stephot
JF-Expert Member
- Mar 1, 2012
- 17,216
- 26,225
Hili dude hata kama uko kwenye handaki lazima likutafune tu...Lebanon kunawaka moto wanajukwaa.... aisei wavaa kobaz wanapoteana.... Myahudi amechafukwa....
![]()
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili dude hata kama uko kwenye handaki lazima likutafune tu...Lebanon kunawaka moto wanajukwaa.... aisei wavaa kobaz wanapoteana.... Myahudi amechafukwa....
![]()
Unajua ukifuatilia media unaweza kushangaa sana na wtu wanachoongea huku , wajaribu kuangalia na kule ukraine watu wanavyokufa hao wote ni wakristo ila wameacha wamehamia kushambulia waislamu .
Hapo palestine wapo wakristo ten mpaka makanisa yao yamelipuliwa , hata lebanon wapo pia .
Bora useme ukweli , ukifuatilia nyuzi humu unaweza kucheka ...Utaona ushabiki maandazi , kama sisi sote ni watanzania lakini mawazo yetu yapo tofuati sio kosa kuwa upande fulani ila pia tuangalie na ukweli uko wapi .
Hii vita inapigana pale lakini naona wanaokejeliwa waislamu wengine kama ni jambo la ushabiki , kuna vita ya Russia na ukraine hawa wote ni wakristo ila Russia ni wakristo hasaa ...Lakini huoni watu wakiongelea vbaya ukristo kwa sababu Russia anaua watu wa ukraine ambao wote kiimani ni ndgu .
Zipo page za watu wanawakosoa na kuunga mkono pande moja wap na watu hao ni miongoni mwa waislamu, wakristo , hata jewish baadhi wanapiga kitendo cha israel .Tanzania ni ubishani maandazi wala hatujui chochote .
Tufike wakati tusisambaze chuki tubaki ukweli hata kama usem israel ni powerful ila hiyo vita wanagawana madhara na haijaanza leo , wengi humu ni wadogo vita wameikuta .
Mbaya zaidi hatuna uhakika wa kihistoria kamili maana kila mtu anadai pale ni kwake . Pia. swali la kujiuliza Palestine na israel wamefikaje pale mpaka wakawa na miji yao ?
Jamaa zinapambana kuzaliana kwa wingi sasa huko Ukaya na wanadai dini yao inakuwa kwa nguvu ulaya yote. Mtu mmoja ana watoto 70+ alafu hana mbele wala nyuma.Lebanon haina tatizo ila Hizbula na nchi ilikuwa ya wakristo dini nyingine ikaamia kwa wingi na kuzaliana kwa wingi na kuwafanyia ugaidi wazawa .
Kila mwenye akili timamu aling'amua mapema kabisa lile shambulio la October 7 ilikua ni makosa makubwa sana kimkakati. Myaudi ni kama kafungulia turbo hasikii haambiliki. Hizi movements za Hamas na Hezbollah ni wazi zimeprove failure na wanaoathirika sasa ni raia wasio na hatia.Duh,Jamaa wakimkamata kichwa chake mali yao,maneno gani bwana haya?
Ukimsoma katikati ya mistari issue ya pagers na walkie talkie kugeuzwa mabomu kunawafanya kurejea japo miaka 70 nyuma kwa kuanza kutumiana jumbe kwenye bahasha maana hata simu TVs computer haziaminiki tena
Jiweke kwenye nafasi ya Myaudi. Baada ya mashambulizi ya October 7 ungefanya nini?Bongo tumeiweka kidini na chuki , makanisani wanahubiri amani na upendo ,huku wanafurahia wapalestina wanavyodhulumiwa na hawa mazayuni ndani ya nchi yao na kuuwawa .
Wayahudi wapo palestina ,Israel Lebanon ,Afghanistan na Iran ,sijui unaongelea Wayahudi wapi mkuu?Jiweke kwenye nafasi ya Myaudi. Baada ya mashambulizi ya October 7 ungefanya nini?
Mbona USA akisema hatawapatia Silaha Ukraine na Israel huwa mnaamini mnakimbilia kuanzisha uzi?Na unaiamini USA?!
Hapa unaamini USA anaweza akamnyima silaha Israel?Ulimsikia netanyahu alivyokua akililia silaha toka marekani!?
Habari hii na mimi mbona ni vitu viwili tofauti , 😀 😀 😀 kwani we ni muisrael?Vipi Sudan mbona wako Waislamu wengi tu.......naona Wayahudi wanawatoa roho....matokeo yake ndi haya....Pager hiyo....
View attachment 3101980
Ndio kila mtu ana sababu , waache wapigane.Accumen.... Unasema swali la kujiuliza Palestina na Israel wamefikaje pale mpaka wakawa na miji yao!? Jibu rahisi sana ! Ukiangalia Qurran itakupa jibu lake....Na ukiangalia Biblia itakupa jibu lake......Kwa kifupi kila mtu ana jibu lake katika swala hilo! Ukisoma Charter ya Hamas iko wazi kabisa, Palestine ni nchi Wakf ya Allah....Na Ukisoma Biblia itakupa jibu tofauti kabisa......
Israel hata wakimuua mtoto mdogo watatangaza wameua kamanda Mwandamizi 😂😂Kamanda Mkuu wa operations za kijeshi wa kundi la Hezbollah ndugu Ibrahim Aqil ameuawa mchana leo kwa mashambulizi ya ndege za kivita za Israel Jijini Beirut nchini Lebanon.
=======
Hezbollah official Ibrahim Aqil in an undated photo. (US Department of State)
A source close to Lebanon’s Hezbollah says the Israeli strike in Beirut’s Dahiyeh neighborhood killed Ibrahim Aqil, a senior commander in the terror group’s elite Radwan unit.
“The Israeli air strike killed Radwan Force commander Ibrahim Aqil, its armed force’s second-in-command after Fuad Shukr,” who was killed by an Israeli strike in July, also in Hezbollah’s southern Beirut stronghold, says the source who requested anonymity to discuss sensitive matters.
Soma Pia:
Vita haina ufundi ndio nafuatilia hapa naona balaa tu 😀 😀 .....Ngoja tuone aisee maana watu wako live ....Kuua viongozi sioni kama inatija labda kuwakata spirit kabisa ila jamaa ni watu wamejitoa kabisa .
Mwisho wa siku wakipiga mahesabu wote ni loser ...Sema ushabiki wa huku ndio tatizo wanafuata itikadi za kidini .
Hayo makundi kwa mujibu wa Sheria za uislamu yanatakiwa kupigwa vita , acha tuchukulie wanapigania haki kuua raia , kuharibu makazi Mali ,miundombinu ,utekaji wa Raia na ukatili mwingine ni mambo yasiyokubalika kwenye dini.Mh!
Mbona mimi mzani wangu nikiyapima haya maneno unagoma kuelewa?ninyi kabisaa?
Unasema sio ya kawida na imeanza kupunguza kupeleka Misaada Ukraine. Ujerumani hamna kitu hawezi kumfikia nchi kama China hata kidogo japokuwa mchina hatujayaona Makeke yake kwenye Vita.Ya kawaida??
The biggest economy in Europe ni nchi ya kawaida?
Hata kivita Germany sio ya kawaida.
Anajua mziki ataowashiwaHuyo kila siku anajiandaa hamaliz tu?
Makasiriko yanatoka wapi sasaMimi ninaweza kuwa yeyote kwa kadiri nilivyoamka siku hiyo.Naweza kuwa Mbahai,Myahudi,Mkristo au Mbuddha.
Umeyaona wapi hayo uliyoyaandika?Makasiriko yanatoka wapi sasa