Israel yaomba vita visitishwe angalau kwa miezi miwili

Israel yaomba vita visitishwe angalau kwa miezi miwili

Netanyahu makubaliano ndio hajayakubali.
Alichopinga yeye makubaliano ila sio usitishwaji vita.
Kama Hamas wangempelekea makubaliano anayoyataka basi vita ingesimama mapema tu.
Na anaetaka kusimamisha vita ni israel sio hamas ,hao hamas ndio wanampa mashart netanyahu anaruka ruka tu kuyakubali anajua akikubali tu aibu kwake
 
Hali inazidi kuwa tete kwa Israel baada ya waziri mkuu mwengine wa zamani Tzippi Livni kutomuamini Netanyahu na mipango yake ya vita. Bibi huyo naye ameondoa matumaini ya kushindwa kwa Hamas akiungana na Ehud Barak na waziri Gadi ambaye yumo ndani ya baraza la kuongoza vita.

Katika hali hiyo sasa Israel imeomba kwa Hamas wakubali kusitisha vita kwa miezi miwili na iwaachie mateka inaowashikilia ambao kila Israel inavyobomoa hospitali zote za Gaza imeshindikana kuwaokoa na kuishia kuua watu wasiohusika wakiwemo wagonjwa.

Pendekezo jengine La Israel ni kutaka viongozi wa Hamas ambao bado wapo Gaza katika kipindi hicho waondoke waende wakaishi nje.

Sami Abu Zuhri, mmoja wa viongozi wa ngazi za juu wa Hamas amesema kuachiwa mateka kwa kusitishwa vita kwa miezi 2 tu haitoshi. Wanachotaka wao ni vita visitishwe moja kwa moja na watu waendelee kurudi majumbani mwao

===

After heated meetings over the Israel-Hamas conflict and hostage situation, the Jewish country’s war cabinet approved a new plan coordinated with Qatari and Egyptian negotiators that could see the more than 130 hostages held by Hamas released, two Israel officials close to the talks told Axios.

The hostage deal would see all the women and men who are over 60 years old and who are in critical condition or have severe health problems released first.

The next phase would free the hostages who are not affiliated with the Israel Defense Forces. After that, Hamas would release Israeli soldiers, as well as the bodies of hostages who died while in captivity, the officials said.

In exchange for freeing the hostages, Israeli officials would agree to release Palestinian prisoners in its jails, with separate negotiations scheduled on who would be allowed to walk free.

In previous deals brokered by Qatar, Israel agreed to free three prisoners for every hostage released. But major hurdles remain to seal the deal.

The proposed plan emphasizes that the cease-fire would be only temporary, with the IDF set to be deployed away from the Gaza Strip’s largest cities so as to allow Palestinians to return to their homes.

New York Post
Hao wanatafuta njia ya kutokea. Kichchapo walichochezea jana na leo si mchezo.

Hamas kawatwanga. Hezbollah kawatwanga. Houthi kawacha meli ya kivita Kimarekani hawasemi, hiyo ni meli inayozi supply manowari za kivita. marekani kakataa, Myemeni akarusha video.

Sasa hivi mazayuni wanajiharia hovyo huko. Maana Hezbollah huwa anaanza usiku mpaka time ya kusali afaji anasitisha anaenda kusali, anasikilizia mazayuni. watapigapiga na ndege zao, njaa ikiwashika Hezzbollah anatoka anrusha drone mbili tatu anajichimbia.

Hao jamaa wanapigwa k9maudhi kweli kweli.

Leo kamanda wa IDF mpaka kalia.
 
Baada ya kuchezea kichapo mazayuni leo wameuzingira mtaa wa Khan Younis hapo Ghaza, hakatizi hata paka wanauwa.

Mtaalaam wa vita vya ki "guerilla" ameseqm hao wamewekwa walipotakiwa na Hamas, watauliwa wengi sana.

Hamas hawatatokea kabisa walipozingira na watadonyolewa kama anavyofanya Blackmamba, angonga wawili watatu anapotea. Mkifata kumtafuta alipogonga mwanzo anakwenda kugonga kwengine kabisa, kisha tambaa.

Watakoma ubishi.
 
Hiyo ndio mbinu bora ya kupigana na mbabe na unayehisi ana nguvu kidogo kuliko wewe.Piga halafu jifiche.Akianza kujitokeza piga tena.
 
Baada ya kuchezea kichapo mazayuni leo wameuzingira mtaa wa Khan Younis hapo Ghaza, hakatizi hata paka wanauwa.

Mtaalaam wa vita vya ki "guerilla" ameseqm hao wamewekwa walipotakiwa na Hamas, watauliwa wengi sana.

Hamas hawatatokea kabisa walipozingira na watadonyolewa kama anavyofanya Blackmamba, angonga wawili watatu anapotea. Mkifata kumtafuta alipogonga mwanzo anakwenda kugonga kwengine kabisa, kisha tambaa.

Watakoma ubishi.
Waliizingira Gaza City yote na kuwatoa watu waende kusini.Hata haijulikani kilichotokea Watu wanaendelea kujazana kwenye magofu ya nyumba zao na mapigano yanarudi upya mpaka IDF wanalalamika.
 
Na anaetaka kusimamisha vita ni israel sio hamas ,hao hamas ndio wanampa mashart netanyahu anaruka ruka tu kuyakubali anajua akikubali tu aibu kwake
Masharti hayo ya Hamas ni kinyume na mikakati ya vita ya Netanyahu.
 
Silaha zinakaribia kukata maana walitumia mabomu hivyo hovyo kwa kuporomosha majumba
 
Back
Top Bottom