajili ya kutunzia silaha za kuishambulia Israel.
Baada ya kushambuliwa, silaha hizo zimeanza kufumuka bila mpangilio, nyumba zinalipuka, watoto na wanawake wanakufa
View attachment 3074584
View attachment 3074585
View attachment 3074589
View attachment 3074588
View attachment 3074587
Hi channel inasema Israel wanajidai wamepiga silaha hapo dalili wazi ni waongo kama wewe mtoa mada
View: https://youtu.be/xsjnaq8ys3I?si=DTf0AaJNXAyWAnUc