Israel yalipua Kanisa la Katoliki la Gaza linalohifadhi wazee, watoto

W
Miafrika mingi uwa mapunguani sana yaani mauaji yanafanywa na Israel lawama unawapa Hamas, kwa hiyo Israel wao wana haki ya kuuwa kila mtu.
Wewe Kibwengo Oct 07,2023 nani alianzisha!?
 
WE pumbavu achana na mimi, kapigane Gaza huko
 
W

Wewe Kibwengo Oct 07,2023 nani alianzisha!?
Wewe uwa punguani sana hujui lolote umebakia na ushabiki mandazi tu ulivyokuwa bwegee unajua vita kati ya Palestina na Israel vimenza Oct 7.
>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>
The Palestinian Central Bureau of Statistics released a report Sunday marking the 76th anniversary of the Nakba (Great Catastrophe) indicating that since 1948, approximately 134,000 Palestinians and Arabs have been killed both inside and outside Palestine.

The bureau’s report details the grim statistics of death, detention, settlement construction and land confiscation in Palestine coinciding with the anniversary of May 15, 1948.

Since Oct. 7 alone, the start of the Israel-Hamas war, at least 35,034 Palestinians have been killed in Gaza, with 14,944 being children and 9,849 women.
>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>>
Naona siku hizi unaandika kwa adabu baada ya kipigo cha Iran😀
 
Mazayuni aka wayahudi feki ni devil worshippers na kila siku tunasema humu ila hawa walokole vichwa maji wasiosoma maandiko kiundani wala kuwa na knowledge ya ulimwengu wala historia ya ulimwengu hawaelewi . The synagogue of satan ndio hawa washenzi , walowezi na plunders toka Russia ,Poland na maeneo Caucaus Europe waliopo hapo kwenye ardhi ya palestina leo kwa kigezo cha kujiita wayahudi
 
Nijuavyo mimi Oct 06,2023 ilikuwa shwari kabisa na siku iliyofuata Oct 07,2023 magaidi walipochafua hali ya hewa ndipo palichafuka mpaka leo hii magaidi wanalia na kusingia wanawake na watoto wakati wao wenyewe Oct 07,2023 walifanya unyama wa kuua watu 1,200 na kuteka nyara watu 251 hayo warabu-koko hawatambui kwa maana kwa akili zao mbovu waliona walikuwa wanaua mbuzi tu. Sasa hivi wanalia kilio cha mbwa koko!!
 
Kanisa ndo wajinga kww kukubali hamasi kuwa hapo . Walioshambulia wenye umewasikia kuwa wamewalenga hamasi hapo .. au ww ndo unajua kuliko hawa wa idf wenyewe au umesikia hamasi wakilalamikiwa na wahanga kuhusu kutumia kanisa kujificha au ndo una mahaba na hao wa koloni kuwatetea kishamba hivyo kama vile ndo katibu wa netanyahu
 
Hawa Wayahudi weusi ni wabaya kuzidi Wayahudi wa Tel Aviv.
 
Hawa Wayahudi weusi ni wabaya kuzidi Wayahudi wa Tel Aviv.
Netanyahu angejua kuwa kuna makarunguyeye hapa bongo mbone angewaokoa sana wanajeshi wake .. angewatanguliza hawa kama chambo maana hayaelewi hata yanashabikia nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…