Israel yaomba vita visitishwe angalau kwa miezi miwili

Netanyahu makubaliano ndio hajayakubali.
Alichopinga yeye makubaliano ila sio usitishwaji vita.
Kama Hamas wangempelekea makubaliano anayoyataka basi vita ingesimama mapema tu.
Na anaetaka kusimamisha vita ni israel sio hamas ,hao hamas ndio wanampa mashart netanyahu anaruka ruka tu kuyakubali anajua akikubali tu aibu kwake
 
Hao wanatafuta njia ya kutokea. Kichchapo walichochezea jana na leo si mchezo.

Hamas kawatwanga. Hezbollah kawatwanga. Houthi kawacha meli ya kivita Kimarekani hawasemi, hiyo ni meli inayozi supply manowari za kivita. marekani kakataa, Myemeni akarusha video.

Sasa hivi mazayuni wanajiharia hovyo huko. Maana Hezbollah huwa anaanza usiku mpaka time ya kusali afaji anasitisha anaenda kusali, anasikilizia mazayuni. watapigapiga na ndege zao, njaa ikiwashika Hezzbollah anatoka anrusha drone mbili tatu anajichimbia.

Hao jamaa wanapigwa k9maudhi kweli kweli.

Leo kamanda wa IDF mpaka kalia.
 
Baada ya kuchezea kichapo mazayuni leo wameuzingira mtaa wa Khan Younis hapo Ghaza, hakatizi hata paka wanauwa.

Mtaalaam wa vita vya ki "guerilla" ameseqm hao wamewekwa walipotakiwa na Hamas, watauliwa wengi sana.

Hamas hawatatokea kabisa walipozingira na watadonyolewa kama anavyofanya Blackmamba, angonga wawili watatu anapotea. Mkifata kumtafuta alipogonga mwanzo anakwenda kugonga kwengine kabisa, kisha tambaa.

Watakoma ubishi.
 
Hiyo ndio mbinu bora ya kupigana na mbabe na unayehisi ana nguvu kidogo kuliko wewe.Piga halafu jifiche.Akianza kujitokeza piga tena.
 
Waliizingira Gaza City yote na kuwatoa watu waende kusini.Hata haijulikani kilichotokea Watu wanaendelea kujazana kwenye magofu ya nyumba zao na mapigano yanarudi upya mpaka IDF wanalalamika.
 
Na anaetaka kusimamisha vita ni israel sio hamas ,hao hamas ndio wanampa mashart netanyahu anaruka ruka tu kuyakubali anajua akikubali tu aibu kwake
Masharti hayo ya Hamas ni kinyume na mikakati ya vita ya Netanyahu.
 
Silaha zinakaribia kukata maana walitumia mabomu hivyo hovyo kwa kuporomosha majumba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…