Israel yamuua Kamanda Mkuu wa operations za Hezblollah Jijini Beirut

Israel yamuua Kamanda Mkuu wa operations za Hezblollah Jijini Beirut

Zimeni moto base mbili zimeisha teketezwa huko wambieni waruhusu media wachukue kama vile Lebanon na Gaza wanaogopa nini?

Zimeni moto afu wajanja wanachukua pembeni pembeni kuonyesha miti waseme empty space sa kama empty space yanini mnazima moto kwa ndege in cost pesa nyingi sana


View: https://youtu.be/kz0SUZXQkBk?si=Lt0tcGFlxpbJGwey

Wazee wa kushambulia nyasi mna tuharibia UOTO wa asili nyie jamaa kwani hamjui pa kulenga shabaha?
 
Vema.Wewe endelea kujiita hivyo kwa sababu umeridhika.Usiwaite wengine hivyo.
Kuna kipi kinapungua adui akikuita jina baya, ama akutukane?

Ukichukia si ndio anakua amepata silaha ya kukupiga?

Usiruhusu maisha yako yaendeshwe na hisia.
 
Kuna kipi kinapungua adui akikuita jina baya, ama akutukane?

Ukichukia si ndio anakua amepata silaha ya kukupiga?

Usiruhusu maisha yako yaendeshwe na hisia.
Kuchukia kwa mtu si lazima akuoneshe uso wake ulivyokunjamana.Wewe elewa na uzoee kuwaita wengine kiungwana.
 
Mtu ana tetesi tangu mwaka 83 , ni mzee sana mpaka leo aliua sana wazungu .
 
Hii hadithi ya wakristo wa bunyokwa kufurahi Lebanon 🇱🇧 ikipigwa na Israel inafurahisha sana , cha kushangaza Lebanon kuna wakristo wengi na ndio taifa peke mashariki ya kati wakristo wana haki sawa na waislamu.
Lebanon haina tatizo ila Hizbula na nchi ilikuwa ya wakristo dini nyingine ikaamia kwa wingi na kuzaliana kwa wingi na kuwafanyia ugaidi wazawa .
 
Wamewahi kukutana Mara mbili kwenye Medani za vita, ya kwanza ilisemekana Israel alidundwa na vita vya pili ilisemekana walitoka draw(sare sare).

Wakipigana vita sasa, itakuwa wanapigana kwa Mara ya tatu na Hezbollah walishasema kuwa kama vita vitaanza na wao hawataangalia sehemu za kupiga au kufuata kanuni za vita zinavyotaka. Kwahiyo watafanya kama wanavyofanya Israeli kuua Raia hovyo na kuangamiza Miji ya raia badala ya kupambana na jeshi na kulipua vituo vya kijeshi na Maghala ya Silaha.

Hivyo basi kwa kuwa wote hawatafuata kanuni za vita basi tutarajie vita vitakuwa vibaya sana kwa pande zote mbili, ijapokuwa Hezbollah watapata Madhara na Israel watapata pia Madhara, ukizingatia uwezo wa hezbollah umeongezeka tofauti na kipindi cha nyuma. Maana taarifa za Israel kupitia MOSSAD zinasema kwa sasa Hezbollah uwezo wake wa Makombora umeongezeka hadi kufikia laki moja na nusu, tena ni makombora yanayoweza kuongozwa na kuchagua wapige wapi na wapi wasipige.

Mwisho kabisa, tuache ushabiki vita ni mbaya maana Adolf Hitler alijona Mwamba na kiranja wa Dunia lakini leo hii Ujerumani ni ya kawaida tu. Dola ya Ugiriki, Roma, na Persian zote hazipo leo hii. Hata Uingereza alikuwa Super Power na kuwapa eneo Wayahudi pale pale Palestina(Israel) mwaka 1948 lakini leo hii Muingereza kawa kama Mandonga.
Vita haina ufundi ndio nafuatilia hapa naona balaa tu 😀 😀 .....Ngoja tuone aisee maana watu wako live ....Kuua viongozi sioni kama inatija labda kuwakata spirit kabisa ila jamaa ni watu wamejitoa kabisa .

Mwisho wa siku wakipiga mahesabu wote ni loser ...Sema ushabiki wa huku ndio tatizo wanafuata itikadi za kidini .
 
Lebanon haina tatizo ila Hizbula na nchi ilikuwa ya wakristo dini nyingine ikaamia kwa wingi na kuzaliana kwa wingi na kuwafanyia ugaidi wazawa .
Acha uomgo wewe , lebanon wanaishi kwa pamoja ...Tatizo hujui chochote kwamba Asia ukristo unafutika kabisa kuanzia hapo israel .
 
Lebanon haina tatizo ila Hizbula na nchi ilikuwa ya wakristo dini nyingine ikaamia kwa wingi na kuzaliana kwa wingi na kuwafanyia ugaidi wazawa .
Ukitaka kuua mbwa mpe jina baya , hao wazayuni ndio wavamizi na magaidi kwenye nchi ya watu, fuatilia taratibu bila hisia za kidini .
 
Adiosamigo: Unamjua aliyeuawa lakini? Dau hilo lilitolewa miaka mingi sana......1983, alipolipua makazi ya askari wa Marekani....Huwa naishi kwa kujificha, jana akiwa kikaoni na wenzake,kwenye ghorofa chini ya basement, Israel ikapa habari na kufumua jengo hilo....

View attachment 3101655
Sema marekani wakapata habari,wakaamuru kambi yao ya kijeshi ishambulie
 
Hadithi za Israel na Hezbollah ni kama hadithi ya Mungu na Shetani vile!

Mungu hajamwangamiza Shetani kwa makusudi flani.

Je Israel nayo haimwangamizi mkuu wa Hezbollah kwa makusudi flani?

Imeshindwaje kumlenga Jemedari wao Nasrala ili ugomvi ufikie mwisho,
?
Au ndiyo hayo ya kuishi shimoni kama nyaga, bila simu bila kompyuta?

Iweje walenge kidagaa wakati papa yupo, tunabaki tunajiuliza?
Watakuambia, "Usitupangie, vita ni mkakati"..😎
 
Back
Top Bottom