PakiJinja
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 11,689
- 25,848
Ni kweli, Lebanon kuna 35% ya wakristo lakini wanaishi kwa kubaguliwa sana japo Lebanon ilikiwa nchi ya Kikristo lakini kulengwa na kuuawa kwa wakristo kulipelekea wengi kukimbia.Ila tukubali tukatae Lebanon kuna wakristo karibu nusu ya raia wote ,pia madhara ya kivita yanawapata wote .
Besides, hiyo vita upande mmoja unatumia dini, wakati upande mwingine hautumii kigezo cha dini. Hata Israel kuna waislam wengi tu na wengi wamekua wakiuawa na mashambulizi ya Hezbollah