Israel yamuua Kamanda Mkuu wa operations za Hezblollah Jijini Beirut

Haya majitu majinga sana ,kila mda yanawaza uchokozi huku yakijua hawana uwezo ,ona sasa dam za watu wasiokua na hatia inavyo mwagika ,majinga sana aya jamaa
 
Israel hata wakimuua mtoto mdogo watatangaza wameua kamanda Mwandamizi 😂😂

Mtoto mdogo kauawa!!!!!....akili za wabongo...unaona wazi tuna safari ndefu kama taifa.......



Killing Hezbollah commander in Beirut was biggest loss for group since 2008​


BEIRUT, Aug 1 (Reuters) - Fuad Shukr, the top Hezbollah commander killed by Israel on Tuesday, was a founding member of the Iran-backed group who helped oversee its expansion from a shadowy Lebanese civil war militia to a major force in the Middle East.
His killing was the heaviest blow to Hezbollah's command since the 2008 assassination of Imad Mughniyeh, underlining the gravity of this week's escalation in the conflict, which has been rumbling across region since the Gaza war erupted.

 
Ndege za F-35 Leo zimefanya unyama Sana Lebanon.
Hili ni pigo kubwa Sana Kwa Hezbollah maana huyu kamanda wao ndiyo alikuwa master plan wa kundi, Acha tuone mwisho hii moviie maana Hezbollah wameomba msaada wa kijeshi kutoka Iraq
Wanataka iraq ifutwe kabisa maana inajipumulia kwa shida now days
 



Killed Hezbollah commander Aqil was wanted for deadly 1983 US embassy, Marine blasts​


 

Wenye akili Hezbollah......Wameilipa pesa Israel kununua Pager / Walkie Talkies zilizowaletea maafa.......!!! Akili nyingine....
 
Kwani vita vimeanza leo ? Au wewe umeanza kufuatilia leo ...Kule vietnam, Afghanstan ,Palestina , syria ,yemen iraq wameanza kuuliwa leo? Wamekufa mamilion ndio ambao watoto ndio wameunda hayo makundi .


Chanzo ni nyie ....Punguza unafiki kama anaweza awamalize tu kwani wameanza leo ....Huko congo watu wanauliwa kila siku kwa kupenda ushabiki maandazi umehama kule Russo-ukraine war mbona husemi ? Shughuli zimesimama watu wankufa
 

Unafiki upi mkuu.....! Kusema Nasrallah kawaingiza Walebanon mkenge! Wapelestina Gaza wanaweza angalau kuwa na hoja ya kupigana na Israel, lakini huyu Mshia hujui hata anataka nini, Kabla hata Israel haijaanza kurespond kwa October 7, yeye October 8th kaanza kurusha Makombora!

Angalia Walebanon ndani ya gari ya kubebea ng'ombe wakikimbia makwao......Nasralah anapata faida gani hasa.....

 
Wanapambana kwa vile ni haki yao sio mkenge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…