Israel yamuua kamanda wa Hezbollah, bado mnaendelea kuonywa

Israel yamuua kamanda wa Hezbollah, bado mnaendelea kuonywa

Hawa wafia mabikra hawanaga mapya ni wajinga sana, walianzaga kwa mbwembwe kweli na matamko utafikiri wanayo nguvu kumbe ni wanawake tu

Wanakufa kama inzi huko Gaza but kutana na maayatollah wa bongo na mabikra zao dah unahisi wanashinda kweli vita 🤣🤣🤣🤣🤣
dah ila yahudi noumer anatoa kipondo ambacho kitaacha alama ya kumbukumbu kwa vizazi vya wafia mabikira na mito ya pombe. Bado huyu yahya Sinwar naye lazima awahishwe kuzimu tena haraka sana.
 
Hawa wafia mabikra hawanaga mapya ni wajinga sana, walianzaga kwa mbwembwe kweli na matamko utafikiri wanayo nguvu kumbe ni wanawake tu

Wanakufa kama inzi huko Gaza but kutana na maayatollah wa bongo na mabikra zao dah unahisi wanashinda kweli vita 🤣🤣🤣🤣🤣
Kuna kesi ICC ya uhalifu wa kivita,hawara zako wanaishia kuuwa watoto na wanawake
 
94B15CDC-65E1-40B5-B716-9A359410192F.jpeg
94B15CDC-65E1-40B5-B716-9A359410192F.jpeg
 
acha US iendelee kuonya huku Israel mtoa roho za magaidi akiendelea kutafuta roho za makamanda wengine wa kigaidi azitoe. Kumbe US ina huruma na hezbollah eh eh eh basi aingie kati kuisaidia
50D7BB55-9309-4870-B5D0-BCBF66B797F6.jpeg
 
kajificha kama hamas wanavyojificha kwenye mahandaki na kuwaachia msala raia badala ya kuwalinda na sasa wameuliwa maelfu na wanaendelea kuuliwa daily tena dozens yaan ni kama kifurushi cha siku system ya mauwaji ya wazayuni inapiga auto renewal daily
Inna lilaah... farijianeni kwa maneno hayo.
 
makamanda yanakufwakufwa tu hovyohovyo mbona allah hawapambanii waja wake au pengine allah yupo likizo 🤣 🤣 🤣🤣
Allah anawashangaa mbona wameiacha njia ya kutafuta amani kwa mazungumzo bali wamekimbilia mabunduki na kuingia kwenye mahandaki!
Kwa hiyo amewaacha wabutuliwe kwanza mpaka akili ziwakae.
 
Sio kakufa kamanda tu, bali kafa shemeji wa Hassan Nassrallah baba yenu, mwambie Ritz, FaizaFoxy, Green rajab, nk🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Uzuri wa kifo bana nisuala la muda tu yaaani

Kifo sio kama mambo mengine unaweza ukapata ama usipate ila kifo lazima

Tutaenda kuwakilishwa huko mazikoni hio ni faradhwi kifaya
 
Dah jeshi la kitaalamu linasaka na kulenga viongozi wa magaidi. Wakati magaidi wao pamoja na nguvu za majini wanateka na kushikilia raia vibibi vizee, na kuua hadi warombo na wamasai ati kisa wamevaa bukta za jeshi!!! IDF piga hao magaidi hadi wasalimu amri. Wamefundishwa chuki tu dhidi ya dini nyingine.
 
Hizbullah kundi teule
Hatutaki lawama enyi mazayuni wa

Kuna kesi ICC ya uhalifu wa kivita,hawara zako wanaishia kuuwa watoto na wanawake
Watoto na wanawake wanauwawa na mabwana zenu Makamasi wanaouwatumia kama Human shields! Wanarusha maroketi hovyo kama walevi wakijificha kwa raia wasipigwe!!! Kesi ya kijinga kabisa hiyo ICC hao ANC nchi imewashinda mauaji tele mitaani halafu wanashitaki Israel kichekesho!
 
Mbona unatokwa na povu kijana hem tulia kwanza sio unakurupuka kurupuka
Kama ANC nchi imewashinda hata Democrat na Republican kule Americant nchi iliwashinda muda sana maana wao ndio wanaongoza kwa mauaji mitaani
Human shield unaijua au kisa ndio umekaririshwa na BBC DW na VOA ndio unajiona ileeee
 
Safari si kifo tutafika tu watake wasitake Al Quds oh Jerusalem kipenzi cha Waislam tutaikomboa tu watake wasitake.

HAMAS kiboko wa Israel

Hezbullah piga hao kenge

Yemen kiboko wa Mmarekani
 
Nasikia Allah katimua mbio huko mashariki ya Kati
 
Safari si kifo tutafika tu watake wasitake Al Quds oh Jerusalem kipenzi cha Waislam tutaikomboa tu watake wasitake.

HAMAS kiboko wa Israel

Hezbullah piga hao kenge

Yemen kiboko wa Mmarekani
Mbona unajitekenya na kucheka peke yako 🤣 🤣 🤣
 
Back
Top Bottom