adriz
JF-Expert Member
- Sep 2, 2017
- 12,207
- 26,521
Wewe jamaa ushabiki tayari umepunguza kiwango chako Cha akili hapa Jf na rasmi umeshakuwa a Fanatical Guy .Dini+hulka ya Mwanaamu ya Us and them" kwa mfano Nchi za Kishia kama Iran nk. Sunni wanadharaulika sana kama taka taka na hivyo hivyo Nchi za Kisunni Shia wanaitwa kuwa ni Makafiri maadui wa Allah na hao ni Waisilamu imagine.
Kumbuka Uislamu unakataza "Elimu ya Dunia"unasisitiza zaidi "Elimu ya kesho Ahera" kwahiyo bidhaa za Electronics zikianza kulipuka hawajui hata wafanyeje zaidi ya kusema Allah ndie kasababisha😆😆😂🤣
Uislamu unasapoti wazi kabisa mambo yote muhimu na yenye manufaa kwa Wanadamu na ulimwengubkwa ujumla ila ktk kila jambo Kuna misingi yake , hata kihistoria dola za uislamu na wataalamu wake wamechangia pakubwa katika maendeleo ya Sayansi na taaluma mbalimbali za Elimu Dunia .