Israel yamuua Kamanda Mkuu wa operations za Hezblollah Jijini Beirut

Israel yamuua Kamanda Mkuu wa operations za Hezblollah Jijini Beirut

Wana Hezbollah waliobaki wakijiuliza mara mbili mbili kama wanachokifanya (vita na Mzayuni) kitawalipa au lah?“wanajiuliza hivi kweli dah....na hali tutatoboa kweli?”
FB_IMG_1726843745424.jpg
 
Hizo Ndege hata jana zilikuwa zinaruka chini chini wakati Ayatula wa Hezbola akitoa speech ule ulikuwa ni ujumbe kwa Hezbola kuwa Israel Airforce ina uwezo wa kupiga popote pale Lebanon.
Cha kushangaza huyu kamanda aliyekufa Leo alikuwa anatoka hospital alikokuwa amelazwa baada kulipukiwa na pagers
 
Hii hadithi ya wakristo wa bunyokwa kufurahi Lebanon 🇱🇧 ikipigwa na Israel inafurahisha sana , cha kushangaza Lebanon kuna wakristo wengi na ndio taifa peke mashariki ya kati wakristo wana haki sawa na waislamu.
 
Wamewahi kukutana Mara mbili kwenye Medani za vita, ya kwanza ilisemekana Israel alidundwa na vita vya pili ilisemekana walitoka draw(sare sare).

Wakipigana vita sasa, itakuwa wanapigana kwa Mara ya tatu na Hezbollah walishasema kuwa kama vita vitaanza na wao hawataangalia sehemu za kupiga au kufuata kanuni za vita zinavyotaka. Kwahiyo watafanya kama wanavyofanya Israeli kuua Raia hovyo na kuangamiza Miji ya raia badala ya kupambana na jeshi na kulipua vituo vya kijeshi na Maghala ya Silaha.

Hivyo basi kwa kuwa wote hawatafuata kanuni za vita basi tutarajie vita vitakuwa vibaya sana kwa pande zote mbili, ijapokuwa Hezbollah watapata Madhara na Israel watapata pia Madhara, ukizingatia uwezo wa hezbollah umeongezeka tofauti na kipindi cha nyuma. Maana taarifa za Israel kupitia MOSSAD zinasema kwa sasa Hezbollah uwezo wake wa Makombora umeongezeka hadi kufikia laki moja na nusu, tena ni makombora yanayoweza kuongozwa na kuchagua wapige wapi na wapi wasipige.

Mwisho kabisa, tuache ushabiki vita ni mbaya maana Adolf Hitler alijona Mwamba na kiranja wa Dunia lakini leo hii Ujerumani ni ya kawaida tu. Dola ya Ugiriki, Roma, na Persian zote hazipo leo hii. Hata Uingereza alikuwa Super Power na kuwapa eneo Wayahudi pale pale Palestina(Israel) mwaka 1948 lakini leo hii Muingereza kawa kama Mandonga.
 
Hii hadithi ya wakristo wa bunyokwa kufurahi Lebanon 🇱🇧 ikipigwa na Israel inafurahisha sana , cha kushangaza Lebanon kuna wakristo wengi na ndio taifa peke mashariki ya kati wakristo wana haki sawa na waislamu.
Lebanon wanaishi kidini na kimadhehebu maeneo yanayoshambuliwa ni ya Shia ambayo ni kusini mwa Beirut na Kusini mwa Lebanon.
 
Visingizo? Hio habari ni kweli US alikuwa anamtafuta huyo kwa kuwambia atakaye toa infomation yake atampa 7 millions.
Ndiyo Mnaenda kupotea kwenye historia ya Dunia hivyo; hawa Hezbollah walivyoambiwa kuwa ile vita ya 2006 waliisababishia Israel hasara kubwa in term ya vifaa na wanajeshi, basi kichwa kikavimba kuwa kwa sasa wanauwezo huo wa kutumiza AZMA ya Quran yao wa kuifutilia mbali Israel. Wenzenu waliojaribu hilo walijikuta wakifutiliwa mbali kwenye historia ya Dunia
Screenshot_20240920-182044_Chrome.jpg
 
Hii hadithi ya wakristo wa bunyokwa kufurahi Lebanon 🇱🇧 ikipigwa na Israel inafurahisha sana , cha kushangaza Lebanon kuna wakristo wengi na ndio taifa peke mashariki ya kati wakristo wana haki sawa na waislamu.
Alieuliwa au anepigwa ni mwislamu niambie mkristo gani yuko QUDS au HEZBULLAH haha
 
Hii hadithi ya wakristo wa bunyokwa kufurahi Lebanon 🇱🇧 ikipigwa na Israel inafurahisha sana , cha kushangaza Lebanon kuna wakristo wengi na ndio taifa peke mashariki ya kati wakristo wana haki sawa na waislamu.
HUujui ukristo kama walivyo wakristo wengi. Huna elimu juu ya Eschatology at all, sikushangai wewe mkristo uliyeasi pamoja na wakristo bubu wengine mkiwa mnaongea vitu msivyovijua kama hivi
 
Visingizo? Hio habari ni kweli US alikuwa anamtafuta huyo kwa kuwambia atakaye toa infomation yake atampa 7 millions.
Ndiyo Mnaenda kupotea kwenye historia ya Dunia hivyo; hawa Hezbollah walivyoambiwa kuwa ile vita ya 2006 waliisababishia Israel hasara kubwa in term ya vifaa na wanajeshi, basi kichwa kikavimba kuwa kwa sasa wanauwezo huo wa kutumiza AZMA ya Quran yao wa kuifutilia mbali Israel. Wenzenu waliojaribu hilo walijikuta wakifutiliwa mbali kwenye historia ya Dunia
View attachment 3101247
View attachment 3101247
 
Back
Top Bottom