Israel yaogopa wagonjwa na maskini

Israel yaogopa wagonjwa na maskini

hakuna kutengeneza wanakubali wenyewe kuwa mara hii mambo ni magumu na hapo kuna miguu wakati mwengine vichwa tu vilivyopatikana na jamaa, naona kaviziba , ndio vita
View attachment 2803425
Janani msijifariji Kwa kuokota picha za sehemu nyingine, Israel ifanye kweli Huko Gaza ikiwachekea hao Hamas na wapenda ugaidi itawagharimu. Watoe funzo ili hata siku nyingine wasirudie,.
 
Janani msijifariji Kwa kuokota picha za sehemu nyingine, Israel ifanye kweli Huko Gaza ikiwachekea hao Hamas na wapenda ugaidi itawagharimu. Watoe funzo ili hata siku nyingine wasirudie,.
Itakayogharimika zaidi ni Israel ambayo Jana ilitangaza kwenye TV zao , Hamas wamerusha makombora yao mpaka Dimona kwenye Nuclear Power Station na mabomu ya Nuclear. Na wanasema wangepiga ,miji ya TelAviv na iliyoizunguka itakuwa ni historia
 
vi

Mpaka jana Hmas wameweza kurusha maroketi takriban 10 kwa siku tangu Israel iingize vifaru Gaza.Inawatisha Israel.Hao Hamas wamejificha wapi ?
 
Kitendo cha jeshi la Israel kupiga magari ya wagonjwa na kambi za wakimbizi wanakoishi mafukara kumewashangaza mpaka viongozi wa UN na US.
Msafara wa magari ya wagonjwa na waliojeruhiwa vibaya uliokuwa ukiondoka hospitali kuu ya Alshifa umepigwa na makombora mazito kutoka angani na kusababisha vifo vya wagonjwa hao jumla 15.
Waliokuwa wakisafiishwa kwenye magari hayo ni wale waliojeruhiwa vibaya katika mashambuizi ya karibuni kwenye kambi za wakimbizi kama vile Jabaliya na Nusreita ambako asili yake wanaishi watu maskini zaidi katika eneo la Gaza.
Katika kujieleza,jeshi la nchi hiyo IDF limesema ni kweli wao ndio waliopiga magari hayo na kwamba walikuwa wanapiga kuwamaliza wapiganaji wa Hamas.Kinachoshganaza walijuwaje kuwa hao ni Hamas bila kuona vitambulisho vyao
Iwapo ni kuwapiga Hamas mpaka hapo si ilikuwa tayari wameshawapiga.Kulikuwa na haja gani kuwapiga tena ilhali hawana silaha.Na kwanini wasingeteremka hapo hospitali kwenda kuwakamataView attachment 2803171
Wanafanya mambo ya kishetani hadi wenyewe wanaogopa reaction ya jamii umewahi kuona chombo cha habari cha kimataifa kimesuia comments? Sasa leo sky news wamezuia comments mazayuni hali yao ni mbaya nafsi zao zinawasuta they are fighting a war they know they will never win, u will never win a war against humanity
 
Attachments

  • Screenshot_20231104-215429_Instagram.jpg
    Screenshot_20231104-215429_Instagram.jpg
    90.5 KB · Views: 2
Back
Top Bottom