Hizo unazoengea ni fikra zako za kipunguani.Hamas wanaendesha vita kwa propaganda sana ya kuteka hisia za jumuia za kimataifa.....na kwa hilo wamefanikiwa....ambacho hawajafanikiwa ni kuwa upande wa pili hawaendeshwi na propaganda zao.....
Wanaweka kambi na vituo vya kimkakati kwenye makazi ya watu na taasisi za kimataifa ili kupata huruma za kiulimwengu....matokeo yake Gaza imebakia majivu......wao walidhania mkakati huo utawarudisha nyuma Israel kutokana na presha ya jumuia za kimataifa lakini mzayuni ameziba masikio......
Ingawa wanapigania haki yao kama wanavyo dai lakini njia wanayotumia ndio imezidi kuwaongezea maafa na kuwaponza watu wao maana wanapambana na adui asiye na huruma kama walivyomdhania
Hahahahaha!!!Hizo unazoengea ni fikra zako za kipunguani.
Hamas hawaitaji huruma wala msaada wowote ndiyo maana unaona mpaka leo miaka miwili na zaidi wapo vitani ni Yemen, peke yake hadi sasa ndiyo ametangaza wazi yupo pamoja na Hamas.
Mabwana zako Israel wanasaidiwa na Marekani, Uingereza, Ujerumani, India. Ufaransa, Canada.
Hapa umeona nani anahitaji huruma na anayeomba misaada.
Nyie tatizo lenu ni ukosefu wa akili, ndio matatizo yenu. Toka lini Lebanon ilikuwa nchi ya kikristo hahaha, hio nchi wako Waislam, Wakristo na Druze. Usisahau pia nchi za kiarabu wako Wayahudi wako Wakristo lakini western media zinawaita Warabu ni magaidi, sababu Uislam haukubaliani na agenda zao. Hivi kuna gaidi duniani kama USA na Israel hebu fanyeni research mtakubaliana na mimi.Lebanon ilikua nchi ya wakristo kila mtu anajua ilo vipi Hezbollah wametokea wapi?
Kwani ni mara ya kwanza wanapiga kanisa sa we endelea kuwatetea miungu wako hahaha eti taifa teule hata Netanyahu akikuzamishia utasema kaomba msamaha si kwa maksudi alidhania tako la SarahMbona IDF imetoa ufafanuzi. Ni collateral damage. Kwenye vita haya mambo hayakwepeki
KWa hiyo?Picha za runinga zilionyesha paroko wa Parokia ya Argentina, Padre Gabriele Romanelli, akitembea bila utulivu na kuangalia mtu kwenye machela katika hospitali ya Al-Ahli katika Jiji la Gaza.
Kwahiyo maeneo niliyoyataja hakuna Mazayuni yasiyopenda kusikia habari mbaya kwa Taifa la Netapaka!?Angalia hili lokole la Makete hata alijua linashabikia nini😂
Kwa mtazamo wako, wazee na watoto ndiyo magaidi?Magaidi wasitake kutumia maeneo ya ibada kama kinga! Popote walipo wanatakiwa kuuliwa.
Wewe ni KIBWENGO kweli leo hii BBC umeiona ya maana?Wana jukwaa wa JF
Papa Leo XIV amerejelea wito wake wa kusitisha mapigano Gaza baada ya watu watatu waliokuwa wakihifadhi katika kanisa katoliki katika mji wa Gaza kuuawa katika shambulizi la Israel.
Telegramu ilisema Papa "amehuzunishwa sana kujua juu ya kupoteza maisha na majeraha yaliyosababishwa na shambulio la kijeshi" kwenye Kanisa la Holy Family.
Patriarchate ya Kilatini ya Jerusalem, ambayo inasimamia kanisa, ilisema "ilipigwa na jeshi la Israeli". Watu wengine tisa walijeruhiwa, mmoja wao yuko katika hali mbaya hospitalini. Paroko huyo alijeruhiwa kidogo.
Wizara ya mambo ya nje ya Israel ilisema inajutia madhara yoyote kwa tovuti ya kidini au raia wasiohusika na jeshi la Israel lilisema tukio hilo lilikuwa linachunguzwa.
Familia nyingi zilizohamishwa kutoka jumuiya ndogo ya Kikristo ya Gaza zimekuwa zikiishi katika jumba la kanisa tangu vita kuanza baada ya nyumba zao kuharibiwa.
Alipokuwa hai, hayati Papa Francis aliwaita karibu kila siku.
Video na picha zilizoshirikiwa na BBC zilionyesha kuwa paa la Kanisa la Holy Family liligongwa, karibu na msalaba, na kwamba madirisha yalivunjwa.
Picha za runinga zilionyesha paroko wa Parokia ya Argentina, Padre Gabriele Romanelli, akitembea bila utulivu na kuangalia mtu kwenye machela katika hospitali ya Al-Ahli katika Jiji la Gaza.
================
Pope Leo XIV has renewed his call for a Gaza ceasefire after three people sheltering in the Catholic church in Gaza City were killed in an Israeli strike.
A telegram said the Pope was "deeply saddened to learn of the loss of life and injury caused by the military attack" on the Holy Family Church.
The Latin Patriarchate of Jerusalem, which oversees the church, said it was "struck by the Israeli army". Nine other people were wounded, one of whom is in a critical condition in hospital. The parish priest was lightly injured.
Israel's foreign ministry said it regretted any harm to a religious site or uninvolved civilians and the Israeli military said the incident was under review.
Many displaced families from Gaza's small Christian community have been living in the church compound since the war began after their own homes were destroyed.
While he was alive, the late Pope Francis called them on a near-daily basis.
A video and photos shared with the BBC showed the roof of the Holy Family Church was hit, close to the cross, and that windows were broken.
TV footage showed the Argentine parish priest, Father Gabriele Romanelli, walking unsteadily and checking on a man on a stretcher at the Al-Ahli hospital in Gaza City
Source: BBC News Pope expresses sadness after Israeli strike on Gaza church kills three - BBC News
IDF wamesema wanasikitika sana kwa shambulio hilo na wachunguza ilikuwaje!!Haya wale Waisrael weusi kutoka maeneo mbalimbali kama Ukara, Uyole, Nyambiti, Songwe, Ngudu, Kibosho, Lamadi, njooni tuwamwagie sifa taifa teule😅
Endelea kujitoa ifahamu na kuwadanganya wajinga wezako!!Biblia yenyewe inawatambua kama kondooo waliopotea ikimaanisha ni watu waliopotea
ndiomana kwa umbumbumbu wao wamechagua kushabikia wanasodoma walio waziwazi,,
Nakuacha wapigania haki
Sisi tukiwaambia CRISTIAN wote Duniani wanasimama na Palestina
Waisrael wananyanyasa sana Wakristo aya Mapambano ni Wakristo na waislam wanapambana na kuwapiga waovu ktk eneo !!
wananchi wengi wa Lebanon ni Wakristo asa kusini mwa Lebanon na ndio uko uko inapatikana hezbollah!!
Wakristo wengi Lebanon wapo salama chini ya Hezbullah !!
kuna mambo mengi Wakristo wa tz awajui kuusu hezbollah au ndio nawao wapokufanya propaganda!!!
mafano kwenye Vita ya juzkati ya kuondolewa Assad !!
ndani ya Syria kulikuwa na wakimbizi wengi kutokea Lebanon wakiwemo Wakristo Baada kuonekana Mejesh ya Assad yanapoteza maeneo zaid !!!
Hezbullah ilitumwa kwenda kuwaokoa wakimbizi lengo hasa kuwarudisha Wakristo Lebanon sababu usalama wao ndio ungekuwa mashakani wangefikiwa na waasi wanaotaka kumpindua Assad !!
kuna mashabiki wa taifa teule la Mchongo walishangilia kuvunjwa kwa Dalaja muimu linawaunganisha Syria na Lebanon kumbe hezbollah ilikuwa kwenye alakati kuwaokoa Wakristo media za Wazungu zipo kipropaganda !!!
utoweza kuambiwa umuimu wa hezbollah pale Lebanon !!
hezbollah inawabunge 30+ awa wamepigiwa kura zaid na Washia + Wakristo uko kusini, !!
hezbollah ni chombo cha Usalama muimu sana kwa wote chenye nguvu zaid Lebanon !!!
Wakristo watz wanaichukia hezbollah ¿¿
awa sio kondooo waliopotea ni mikondoo iliopotea
Wewe ni rais wa mapunguani. Israel wanapigana na Hamas kule Gaza, sio kanisa katoliki...vita huwa ina collateral damage, haikwepeki. Punguza upumbavu hamas mkubwa weMiafrika mingi uwa mapunguani sana yaani mauaji yanafanywa na Israel lawama unawapa Hamas, kwa hiyo Israel wao wana haki ya kuuwa kila mtu.
Ndiyo maana nakuita punguani na mjinga wa mwisho akili za sisimizi.Wewe ni rais wa mapunguani. Israel wanapigana na Hamas kule Gaza, sio kanisa katoliki...vita huwa ina collateral damage, haikwepeki. Punguza upumbavu hamas mkubwa we
figures show that more than 6,000 women and 11,000 children were killed in Gaza by the Israeli military over the last 12 months. Data from 2004-2021.>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>
Hao wate wanauliwa na mabwana zako ni Hamas? Pumbavu kabisa.>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>