Israel yamuua Kamanda Mkuu wa operations za Hezblollah Jijini Beirut

Israel yamuua Kamanda Mkuu wa operations za Hezblollah Jijini Beirut

Frank Wanjiru

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2012
Posts
22,719
Reaction score
40,739
Kamanda Mkuu wa operations za kijeshi wa kundi la Hezbollah ndugu Ibrahim Aqil ameuawa mchana leo kwa mashambulizi ya ndege za kivita za Israel Jijini Beirut nchini Lebanon.

=======
Hezbollah official Ibrahim Aqil in an undated photo. (US Department of State)

A source close to Lebanon’s Hezbollah says the Israeli strike in Beirut’s Dahiyeh neighborhood killed Ibrahim Aqil, a senior commander in the terror group’s elite Radwan unit.
“The Israeli air strike killed Radwan Force commander Ibrahim Aqil, its armed force’s second-in-command after Fuad Shukr,” who was killed by an Israeli strike in July, also in Hezbollah’s southern Beirut stronghold, says the source who requested anonymity to discuss sensitive matters.

Soma Pia:
 
Lebanon kunawaka moto wanajukwaa.... aisei wavaa kobaz wanapoteana.... Myahudi amechafukwa....



623205
 
Lebanon kunawaka moto wanajukwaa.... aisei wavaa kobaz wanapoteana.... Myahudi maechafukwa....



623205

Lebanon nchi nzuri inakwenda kuharibika sababu ya mabifu ya hesbolah (iran) na israel... walebanon halisi wenyewe ni watu wa kula goodtym na ku-vibe tu

Wenyewe wajilaumu, kwanini waliruhusu magaidi wa Waislamu watie kambi huko.
 
Ndege za F-35 Leo zimefanya unyama Sana Lebanon.
Hili ni pigo kubwa Sana Kwa Hezbollah maana huyu kamanda wao ndiyo alikuwa master plan wa kundi, Acha tuone mwisho hii moviie maana Hezbollah wameomba msaada wa kijeshi kutoka Iraq
 
Kamanda Mkuu wa operations za kijeshi wa kundi la Hezbollah ndugu Ibrahim Aqil ameuawa mchana leo kwa mashambulizi ya ndege za kivita za Israel Jijini Beirut nchini Lebanon.
Hadithi za Israel na Hezbollah ni kama hadithi ya Mungu na Shetani vile!

Mungu hajamwangamiza Shetani kwa makusudi flani.

Je Israel nayo haimwangamizi mkuu wa Hezbollah kwa makusudi flani?

Imeshindwaje kumlenga Jemedari wao Nasrala ili ugomvi ufikie mwisho,
?
Au ndiyo hayo ya kuishi shimoni kama nyaga, bila simu bila kompyuta?

Iweje walenge kidagaa wakati papa yupo, tunabaki tunajiuliza?
 
Back
Top Bottom