Lax
JF-Expert Member
- Feb 10, 2022
- 12,297
- 18,156
Watu wanabadili dini mkuu --- hata taifa letu hili miaka ya nyuma huko halikua hiviLebanon ilikua nchi ya wakristo kila mtu anajua ilo vipi Hezbollah wametokea wapi?
Watu wanabadili dini mkuu --- hata taifa letu hili miaka ya nyuma huko halikua hiviLebanon ilikua nchi ya wakristo kila mtu anajua ilo vipi Hezbollah wametokea wapi?
Roman Catholic Si walokole.Walokole wanakurupuka tu hakuna wanacho jua kuhusu Israel
Ungesoma msg yangu yote ungeelewa. !!!Lebanon ilikua nchi ya wakristo kila mtu anajua ilo vipi Hezbollah wametokea wapi?
Bila Kuwasahau Pia Wale Wa Bukabuka,,,Kinyami,,,Kwa Msisi Na Kumaikae....Bila kwasahau pia wale wa visiwani kutoka Kibanda maiti,mfereji wa wima,matarumbeta,kwa haji tumbo, jendele na kwingineko.
Yahudi mweusi wa Tunduru anatoa tamko😀Kama watu walitumia shule, misikiti na hospital, rasilimali za UN, misaada n.k kutekeleza na kufichia mambo yao unadhani ni kipi ambacho hawawezi kukitumia?
So kama vile vingine vilitumika vikashambuliwa, that means wakihamia Kanisani nako watafuatwa tu.
Huko bongo nasikia serikali imefungia Kanisa kufanya sh6ghuli zake. Umewahi ku reportia hilo?
😁😁Haya wale Waisrael weusi kutoka maeneo mbalimbali kama Ukara, Uyole, Nyambiti, Songwe, Ngudu, Kibosho, Lamadi, njooni tuwamwagie sifa taifa teule😅
God bless IsraelHaya wale Waisrael weusi kutoka maeneo mbalimbali kama Ukara, Uyole, Nyambiti, Songwe, Ngudu, Kibosho, Lamadi, njooni tuwamwagie sifa taifa teule😅
Wewe mwehu hakikaWewe punguani kweli.
Nimwambie Padre Gabriele Romanelli kwani yeye ndie alieyeta hii mada hapa jukwaani?!Hayo maneno kamwambie Parokia wa Argentina, Padre Gabriele Romanelli,
Chuki imempofua huyo shekhe ubwabwaWewe mwehu hakika
Picha za runinga zilionyesha paroko wa Parokia ya Argentina, Padre Gabriele Romanelli, akitembea bila utulivu na kuangalia mtu kwenye machela katika hospitali ya Al-Ahli katika Jiji la Gaza.Nimwambie Padre Gabriele Romanelli kwani yeye ndie alieyeta hii mada hapa jukwaani?!
Niliyategemea majibu haya mana wacristo hawana tena utetezi zidi ya Mazayuni, kilichobaki ni kufa na tai shingoni.Magaidi wasitake kutumia maeneo ya ibada kama kinga! Popote walipo wanatakiwa kuuliwa.
Punguan wahedNaona umekosa hoja unashambulia mimi nakujibu hivi pamoja na wehu wangu lakini siku zote bi mkubwa wako ananipenda sana au unamuonea wivu raha anazopata na wewe unazitaka.