Israel yamuua Kamanda Mkuu wa operations za Hezblollah Jijini Beirut

Israel yamuua Kamanda Mkuu wa operations za Hezblollah Jijini Beirut

Lebanon nchi nzuri inakwenda kuharibika sababu ya mabifu ya hesbolah (iran) na israel... walebanon halisi wenyewe ni watu wa kula goodtym na ku-vibe tu
Nakubaliana na wewe 110% hakuna mlebanoni anaunga mkono hezibola, Lebanoni ni christian country ila walifanya kosa la kuwakaribiosha palestina ndio wamegeuka hezibola
 
Hii hadithi ya wakristo wa bunyokwa kufurahi Lebanon 🇱🇧 ikipigwa na Israel inafurahisha sana , cha kushangaza Lebanon kuna wakristo wengi na ndio taifa peke mashariki ya kati wakristo wana haki sawa na waislamu.
Kwahiyo unakiri kuwa nchi nyingine huko mashariki ya kati wakristo wananyimwa haki na waislamu? Sasa ni upi upendo wa waislamu?
 
Mkuu uko wapi .....Walianza na Fuad Fakr, wako wapi akina Imad Morenia, Mustafa Badr a-din...in ile first generation ya Hezbolah military wing imemalizika.....Au habari za Hamas umeanza kusikia jana......? Jifanyie hata utafiti kidogo kabla hujaandika.
Sasa tunasubiri waue mwingine waine kama watabaki😅 au wajaribu kuvuka mpaka waone.
 
Hii hadithi ya wakristo wa bunyokwa kufurahi Lebanon 🇱🇧 ikipigwa na Israel inafurahisha sana , cha kushangaza Lebanon kuna wakristo wengi na ndio taifa peke mashariki ya kati wakristo wana haki sawa na waislamu.
Uko sawa mkuu.........tatizo hao wafilisti wameingilia chezo la watu........ikibidi wawafukuze maana waliwalea wenyewe wakina nasralah
 
Ila tukubali tukatae Lebanon kuna wakristo karibu nusu ya raia wote ,pia madhara ya kivita yanawapata wote .
Nimeona kuwa taifa lolote lisipokuwa na jeshi lake kamili, ama kuwa na paramilitaries tu, basi madhara ya usalama wake huwa ni mkubwa ama kuwa mashakani.

Angalia mfano wa Haiti, Grenada ya 1982 na nchi nyingine kama hizo.

Lebanon inakosa maamuzi kwa sababu ya kuwakaribisha Hezibollah na kuruhusu wafanyie mambo yao ndani ya taifa hilo.

Inaonekana sasa kama wanachokifanya Hezibollah ndiyo msimamo wa nchi na madhara ya kifuatacho hayatakuwa ya Hezbollah tu, bali ni ya nchi na raia wasiokuwa na hatia.
 
Peleka upumbavu wako huko nan hakuji wewe ni kobazi
Maandiko yako yanasadifu wewe ni kobazi purely
Netanyau alishaapa magaid yote atayawahisha jehanamu wakapambe na bikra 72 na kuogelea kwenye mito ya pombe vumilia kobazi wenzako wanachapika haswa
Kobazi ni kitu gani ,ungepunguza hasira mkuu ,ungeweza kueleweka hata kidogo.
 
Hawa waarabu akili zao zimekaa kufa kufa tu. Wenyewe kwenye maandiko yao Israel wanadai ni malaika mtoa roho.
Wanamchokoza mtoa roho wanatarajia nini sasa?
Hawajachokoza hao wazayuni ndio wapo kwenye nchi ya wapalestina kibavu .
 
Hawajachokoza hao wazayuni ndio wapo kwenye nchi ya wapalestina kibavu .
Hizi hadithi sasa zifikie mwisho.
Israel ni ya wayahudi. Wapo hapo zaidi ya miaka 3000. Historia inaonesha hivyo.
Pia Israel wapo tayari kwa two states.
Palestine hawaitaki kabisa Israel mashariki ya kati. Wanadai kuifuta israel kwenye ramani ya Dunia, unadhani inawezekana ?
Kwa hali ilivyo Palestine ndio inaenda kufutwa, na dalili zinaonesha hivyo.
Kila wanapoanzisha vita na Israel eneo lao linazidi kumegwa. Hadi sasa wamebaki na kichochoro tu.
 
Back
Top Bottom