Chinchiler
JF-Expert Member
- Jul 29, 2022
- 1,513
- 2,019
Mmoja mmoja ndio mpango subiri wazike mwengine atafuataHadithi za Israel na Hezbollah ni kama hadithi ya Mungu na Shetani vile!
Mungu hajamwangamiza Shetani kwa makusudi flani.
Je Israel nayo haimwangamizi mkuu wa Hezbollah kwa makusudi flani?
Imeshindwaje kumlenga Jemedari wao Nasrala ili ugomvi ufikie mwisho,
?
Au ndiyo hayo ya kuishi shimoni kama nyaga, bila simu bila kompyuta?
Iweje walenge kidagaa wakati papa yupo, tunabaki tunajiuliza?