Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kamanda Mkuu wa operations za kijeshi wa kundi la Hezbollah ndugu Ibrahim Aqil ameuawa mchana leo kwa mashambulizi ya ndege za kivita za Israel Jijini Beirut nchini Lebanon.
=======
Hezbollah official Ibrahim Aqil in an undated photo. (US Department of State)
A source close to Lebanon’s Hezbollah says the Israeli strike in Beirut’s Dahiyeh neighborhood killed Ibrahim Aqil, a senior commander in the terror group’s elite Radwan unit.
“The Israeli air strike killed Radwan Force commander Ibrahim Aqil, its armed force’s second-in-command after Fuad Shukr,” who was killed by an Israeli strike in July, also in Hezbollah’s southern Beirut stronghold, says the source who requested anonymity to discuss sensitive matters.
Soma Pia:
Ukraine anamuondoa mrusi mchana dunia ikiona.US alimpeleka chaka Ukraine
Iran naye anampeleka chaka Lebanon
Hahaha kwanza huyo commander mpa mda huo hakuna dalili 💯 kauliwa ni Israel ndio anasema. Hezbullah bado hajatangaza. Pili hio ya kuomba msada wapi dalili zako.Ndege za F-35 Leo zimefanya unyama Sana Lebanon.
Hili ni pigo kubwa Sana Kwa Hezbollah maana huyu kamanda wao ndiyo alikuwa master plan wa kundi, Acha tuone mwisho hii moviie maana Hezbollah wameomba msaada wa kijeshi kutoka Iraq
Ya kawaida??lakini leo hii Ujerumani ni ya kawaida tu
Hapo sudan wanaouawana ni wakristo?Ila tukubali tukatae Lebanon kuna wakristo karibu nusu ya raia wote ,pia madhara ya kivita yanawapata wote .
Hizo ni propaganda za wafia dini ila kila mtu anafahamu Lebanon wakristo hawana shida ,ni nchi gani ya mashariki ya kati ilishatoa raisi mkristo zaidi ya Lebanon ? Michel Aoun?Who told you so??
Wakristo haohao unaosema wana haki sawa na waislamu wanahama nchi yao na kwa sababu ya makosa waliyofanya ya kukubali kupokea waislamu, sasa hivi hawana amani, Islamization of Lebanon is very pitiful, they had peace, now they have nothing.
View attachment 3101271
Hiki kitabu cha huyu mwanamama mlebanon aliyehamia USA kinakupinga, experience aliyopitia yeye ni tofauti na alichosema wewe hapo.
Jambo wasilolijua watu pia wapo askari wa Israel ni waislamu nao wapo front vitani .Hapo sudan wanaouawana ni wakristo?
Imani za watu na maslahi ya watu ni vitu viwili tofauti.
😆😆😆 sasa hivi Ayatula mdogo hamuamini Ayatula mkubwa😆😂
Kawaulize US labda wewe ndio wa madafuMillion saba (7) hii hii ninayoijua mimi ya madafu 7,00 au?
Ama ulitaka kusemaje mkuu?
MaamaeeDude Hilo
SureDini+hulka ya Mwanaamu ya Us and them" kwa mfano Nchi za Kishia kama Iran nk. Sunni wanadharaulika sana kama taka taka na hivyo hivyo Nchi za Kisunni Shia wanaitwa kuwa ni Makafiri maadui wa Allah na hao ni Waisilamu imagine.
Lebanon sio tuu kwamba ina wakristo, ilikuwa NCHI YA KIKRISTO kabisaaa, ila baada ya kuwapokea na kuwakaribisha waislamu, mambo yakabadilika, asaiv ni nchi ya kiislamu inayoongozwa na itikadi za kiislamu, hata ulivosema ina wakristo wengi umetupiga kamba pia, Lebanon waislamu wako mara mbili ya idadi ya wakristo.Hizo ni propaganda za wafia dini ila kila mtu anafahamu Lebanon wakristo hawana shida ,ni nchi gani ya mashariki ya kati ilishatoa raisi mkristo zaidi ya Lebanon ? Michel Aoun?
Wako 15% na wakristo 20%Jambo wasilolijua watu pia wapo askari wa Israel ni waislamu nao wapo front vitani .