Israel yamuua kamanda wa Hezbollah, bado mnaendelea kuonywa

Israel yamuua kamanda wa Hezbollah, bado mnaendelea kuonywa

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Mpaka sasa Israel wanaendelea kuonya tu, wanapiga mdogo mdogo na kuonya Hezbollah maana kitu watakachokifanya pale Lebanon, mtaanza kulia lia kwamba wanaua hadi watoto.......
Hapa wamemuua kamanda.

View: https://twitter.com/Islam_Observer_/status/1744323447516463413?ref_src=twsrc%5Etfw%7Ctwcamp%5Etweetembed%7Ctwterm%5E1744323447516463413%7Ctwgr%5E9c5fe8baa03df223dc32256f4f19ad145f47de22%7Ctwcon%5Es1_&ref_url=https%3A%2F%2Fwww.timesofisrael.com%2Fliveblog-january-8-2024%2F

Go go IDF, real definition of a strong army indeed.
 
US imeowaonya Israel. Hawawezi kuwashinda Hesbullah.
 
Sio kakufa kamanda tu, bali kafa shemeji wa Hassan Nassrallah baba yenu, mwambie Ritz, FaizaFoxy, Green rajab, nk🤣🤣🤣🤣🤣🤣
makamanda yanakufwakufwa tu hovyohovyo mbona allah hawapambanii waja wake au pengine allah yupo likizo 🤣 🤣 🤣🤣
 
US imeowaonya Israel. Hawawezi kuwashinda Hesbullah.
acha US iendelee kuonya huku Israel mtoa roho za magaidi akiendelea kutafuta roho za makamanda wengine wa kigaidi azitoe. Kumbe US ina huruma na hezbollah eh eh eh basi aingie kati kuisaidia
 
makamanda yanakufwakufwa tu hovyohovyo mbona allah hawapambanii waja wake au pengine allah yupo likizo 🤣 🤣 🤣🤣
Hawa wafia mabikra hawanaga mapya ni wajinga sana, walianzaga kwa mbwembwe kweli na matamko utafikiri wanayo nguvu kumbe ni wanawake tu

Wanakufa kama inzi huko Gaza but kutana na maayatollah wa bongo na mabikra zao dah unahisi wanashinda kweli vita 🤣🤣🤣🤣🤣
 
acha US iendelee kuonya huku Israel mtoa roho za magaidi akiendelea kutafuta roho za makamanda wengine wa kigaidi azitoe. Kumbe US ina huruma na hezbollah eh eh eh basi aingie kati kuisaidia
Umesahau vita vya IDF na Hesbullah. Walitoka ngoma droo. Wakubwa wakisema sisi tutulize ushabiki.
 
Back
Top Bottom